Sio lazima mkuu. Ila hii reasoning haitatui changamoto na hata viongozi wetu wanapenda kutukata kauli kwa maelezo kama uliyouliza swali.
Mtu anapaswa kufurahia maisha na mazingira bila kuvunja sheria. Jamaa ametoa wazo la kupatikana kwa parking na ametoa pendekezo, solution sio kumzuia kwenda na gari mjini, bali ni kujadili hoja yake na pendekezo lake, sio kuzuia kabisa alichokipendekeza.
Maghorofa ya NHC hapohapo karikaoo yanabomolewa na kujengwa upya yakianzia chini (basement / underground), hata hizo shule zinaweza kubomolewa na yakajengwa maghorofa yatayokuwa na floor kadhaa za parking na pia kukawa na hizo shule pia. Ndio mipango makini