HAHAHAAAAAAAAAAA! KWELI ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE.
haya niliosema kwa zari lipi LA UONGO NA LA KUZUA? Kwa hio Zali yule binti wa miaka 17 sio mzee? HAHAHAAAAAAAAAAA!
HANA WATOTO WA 4 HUYO ZALI? HAHAHAAAAAA!
EMBU POINT OUT HAPO KIPI CAH KUZUA NA KUTUNGA. Zali kama hanifahamu inahusu nini? Si maisha yake ameweka public kwenye insta yake, kwani nimfata uvunguni kujua haya? Mwenyewe ana post UZURI MWENZENU HAJIFICHI WALA HAONI TABU KUWA NI MTU MZIMA AND SHE IS PROUD ANA WATOTO WAKE WA 4 UNACHONENGENEKA WEWE HAPA ZALI KLATUKANWA SIJUI NI KIPI.
Hahahahaaa! Zali mwenyewe mara kibao anatukana followers wake na kutupia vijembe. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Mange alikuwa BLOGGER WHICH GAVE HER THE RIGHTS TO INVOLVES HERSELF WITH PEOPLES BUSINESS. Blogging business. Na bloggers kibao akiwemo Linda Ikeji, Perez Hilton mara kibao wanaonekana wabaya by simply GIVING PEOPLE THEIR RIGHT TO KNOW.
ALL IN ALL HAKUNA MAHALI KATIKA GAZETI LAKO HILI UMEMSAFISHA ROMMY WALA DAI. SANASANA UNATIA WATU UBAYA TU. HAO WOTE HATA UKIWAPAKA MAVI STILL THE CHARGES ARE REAL, RB IS REAL, FUGITIVE IS AT LARGE, MEDICAL REPORT IS REAL, HISTORY OF VIOLANCE IS REAL.