OK...WAITE TU NCHI HURU HIII! As long as i get my 700 comments fine by me. Kitacho haribu uzi ni kukosa wachangiaji kabisaa afu ukashuka wakati mimi nataka ufike kwenye trending ukae pale kileleni afu ndo niende STAGE 2. It is a slow morning anything will do for me. THE END JUSTIFIES THE MEANS. BE MY GUEST AND KNOCK YOURSELVES OUT
I totally agree with you. Bahati mbaya sana, ni wanawake wachache mno wanaotambua thamani yao na hivyo kuishia kunyanyaswa
Hujafanya kitu jasiri ata kidogoHapana sijafanya kosa, LEO NIMEJITOA UFAHAMU NA KUFANYA KITU JASIRI SANAAA. Nimeingia war front kusema yale jamii inaogopa kuyasemaaa. SIJAKOSEA HATA CHEMBE KUKEMEA UNYANYASAJI WA WANAWAKE KWENYE JAMII.
Kuwa na mashabiki wengi wanawake haimaanishi IT IS OKAY TO ABUSE WOMEN CAUSE THEY LIKE IT. LA HASHAAAA SIVO ILIVO.
Na voda kama muti nationals nyingi WANAJALI SANAA SANAA BRAND IMAGE YAO NA NANI WANA DEAL NAE. HAPA NIMESEMA DILI HII ILIFANYIKA KIUJANJA UJANJA WA MJINI. KUNA GUIDELINES ZILIKIUKWA KABLA KUMU ENDORSE MTU. SASA WAMCHAMBIA MOTO UNAWAUNGUZA MCHANA KWEUPEEEE, MIBANGO NCHI NZIMAA, RB NA REPORT ZA HOSPITAL ZIMETOKA, WAMEBAKIA NA FUGITIVE KAMA PART OF THEIR BRAND. MUNGU MWACHENI AITWE MUNGU.
GOODWILL WATAKAYOPOTEZA HASARA YAKE NI KUBWA KULIKO VALUE YA HUO MKATABA HASWA HII ISHU IKIENDA GLOBAL. Waulize wahasibu VALUATION OF GOOD WILL NA IMPACT YA SOCIETY VIEW KWENYE HILO.
Kwa ufahamu wako umejitahidi kujenga hoja ila from CORPORATE POINT OF VIEW HILI LIMEKAA VIBAYA KWA VODACOM.
Naona post yako hii licha ya kwamba ni ndefu,inapitwa tu bila hata "like".dah!!,noma kweli aisee.HAHAHAAAAAAAAAAA! KWELI ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE.
haya niliosema kwa zari lipi LA UONGO NA LA KUZUA? Kwa hio Zali yule binti wa miaka 17 sio mzee? HAHAHAAAAAAAAAAA!
HANA WATOTO WA 4 HUYO ZALI? HAHAHAAAAAA!
EMBU POINT OUT HAPO KIPI CAH KUZUA NA KUTUNGA. Zali kama hanifahamu inahusu nini? Si maisha yake ameweka public kwenye insta yake, kwani nimfata uvunguni kujua haya? Mwenyewe ana post UZURI MWENZENU HAJIFICHI WALA HAONI TABU KUWA NI MTU MZIMA AND SHE IS PROUD ANA WATOTO WAKE WA 4 UNACHONENGENEKA WEWE HAPA ZALI KLATUKANWA SIJUI NI KIPI.
Hahahahaaa! Zali mwenyewe mara kibao anatukana followers wake na kutupia vijembe. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Mange alikuwa BLOGGER WHICH GAVE HER THE RIGHTS TO INVOLVES HERSELF WITH PEOPLES BUSINESS. Blogging business. Na bloggers kibao akiwemo Linda Ikeji, Perez Hilton mara kibao wanaonekana wabaya by simply GIVING PEOPLE THEIR RIGHT TO KNOW.
ALL IN ALL HAKUNA MAHALI KATIKA GAZETI LAKO HILI UMEMSAFISHA ROMMY WALA DAI. SANASANA UNATIA WATU UBAYA TU. HAO WOTE HATA UKIWAPAKA MAVI STILL THE CHARGES ARE REAL, RB IS REAL, FUGITIVE IS AT LARGE, MEDICAL REPORT IS REAL, HISTORY OF VIOLANCE IS REAL.
Hoja ni kwamba mtu anayetetea wanawake hawawezi kudhalilisha wanawake wengine simply because hawapo upande wake!! Kama unadhani kumfananisha mwenzako anazaa kama kuku na wewe unaona hiyo ni sawa tu basi you've a problem! By the way, nimekuuliza hivi wewe una utoto gani hadi Zari kwako awe Bibi Kizee... hujajibu!!HAHAHAAAAAAAAAAA! KWELI ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE.
haya niliosema kwa zari lipi LA UONGO NA LA KUZUA? Kwa hio Zali yule binti wa miaka 17 sio mzee? HAHAHAAAAAAAAAAA!
HANA WATOTO WA 4 HUYO ZALI? HAHAHAAAAAA!
EMBU POINT OUT HAPO KIPI CAH KUZUA NA KUTUNGA. Zali kama hanifahamu inahusu nini? Si maisha yake ameweka public kwenye insta yake, kwani nimfata uvunguni kujua haya? Mwenyewe ana post UZURI MWENZENU HAJIFICHI WALA HAONI TABU KUWA NI MTU MZIMA AND SHE IS PROUD ANA WATOTO WAKE WA 4 UNACHONENGENEKA WEWE HAPA ZALI KLATUKANWA SIJUI NI KIPI.
Hahahahaaa! Zali mwenyewe mara kibao anatukana followers wake na kutupia vijembe. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Mange alikuwa BLOGGER WHICH GAVE HER THE RIGHTS TO INVOLVES HERSELF WITH PEOPLES BUSINESS. Blogging business. Na bloggers kibao akiwemo Linda Ikeji, Perez Hilton mara kibao wanaonekana wabaya by simply GIVING PEOPLE THEIR RIGHT TO KNOW.
ALL IN ALL HAKUNA MAHALI KATIKA GAZETI LAKO HILI UMEMSAFISHA ROMMY WALA DAI. SANASANA UNATIA WATU UBAYA TU. HAO WOTE HATA UKIWAPAKA MAVI STILL THE CHARGES ARE REAL, RB IS REAL, FUGITIVE IS AT LARGE, MEDICAL REPORT IS REAL, HISTORY OF VIOLANCE IS REAL.
Documented from untrusted sources; gimme a break! Jana nimekuuliza mwandishi wa ile habari ni nani hujajibu; nikikuuliza adress hujajibu bado unatarajia watu serious wa - rely kwenye source kama hiyo!!!LIKE I KEEP TELLING YOU IS YOU DONT MATTER IN ALL THIS. WHAT MATTER JE KUNA DOCUMENTED REPORTS ZA DAI VIOLENCE AGAINST WOMEN? ZIPO HIO MOJA ZIPO NYINGI TU ONLINE. NA JE NI DOCUMENT GANI? GAZETI! INTERVIEWS SO THE VIOLENCE WAS PUBLICY RECORDED. BAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSSSS.
Mimi nipo hapa TO MAKE VODA SEE. Nimesema Jipu la Cosby lilichukua 40 yrs huko US hapa Bongo inaweza chukua hata 100 years, Tuombe uzima tu but I AM DEDICATED FOR THIS TASK.
HAHAHAAAAAAAAAAAA! KWELI I HAVE A LONGWAY TO GO. Na wewe ni mwanamke unakojoa umechuchumaaHujafanya kitu jasiri ata kidogo
Umeonesha chuki zako mbele
Na hilo linaonekana tangu posts zako za nyuma
Afu ata elimu itakuwa ni shida kwako maana huna hata evidence ya kutoka mahakamani kuwa umeshinda
"NO ONE IS GUILTY UNTIL PROVED BY THE COURT"
Kwanza sijasema alifurahi... habari yenyewe tayari nilishai-discredit kitambo coz' its from incredible source! From there, ndipo nikasema "hata kama...!" But all in all, inakamilisha the same thing kwamba Voda hawawezi kuacha kazi na mtu kwa kuangalia hivyo vya kuokoteza!
Again unatetea ujinga kv tu umefanywa na Mange! Hoja ni kwamba huwezi kujidai eti mtetezi dhidi ya uzalishaji wakati role model wako ni mdhalilishaji mkubwa wa wanawake wenzake tena akitumia matusi mazito mazito! Tumia title nyingine then tutaenda pamoja lakini kujifanya mtetezi; HELL NO!!Hahahaaaa! kUTUKANA SIO SAWA NA KUBAKA, KUPIGA WANAWAKE. HATA MAHAKAMANI MTUKANAJI ANAPATA LIGHTER SENTENCE ATAAMBIWA ALIPE FIDIA AU JELA MIEZI 6. KUBAKA THAT IS 30 YEARS IMPRISONMENT WITHOUT PAROLE NA KUMPIGA MWANAMKE NI SHAMBULIO LA MWILI HILO LIKO NEXT TO ATTEMPTED MURDER.
Mimi ni supporter wa Mange ndio ila SIJAONA BADO MANGE ANAHUSIKA VIPI NA HAWA WATU????????/
MANGE NDO ALIMSHIKIA DAI WEMA AMBUTUE MTOTO WA WATU? MANGE NDO ALIMSHIKIA MIC DAI AMWAGE RADHI CLOUDS FM? MANGE NDO ALIMSHIKIA ROMMY DEBBY AMFANYE VIBAYA DADA WA WATU. MANGE NDO ALIMTOROSHA ROMMY HUKO SWEEDEN?
ACHENI KILA KITU KUMSINGIZIA MANGE, TUNAPOELEKEA HATA DOLLAR INAVOSHUKA MTASEMA SABABU MANGE ANATUMIA SNAAA DOLLAR INAVOPANDA MTASEMA MANGE NDO ALAUMIWE HAJI BONGO KUUZA DOLLAR ZAKE NDO MAANA DOLLAR ZIMEADIMIKA. HAHAHAAAAAAAAAAAAAA!
Just waiting for the results
Because you have no strong points i also consider that only idiots will understand you
Again unatetea ujinga kv tu umefanywa na Mange! Hoja ni kwamba huwezi kujidai eti mtetezi dhidi ya uzalishaji wakati role model wako ni mdhalilishaji mkubwa wa wanawake wenzake tena akitumia matusi mazito mazito! Tumia title nyingine then tutaenda pamoja lakini kujifanya mtetezi; HELL NO!!
Hayo mengine sioni sababu ya kujibu manake source zake nishazi-discredit kitambo!!