HOJA Pale Kariakoo tuvunje shule ya Benjamin Mkapa na Uhuru mchanganyiko ili tupate eneo la Parking

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaani tunaondoa bandari kavu mjini wewe unataka kuturudishia tena huko? Wa magari mnatakiwa mtengewe parking nje ya mji. Kwa mfano wanaotokea Mbezi wawekewe parking Kimara wakifika hapo wanaacha magari wanakamata mwendo kasi, Bagamoyo road nao hivyo hivyo. Wanaacha magari yako huko nje ya mjini.
 
Nashauri ikulu nayo itolewe pale magogoni 🏃


Siku kadhaa baadae ikulu iwake moto mje mseme mimi aise nimekiwasha
😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…