Kwanini kila jengo lisiwe na parking yake?Naunga mkono hoja kwa 100%,
PARKING plus ,ILALA MALL itakayomilikiwa na Jiji.
Kwanini kila jengo lisiwe na parking yake?Naunga mkono hoja kwa 100%,
PARKING plus ,ILALA MALL itakayomilikiwa na Jiji.
Magorofa mengi Upanga,Oysterbay,Masaki,Mikocheni hayakosi parking basement au kwenye compound kwasababu bila hivyo huwezi kupata wapangaji. Mtu hawezi kulipa $2000 kwa mwezi halafu akose parking.Nitajie gorofa gani k/koo lina underground parking? Kwanini tusiwalaumu waliojenga magorofa bila kuweka underground parking. Kila gorofa k/koo, Basement wameweka ma frame. Ilitakiwa itungwe sheria Nchini kote kila gorofa likijengwa kuwe na underground parking.
Kumbuka hayo magorofa unayoyasemea yalijengwa miako ya 1950s kipindi hiko magari yanahesabikaNitajie gorofa gani k/koo lina underground parking? Kwanini tusiwalaumu waliojenga magorofa bila kuweka underground parking. Kila gorofa k/koo, Basement wameweka ma frame. Ilitakiwa itungwe sheria Nchini kote kila gorofa likijengwa kuwe na underground parking.
Sheria zipo ni ukaidi wao tu hao wamiliki wa majengo,Tungepata raisi jamii ya magufuli lingetekelezwa ilo jambo,karibia nusu ya majengo ya kariakoo yana basement ila kwao wameona biashara zinaumuhimu kuliko parking................Magorofa mengi Upanga,Oysterbay,Masaki,Mikocheni hayakosi parking basement au kwenye compound kwasababu bila hivyo huwezi kupata wapangaji. Mtu hawezi kulipa $2000 kwa mwezi halafu akose parking.
Ukija Kariakoo kuanzia wanaojenga hadi wapangaji ni local tu ili mradi feremu iko barabarani tu. Ila mipango miji ilitakiwa waweke sheria basement parking ni lazima kama walivyoweka sheria lazima jengo kuanzia ghorofa tatu liwe na lift.
Magorofa ya kariakoo yalijengwa miaka ya nyuma sana 1950sMagorofa mengi Upanga,Oysterbay,Masaki,Mikocheni hayakosi parking basement au kwenye compound kwasababu bila hivyo huwezi kupata wapangaji. Mtu hawezi kulipa $2000 kwa mwezi halafu akose parking.
Ukija Kariakoo kuanzia wanaojenga hadi wapangaji ni local tu ili mradi feremu iko barabarani tu. Ila mipango miji ilitakiwa waweke sheria basement parking ni lazima kama walivyoweka sheria lazima jengo kuanzia ghorofa tatu liwe na lift.
50% sasa hivi ni mapya. Nyumba za zamani zinavunjwa yanajengwa magorofa ya kienyeji. Hayo ya 1950s yote yana parking kwenye compound zao mara nyingi kwa nyuma. Kila mtaa sasa hivi Kariakoo kuna magorofa mapya yanajengwa.Magorofa ya kariakoo yalijengwa miaka ya nyuma sana 1950s
haiwezekani zivunjwe shule ili mje kupaki vi paso na vi ist vyenu watu wenye magari yenye thamani kuanzia mi50+ ndo wadai parking nyie wengine mnaleta jam mjini parking yenu iwe nje ya kkooNatoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Kariakoo asilimia kubwa sasa ni majengo mapya. Kila mtaa kuna girofa jipya linajengwa.Kumbuka hayo magorofa unayoyasemea yalijengwa miako ya 1950s kipindi hiko magari yanahesabika
Ni kweli kkoo sahv kuna ujenzi sana wa majengo mapya . Kikubwa muongozo uwepo utakao zingatia mpangingilio wa mjiKariakoo asilimia kubwa sasa ni majengo mapya. Kila mtaa kuna girofa jipya linajengwa.
Of course utulivu pale ni mdogo, kwahiyo hata concentration ya masomo kwa walimu na wanafunzi itakuwa chiniInawezekana sana kama nchi tukiweka mjadala wa afya halafu tuangalie uzito uko wapi ? Hali ya pale haifai hata kwa wanafunzi kusoma ni vurugu mwanzo mwisho
Patengenezwe parking ya kutosha hata gari 300,000 kila gari itozwe 2500/- jiji lipate fedha liache kukimbizana na wanyonge mitaani kwa ajili ya njaa!,na kuondosha shuru zenye KERO!...haiwezekani zivunjwe shule ili mje kupaki vi paso na vi ist vyenu watu wenye magari yenye thamani kuanzia mi50+ ndo wadai parking nyie wengine mnaleta jam mjini parking yenu iwe nje ya kkoo
Mvunje kuelekea magogoniTutazidi kusogea mpaka tuifikie nyumba yako iliyopo chanika 😃
Calculation ya kisomiPatengenezwe parking ya kutosha hata gari 300,000 kila gari itozwe 2500/- jiji lipate fedha liache kukimbizana na wanyonge mitaani kwa ajili ya njaa!,na kuondosha shuru zenye KERO!...
#Gari zote zinazopaki madukani ndani ya kariakoo zitapaki humo,ili wanunuzi waachane na kero za magari wakiwa madukani!,
Simple calculation italeta
750,000,000/-PER DAY!..(Wanapaki asubuhi jioni wanaondoka wanalipa gatini)
#Bongolala mmepata maarifa?
Kabisa , ile shule kwa sasa haifai kuwepo paleOf course utulivu pale ni mdogo, kwahiyo hata concentration ya masomo kwa walimu na wanafunzi itakuwa chini
Wazo la kipumbavu sana hili.Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Mkuu, nadhani umegeuza tatizo kinyume. Nina maana kuwa kutoheshimu long term plans ndiyo kumefanya liwe eneo la biashara badala ya lengo lililokusudiwa. Eneo la Karume kwa ujumla lilikusanya viwanja vya mpira, shule na possibly eneo la wazi lenye bustani. Mji ni lazima uwe na maeneo ya wazi. Huu ujinga wa kukusanya kila kitu eneo moja ndiyo hasa umeleta hilo tatizo. BTW tungekuwa na viongozi wenye akili badala ya kamasi sasa hivi Dar ingekuwa imejengwa kwa mpango mpya maeneo kama Bagamoyo na jiji jipya likaunganishwa na la zamani kwa treni/metro za kasi.Hapana mkuu
Hayo ni madhara ya kutoheshimu longterm plans.
Eneo lile mtu alie na akili angejua tu in 20 years lazima business centre itanuke na ichangamke.
Na mimi naona maoni yako kama kinyesiWazo la kipumbavu sana hili.
Najiulizaga wale watoto mule wanasomaje somaje na makelele yake ya kariakoo mara utasikia ya moto moto, mara shanga shanga , mara dawa za nguvu za kiume zinatangazwa yaani fujo tu ..wangeziamisha zile shule pale..Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .