HOJA Pale Kariakoo tuvunje shule ya Benjamin Mkapa na Uhuru mchanganyiko ili tupate eneo la Parking

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Malls za nini? Ni Tanzania tu ambako raia badala wapiganie huduma bora hasa za Afya na elimu bora kwa watoto wao wako busy kuomba wajengewe stendi, mara vituo vya polisi na kadhalika
Ukiangalia Stand na hospital/shule hazifanani. Hayo mastand ni miradi ya kupiga pesa tu ndio maana wanapenda.
 
InShot_20260919_093703175.jpg

Kwamba unapark gari yako hapo afu anachukua tena bodaboda kurudi kariakoo au wewe ni bodaboda unataka upige hela tu 😂 😂
 
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Wazo la hovyo kabisa, hiyo mikweche yenu ndiyo muhimu kuliko elimu ya watoto wetu? We kwl hamnazo. Hiyo mikweche iacheni huko pembezoni mwa jiji, mjini pandeni mwendo kasi.
 
Malls za nini? Ni Tanzania tu ambako raia badala wapiganie huduma bora hasa za Afya na elimu bora kwa watoto wao wako busy kuomba wajengewe stendi, mara vituo vya polisi na kadhalika
Kila kitu ni muhimu,mall, hospital,school,and etc,akili sahihi ni shule iwekwe wapi?,hospitali iwekwe wapi,na mall na parking iwekwe wapi?, unatumia akili ya kiungo gani?
 
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
hatimaye mmeamua kuanza kuchoma moto shule ili mpate parking
 
Back
Top Bottom