Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
Umekariri bila kutumia akili Wewe unajua kariakoo inaingiza mapato kiasi gani? Gari nyingi zinapark ndani ya shule na shule haiko eneo rafiki kelele mwanzo mwisho, mipango miji walizingua sana kwa center kubwa ya biashara kama kariakoo huwezi weka shule jirani kiasi hicho.Wazo la kipuuzi kuvunja shule ujenge parking.