Kwani kitu gani diamond kama daimond kafanya kibaya
Rommy kasema alikuwa mpenzi wake na hata chatts zao kasema anazo
Na we kumbuka ulivyokuwa unamtukana Zari kibibi na kumsifia wema asizae ili muendelee kumpendaWe niite stupid maliza yoteeee ILA HAIMSAFISHI DIMOND HATA CHEMBE. NA VODACOM NITAWATUMBUA TU HILO JIPU LAO. Nimesha m DM Debora insta ndo wa kwanza kufunguka, believe me, Joyce Kiria yupo njiani soon ataonesha makali. RIP DIAMOND AND OTHER WOMEN ABUSERS. MPAKA MTUBAKE WOTE NDO TUONGEE. Hataaaa.
Ni kukubali tu kwamba anajua ila kwa kiwango chake. Halafu usidhani watu wanaojua humu ni hadi waoneshe wanajua. Kama ulimaanisha kwamba sijui ndio maana nimeona lara 1 anajua sahau hilo, rejea mstari wa kwanza hapo juu.Nothing....
Hyo insue ni personal na kama wema angeona ni kitu kikubwa angesema ila kama hajasema sidhani kama ni insue kubwaDimond alikiri GAZETINI naomba google DIMOND KAMPIGA WEMA, utaletewa magezeti yenye hio interview kakiri kabisaa KUMPIGA WEMA. Sasa huyu mtu ni mnyanyasaji wa wanawake hafai kuwa BRAND AMBASSADOR. Achia mbali VERBAL ABUSE ANAZOWAFANYIA WANAWAKE.
Hatuwezi kuwa na jamii ya hivi. Sio sahihi.
Mbna wema alikiri gazetini kuwa katoa mimba nyingi na hilo hujalisemaDimond alikiri GAZETINI naomba google DIMOND KAMPIGA WEMA, utaletewa magezeti yenye hio interview kakiri kabisaa KUMPIGA WEMA. Sasa huyu mtu ni mnyanyasaji wa wanawake hafai kuwa BRAND AMBASSADOR. Achia mbali VERBAL ABUSE ANAZOWAFANYIA WANAWAKE.
Hatuwezi kuwa na jamii ya hivi. Sio sahihi.
Haya bwana hata manny pacman amenyimwa udhamini kwa kudhalilisha mashoga, wazungu bwana, safi saana
?Mbna wema alikiri gazetini kuwa katoa mimba nyingi na hilo hujalisema
Na inajulikana kabisa kikatiba kuwa kosa la kutoa mimba ni kosa la jinai na linahusisha wahusika wote na wale wote waliojua
Lisipotolewa naomba ujinyonge pleasee! Maana si kwa povu hilo!
Me naaga ntarudi kuona mrejesho wa ujinga wako!
Ko sio kosa???
JE WEMA YKO ENDORSED????????? AKIWA ENDORSED TUTALIVALI NJUGA HILO SWALA. SHERIA NI MSUMENO INAKATA HUKU NA HUKU
Inakusaidia nini kumharibia mwenzako?
Kuna faida yeyote ya kupambana kushusha mafanikio ya mtu!? Kila mtu ana weaknesses zake,na usimjudge mtu kutokana na record yake,kuna viongozi bora tu duniani wenye mistakes kibao katika historia zao,kitu cha kuangalia ni kama huyu mtu hivi sasa anafanya hayo unayomshutumu.?
JE WEMA YKO ENDORSED????????? AKIWA ENDORSED TUTALIVALI NJUGA HILO SWALA. SHERIA NI MSUMENO INAKATA HUKU NA HUKU