Ninayo maswali mengi sana Lakini Naomba unijibu mawili tu.Hao unao waita "wanyanyaswa"Dimond alikiri GAZETINI naomba google DIMOND KAMPIGA WEMA, utaletewa magezeti yenye hio interview kakiri kabisaa KUMPIGA WEMA. Sasa huyu mtu ni mnyanyasaji wa wanawake hafai kuwa BRAND AMBASSADOR. Achia mbali VERBAL ABUSE ANAZOWAFANYIA WANAWAKE.
Hatuwezi kuwa na jamii ya hivi. Sio sahihi.
Sio kucheka tu hata huu uzi ataukimbia.Ha ha ha hii comment ya lara bila shaka hata mwenyewe akiisoma leo anacheka
Sio kucheka tu hata huu uzi ataukimbia.
Ha ha ha hii comment ya lara bila shaka hata mwenyewe akiisoma leo anacheka
Ndio mana siku zote nasema hii Tanzania hadi kuendelea labda hawa vijana wote kama huyu Lala 1 watoweke kwanza duniani.
Life without unafiki haliendi....Ndio mana siku zote nasema hii Tanzania hadi kuendelea labda hawa vijana wote kama huyu Lala 1 watoweke kwanza duniani.
Haiwezekani mtu akiona kijana mwenzake anafanikia basi kiroho kinamuuma utafikiri yeye hajazaliwa na kichwa.
Kweli mkuu lakini tukizidisha inaboa.Life without unafiki haliendi....
Great Sinkers ktk life hawawezi kukosekanaKweli mkuu lakini tukizidisha inaboa.
[emoji3] [emoji3] Kweli kabisaGreat Sinkers ktk life hawawezi kukosekana
Ninayo maswali mengi sana Lakini Naomba unijibu mawili tu.Hao unao waita "wanyanyaswa"
Ni watoto wa miaka mingapi?
Je hao watoto waliwahi kushitaki Kwa wazazi wao?
Nihayo tu
Weka sheria na kifungu japo kimojaHata bibi wa miaka 70 kisheria bado ANALINDWA DHIDI YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA.
Hata kama hawajashtaki kama jamii tumeona ni kosa LAZIMA TUKEMEE.
Ndio mana siku zote nasema hii Tanzania hadi kuendelea labda hawa vijana wote kama huyu Lala 1 watoweke kwanza duniani.
Haiwezekani mtu akiona kijana mwenzake anafanikia basi kiroho kinamuuma utafikiri yeye hajazaliwa na kichwa.
Kulipwa sio issue hata Bill Cosby na Chriss walimalizia mikataba yao. ISSUE COMES TO BRAND IMAGE AND GOODWILL OF THE COMPANY.Nadhani Watanzania huwa hatupendi wenzetu wafanikiwe na wakifanikiwa tu tunawachukia
Huyu mtoa mada ni hakika ana chuki na mlengwa
Jana Mlengwa kapost
Cocacola
Dstv
Redgold tomato
Vodacom
Fastjet
Hata hao wote wakijiondia bado anaefaidika ni Mlengwa maana watamlipa
Sasa we Mwanamke anashinda kwenye mitandao anatukana watu siku amepigwa kibao na mumewe tutahisi kua ulimi uliteleza akamtukana mume wake na mume wake alikua anamkanya kidogo na nadhani hili la kukanayana kwa njia hii halitaisha binafsi sina hulka ya kumpiga mwanamke lakini nimeshuhudia mikwaruzano ambayo nilijisemea hata kama ni mimi ningenyanyua kibao.
Na hili la feminism likiendekezwa sana ipo siku mwanamke atakupiga na mwiko ndani alafu wewe ukimzaba kibao atalia na kwenda kukushtaki.
Mipango yako imefikia wapi
Mipango yangu na ya mda mrefu. HUWEZI KUTOA 24 HRS NOTICE. UNATOA REASONABLE TIME. NAONA BANGO MOJA WASHALITOA WAMEWEKA BUNDLE MARA 2, SIJUI DOUBLE BUNDLE, CLEAN NEW PERSON! EXACTLY AS IT SHOULD BE. TENA LILITOLEWA USIKU HAHAHAAAA. NILIENDA KULIPIGA PICHA.
ILA BADOOOOOOOOOOOOO! EITHER WAMPIGE CHINI KIMYA KIMYA AU WATOE TAMKO, NIKO NAO VODA.
NAONA BANGO MOJA WASHALITOA WAMEWEKA BUNDLE MARA 2, SIJUI DOUBLE BUNDLE, CLEAN NEW PERSON! EXACTLY AS IT SHOULD BE. TENA LILITOLEWA USIKU HAHAHAAAA. NILIENDA KULIPIGA PICHA