Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Dimond alikiri GAZETINI naomba google DIMOND KAMPIGA WEMA, utaletewa magezeti yenye hio interview kakiri kabisaa KUMPIGA WEMA. Sasa huyu mtu ni mnyanyasaji wa wanawake hafai kuwa BRAND AMBASSADOR. Achia mbali VERBAL ABUSE ANAZOWAFANYIA WANAWAKE.

Hatuwezi kuwa na jamii ya hivi. Sio sahihi.
Ninayo maswali mengi sana Lakini Naomba unijibu mawili tu.Hao unao waita "wanyanyaswa"
Ni watoto wa miaka mingapi?
Je hao watoto waliwahi kushitaki Kwa wazazi wao?
Nihayo tu
 
Sio kucheka tu hata huu uzi ataukimbia.
af7bec49c66bc379e4ee8d5581a9d803.jpg

Ha ha ha hii comment ya lara bila shaka hata mwenyewe akiisoma leo anacheka
 
Ninayo maswali mengi sana Lakini Naomba unijibu mawili tu.Hao unao waita "wanyanyaswa"
Ni watoto wa miaka mingapi?
Je hao watoto waliwahi kushitaki Kwa wazazi wao?
Nihayo tu

Hata bibi wa miaka 70 kisheria bado ANALINDWA DHIDI YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA.

Hata kama hawajashtaki kama jamii tumeona ni kosa LAZIMA TUKEMEE.
 
Ndio mana siku zote nasema hii Tanzania hadi kuendelea labda hawa vijana wote kama huyu Lala 1 watoweke kwanza duniani.
Haiwezekani mtu akiona kijana mwenzake anafanikia basi kiroho kinamuuma utafikiri yeye hajazaliwa na kichwa.

POLE YAKO WEWE SASA NDO KAMA GRAIN OF WHEAT NAPANDA MBEGU TU.
 
Nadhani Watanzania huwa hatupendi wenzetu wafanikiwe na wakifanikiwa tu tunawachukia
Huyu mtoa mada ni hakika ana chuki na mlengwa
Jana Mlengwa kapost
Cocacola
Dstv
Redgold tomato
Vodacom
Fastjet

Hata hao wote wakijiondia bado anaefaidika ni Mlengwa maana watamlipa
Kulipwa sio issue hata Bill Cosby na Chriss walimalizia mikataba yao. ISSUE COMES TO BRAND IMAGE AND GOODWILL OF THE COMPANY.

NAULIZA CHUKI ZANGU NDO ZILIMSHIKIA DJ MIGUU YA DEBBY ACHOMEKE? NA NDO ZILIMSHIKA WEMA ADUNDWE?
 
Sasa we Mwanamke anashinda kwenye mitandao anatukana watu siku amepigwa kibao na mumewe tutahisi kua ulimi uliteleza akamtukana mume wake na mume wake alikua anamkanya kidogo na nadhani hili la kukanayana kwa njia hii halitaisha binafsi sina hulka ya kumpiga mwanamke lakini nimeshuhudia mikwaruzano ambayo nilijisemea hata kama ni mimi ningenyanyua kibao.
Na hili la feminism likiendekezwa sana ipo siku mwanamke atakupiga na mwiko ndani alafu wewe ukimzaba kibao atalia na kwenda kukushtaki.

it doesnt matter. umenyanyua mkono emetandika, umemsababishia maumivi WEWE NI CERTIFIED WOMEN ABUSER. Sio kwa kuvimba kule sura, ile migumi kabisaaaa. Na jino lilitoka si ajabu. Hahahaaa
 
Mipango yako imefikia wapi

Mipango yangu na ya mda mrefu. HUWEZI KUTOA 24 HRS NOTICE. UNATOA REASONABLE TIME. NAONA BANGO MOJA WASHALITOA WAMEWEKA BUNDLE MARA 2, SIJUI DOUBLE BUNDLE, CLEAN NEW PERSON! EXACTLY AS IT SHOULD BE. TENA LILITOLEWA USIKU HAHAHAAAA. NILIENDA KULIPIGA PICHA.

ILA BADOOOOOOOOOOOOO! EITHER WAMPIGE CHINI KIMYA KIMYA AU WATOE TAMKO, NIKO NAO VODA.

 
Mipango yangu na ya mda mrefu. HUWEZI KUTOA 24 HRS NOTICE. UNATOA REASONABLE TIME. NAONA BANGO MOJA WASHALITOA WAMEWEKA BUNDLE MARA 2, SIJUI DOUBLE BUNDLE, CLEAN NEW PERSON! EXACTLY AS IT SHOULD BE. TENA LILITOLEWA USIKU HAHAHAAAA. NILIENDA KULIPIGA PICHA.

ILA BADOOOOOOOOOOOOO! EITHER WAMPIGE CHINI KIMYA KIMYA AU WATOE TAMKO, NIKO NAO VODA.



Sijakuelewa umeandika nini unaweza kurudia tena
 
NAONA BANGO MOJA WASHALITOA WAMEWEKA BUNDLE MARA 2, SIJUI DOUBLE BUNDLE, CLEAN NEW PERSON! EXACTLY AS IT SHOULD BE. TENA LILITOLEWA USIKU HAHAHAAAA. NILIENDA KULIPIGA PICHA

yani Lara 1 nimekudharau mpaka kinyaa!! Yani umeanza na kutunga uongo kabisa.. mpuuzi kabisa!!! Voda watoe bango usiku eti kwasababu ya Lara [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Next tym unapochukua hela za watu kufanya dirty work jipime ubavu kwanza!! Sasa unaishia kujitekenya na kucheka mwenyewe.. wewe ligi ndogo sana bado! Umaarufu wako ni zile post zako za kuuza k, Ila kuhusu mipango ya mjini utasubiri sana
 
Back
Top Bottom