Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Acha kutafuta hela kupitia migongo ya Watu, umesifia kuchuna weeee umeona papuchi inababuka tu huna unachokipata, sasa naona umekuja na fiksi zingine za eti usawa,hivi chukulia hata wewe leo Diomond akutokee akute papuchi inapwaya hatari hadi imeota sugu unategemea CHIBU asikupe kichapo?
You missed the point!!This is not the LAST OF IT. It took 30 years and above WOMEN ACTIVISTS TO MAKE BILLY COSSBY RESPONSIBLE FOR HIS ACTS AND VIOLENCE COMMITED AGAINST WOMEN IN HIS 40 YEARS CAREER. Juzi kapanda kizimbani hajapanda?
THIS IS JUST THE BEGGINING.
Kwa nini unaanza kujinadi mapema kwamba 2017 UVCCM na unakana pasi na shaka siasa sio mchezo wako?Politics is not my game. CORPORATE AFFAIRS IS MY THING. Hapa ndo nipo nyumbani. Kila mtu anatetea anapoweza jamaniii. Mtata mwishowe nikawatetee kwa waume zao wasioshe vyombo.
Ni mwanaume aliyepita milembe pekee ndio anaweza kuishi na wema bila kupiga mabuti..... All in all harakat zenu za nyuma ya keyboard za simu za kichina zinatujazia server zetu bana....
Wewe kama ni feminism activist nenda ka-file kesi umpeleke diamond mahakaman na sio kutokwa na povu kwa mtoto wa Jike mwenzako.....
Eti unasema wema sepetu alikuwa anapewa kipigo heavy mbona hujazungumzia wema sepetu kama jimama kumgaribu kijana wa watu diamond....
Mwisho kabisa lugha yako siielew nisaidie niwe naelewa
Unetenda huo wema sepetu wako kwa kutunza bikira ili mume wako aikute, au TAMWA haiungi mkono mwanamke kuwa bikraHELA GANI NAPATA SASA? HATA DEBBY AKILIPWA HANIJUI SO HATA 10 HAWEZI KUNIGEAAA. Vitu vingine Mungu tu ndo anatulipiaaaaa. Natenda wema niende zangu.
HELA GANI NAPATA SASA? HATA DEBBY AKILIPWA HANIJUI SO HATA 10 HAWEZI KUNIGEAAA. Vitu vingine Mungu tu ndo anatulipiaaaaa. Natenda wema niende zangu.
You missed the point!!
Umeanza na story ya Rommy kubaka na hatimae ukaendeleza hoja yako kwa kusema "Historia ya Diamond.....!" Ndipo nimeuliza how come suala la ubakaji wa Rommy uliunganishe na historical abuse ya Diamond?!
Sina haja kuzungumzia hilo la Bill Cosby kwa sababu halifanani na historical abuse ya Diamond uliyoitoa unless ndo kama unataka kulifanya hilo la Rommy kuwa ndo la Diamond! Hapa cjazungumzia credibility ya source zako (Amani) ambalo katu siwezi kufanya reference ya kujenga tuhuma mzito dhidi ya mtu mwingine!!!
Hivi ni nani yule ambae aliamua kuweka ndani kabisa baada ya kumvunjia kioo cha gari? Was Marehemu Kanumba, or?Ni mwanaume aliyepita milembe pekee ndio anaweza kuishi na wema bila kupiga mabuti..... All in all harakat zenu za nyuma ya keyboard za simu za kichina zinatujazia server
Si ungeuliza swali tu moja kwa moja?mbakaji ni diamond au dj wake?
Mimi ni PR GURU na media is my home trust me. kuelewa nacho kipaji ujue.
It doesnt matter wote wako kwenye hilo bango la VODACOM. See the IRONY?
Wahusika? wa kesi ipi?, ani aliwatia hatiani?, hiyo kesi ilisikilizwa mahakama gani?, watuhumiwa walipewa hukumu gani?...... …... Najua utakuja na vireferences vyako kutoka instagram na magazeti ya amani na ijumaa, na ukute na degree ya chuo kikuu hapoYOU MISSED THE POINT. My point is ENDORSEMENT YA VODA NA HAWA WAHUSIKA WOTE WAKO KWENYE MABANGO YA HAO VODACOM. Sasa sijajua point yako ni ipi?
Hivi kwa nini Diamond amekuwa maarufu kiasi hiki?
Si Voda tu (maana naamini wao wanamtumia kibiashara kwa sababu ya umaarufu wake), je mashabiki na wateja wake hawaoni huu "ubakaji" na "unyanyasaji" wake? Au wote hawa wameamua kutojali "mabaya" yote haya?
Tunaambiwa ana bifu na Ali Kiba. Je ni bifu juu ya nini? Je hii thread si mojawapo ya "ngumi" za huyo Kiba?
Tuelimisheni.