HOJA Pale Kariakoo tuvunje shule ya Benjamin Mkapa na Uhuru mchanganyiko ili tupate eneo la Parking

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Wazo Zuri watapita nalo ingefaa uandae hii kama project
 
Inaonesha unashabikia maeneo ya wazi kuuzwa kiholela na hauoni thamani ya elimu.

Yavunjwe magorofa kadhaa baada ya kulipwa fidia ndipo zijengwe parking za kisasa
 
Sio rahisi huo ushauri wako kutekelezeka

Bora ungesema tuimarishe miundombinu yetu ya mwendokasi ili watu wasiwe wanaingia city center na magari yao binafsi

Ingekuwa Kuna shuttle zinafanya kazi hiyo effectively, watu wangekuwa wanapaki magari yao nje ya mji na kuja na hizo shuttle

Otherwise, tujenge parking za ghorofa ambazo zinachukua magari 500 hadi 2,500 ili kuondoa parking holela
 
wakuja wa dar utawajua tu, shule ya uhuru ivunjwe? hivi hata unailewa historia ya hiyo shule lkn? hauna tofauti na waliochoma soko la kariakoo na kujenga lingine ambalo halina soul kabisa na wale wanaotaka kuvunja historical muhimbili hospital, wote ni wakuja na hamna historia na huu mji na ndiyo maana kwenu kila kitu ni kuvunja tu.
waswahili tunasema usione vyaelea, ujue vimeundwa ...
 
Kwa miaka ile jiji lilikuwa bado halija changanya ila kwa sasa population imekuwa kubwa sana kiasi kwamba majengo kama ya shule hayana maana kuwa katikati ya jiji
Mkuu siyo shule tu na ofisi za TFF zinatakiwa ziondoke zihamie Dododo na kuvujwe pajenge Masoko makubwa ya kibiashara na wafanyabiashara wadogo wapate maeneo, yani pajengwe kisasa kuwepo na Migahawa, Maduka ya simu, Nguo, Supermarket, Kipindi cha Awamu ya Magufuli ingewezekana angeshauriwa vizuri angetoa Amria Tff wahamie Dodoma na Uzuri wa Magufuri angewaoa eneo la Ujenzi.
 
Hapana mkuu

Hayo ni madhara ya kutoheshimu longterm plans.

Eneo lile mtu alie na akili angejua tu in 20 years lazima business centre itanuke na ichangamke.
kwann pasiwe na mawazo ya kutanua mji mnangangana na kubanana na uweka huduma nyingi sehemu moja angali embezoni ya mji bado kuna maeneo mengi hayana matumizi. mana population inakuwa na mataji ni mengi mkiwa na mawazo ya kutanua na kuanzisha mij mipya huoni mtatatua changamoto za sasa na baadae
 
Mkuu siyo shule tu na ofisi za TFF zinatakiwa ziondoke zihamie Dododo na kuvujwe pajenge Masoko makubwa ya kibiashara na wafanyabiashara wadogo wapate maeneo, yani pajengwe kisasa kuwepo na Migahawa, Maduka ya simu, Nguo, Supermarket, Kipindi cha Awamu ya Magufuli ingewezekana angeshauriwa vizuri angetoa Amria Tff wahamie Dodoma na Uzuri wa Magufuri angewaoa eneo la Ujenzi.
Yes ni kweli TFF haina maana iwepo pale wangeisogeza mashambani huko
 
wakuja wa dar utawajua tu, shule ya uhuru ivunjwe? hivi hata unailewa historia ya hiyo shule lkn? hauna tofauti na waliochoma soko la kariakoo na kujenga lingine ambalo halina soul kabisa na wale wanaotaka kuvunja historical muhimbili hospital, wote ni wakuja na hamna historia na huu mji na ndiyo maana kwenu kila kitu ni kuvunja tu.
waswahili tunasema usione vyaelea, ujue vimeundwa ...
Maendeleo ni bora kuliko kuwa na magofu yasiyokuwa na faida . Ile mijengo haina cha maana chochote kuna watalii wanaoenda pale ?
 
Sio rahisi huo ushauri wako kutekelezeka

Bora ungesema tuimarishe miundombinu yetu ya mwendokasi ili watu wasiwe wanaingia city center na magari yao binafsi

Ingekuwa Kuna shuttle zinafanya kazi hiyo effectively, watu wangekuwa wanapaki magari yao nje ya mji na kuja na hizo shuttle

Otherwise, tujenge parking za ghorofa ambazo zinachukua magari 500 hadi 2,500 ili kuondoa parking holela
Inawezekana sana kama nchi tukiweka mjadala wa afya halafu tuangalie uzito uko wapi ? Hali ya pale haifai hata kwa wanafunzi kusoma ni vurugu mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom