Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Ni mwanaume aliyepita milembe pekee ndio anaweza kuishi na wema bila kupiga mabuti..... All in all harakat zenu za nyuma ya keyboard za simu za kichina zinatujazia server zetu bana....

Wewe kama ni feminism activist nenda ka-file kesi umpeleke diamond mahakaman na sio kutokwa na povu kwa mtoto wa Jike mwenzako.....

Eti unasema wema sepetu alikuwa anapewa kipigo heavy mbona hujazungumzia wema sepetu kama jimama kumgaribu kijana wa watu diamond....

Mwisho kabisa lugha yako siielew nisaidie niwe naelewa
 
Acha kutafuta hela kupitia migongo ya Watu, umesifia kuchuna weeee umeona papuchi inababuka tu huna unachokipata, sasa naona umekuja na fiksi zingine za eti usawa,hivi chukulia hata wewe leo Diomond akutokee akute papuchi inapwaya hatari hadi imeota sugu unategemea CHIBU asikupe kichapo?

HELA GANI NAPATA SASA? HATA DEBBY AKILIPWA HANIJUI SO HATA 10 HAWEZI KUNIGEAAA. Vitu vingine Mungu tu ndo anatulipiaaaaa. Natenda wema niende zangu.
 
This is not the LAST OF IT. It took 30 years and above WOMEN ACTIVISTS TO MAKE BILLY COSSBY RESPONSIBLE FOR HIS ACTS AND VIOLENCE COMMITED AGAINST WOMEN IN HIS 40 YEARS CAREER. Juzi kapanda kizimbani hajapanda?

THIS IS JUST THE BEGGINING.
You missed the point!!

Umeanza na story ya Rommy kubaka na hatimae ukaendeleza hoja yako kwa kusema "Historia ya Diamond.....!" Ndipo nimeuliza how come suala la ubakaji wa Rommy uliunganishe na historical abuse ya Diamond?!

Sina haja kuzungumzia hilo la Bill Cosby kwa sababu halifanani na historical abuse ya Diamond uliyoitoa unless ndo kama unataka kulifanya hilo la Rommy kuwa ndo la Diamond! Hapa cjazungumzia credibility ya source zako (Amani) ambalo katu siwezi kufanya reference ya kujenga tuhuma mzito dhidi ya mtu mwingine!!!
 
Politics is not my game. CORPORATE AFFAIRS IS MY THING. Hapa ndo nipo nyumbani. Kila mtu anatetea anapoweza jamaniii. Mtata mwishowe nikawatetee kwa waume zao wasioshe vyombo.
Kwa nini unaanza kujinadi mapema kwamba 2017 UVCCM na unakana pasi na shaka siasa sio mchezo wako?
 
Ni mwanaume aliyepita milembe pekee ndio anaweza kuishi na wema bila kupiga mabuti..... All in all harakat zenu za nyuma ya keyboard za simu za kichina zinatujazia server zetu bana....

Wewe kama ni feminism activist nenda ka-file kesi umpeleke diamond mahakaman na sio kutokwa na povu kwa mtoto wa Jike mwenzako.....

Eti unasema wema sepetu alikuwa anapewa kipigo heavy mbona hujazungumzia wema sepetu kama jimama kumgaribu kijana wa watu diamond....

Mwisho kabisa lugha yako siielew nisaidie niwe naelewa

Mimi ni PR GURU na media is my home trust me. kuelewa nacho kipaji ujue.
 
Mtoa maada naona unamtazamo wa upande mmoja

Ningekushauri anza kuelimisha wanawake wenzio ndio uje upande wa huku.

Hivi kwa upeo wako unaweza kaa hadarani ukamtetea wema? eti anastaili kuheshimiwa,kadalilishwa nk.

Kaa ukijua most ya wanaweka(masister duu) wanajidaririsha ili wapate umaarufu,

Unamjua mzazi mwezie na Sugu,unamjua gigmoney,unamjua lulu,anza na hawa kuwapa darasa la utu kabla ya dai.

Kumbuka most ya wanawake wanapenda vya bure,vya bure ghalama,toa shule kwa mabinti ndio uje upande wa pili

Unakumbuka ule mwaka mam jk aliwachukua mabint bikra wakala kiapo chakuto du mpaka wamalize shule,,

Anza na huko dada,

Leo hii msichana kutembea na msanii anajisifu na kijitangaza, Unakumbuka msaanii wa nigeria (tecno) alivyo kuja bongo

Then wakina gigimoney lulu na masogange wanajisifu kwenye mitandao etiwametembea nae.vipi hili halikukudhalilisha ww kama mwanamke?
je hapo teckno akijisifu katembea nao wote atakuwa anadhalilisha wanawake?

wanaawake wengi wanajidhalilisha kuliko wanavyo dhalilishwa?

So dada kama kweli unaumia basi anza na wale mabint wanaochipukia hawa magube gube achana nao kabisa
 
HELA GANI NAPATA SASA? HATA DEBBY AKILIPWA HANIJUI SO HATA 10 HAWEZI KUNIGEAAA. Vitu vingine Mungu tu ndo anatulipiaaaaa. Natenda wema niende zangu.
Unetenda huo wema sepetu wako kwa kutunza bikira ili mume wako aikute, au TAMWA haiungi mkono mwanamke kuwa bikra
 
Hivi kwa nini Diamond amekuwa maarufu kiasi hiki?

Si Voda tu (maana naamini wao wanamtumia kibiashara kwa sababu ya umaarufu wake), je mashabiki na wateja wake hawaoni huu "ubakaji" na "unyanyasaji" wake? Au wote hawa wameamua kutojali "mabaya" yote haya?

Tunaambiwa ana bifu na Ali Kiba. Je ni bifu juu ya nini? Je hii thread si mojawapo ya "ngumi" za huyo Kiba?

Tuelimisheni.
 
You missed the point!!

Umeanza na story ya Rommy kubaka na hatimae ukaendeleza hoja yako kwa kusema "Historia ya Diamond.....!" Ndipo nimeuliza how come suala la ubakaji wa Rommy uliunganishe na historical abuse ya Diamond?!

Sina haja kuzungumzia hilo la Bill Cosby kwa sababu halifanani na historical abuse ya Diamond uliyoitoa unless ndo kama unataka kulifanya hilo la Rommy kuwa ndo la Diamond! Hapa cjazungumzia credibility ya source zako (Amani) ambalo katu siwezi kufanya reference ya kujenga tuhuma mzito dhidi ya mtu mwingine!!!

YOU MISSED THE POINT. My point is ENDORSEMENT YA VODA NA HAWA WAHUSIKA WOTE WAKO KWENYE MABANGO YA HAO VODACOM. Sasa sijajua point yako ni ipi?
 
Hapo uliotaja hao sijui akina mrekibisha tabia ndio nimekudharau kabisa,bora usingewataja hao watu,kumbe ni kuna malengo yako
Ki ukweli umeanguka tena sana hupati kitu kakae na kamati yako mjipange
 
YOU MISSED THE POINT. My point is ENDORSEMENT YA VODA NA HAWA WAHUSIKA WOTE WAKO KWENYE MABANGO YA HAO VODACOM. Sasa sijajua point yako ni ipi?
Wahusika? wa kesi ipi?, ani aliwatia hatiani?, hiyo kesi ilisikilizwa mahakama gani?, watuhumiwa walipewa hukumu gani?...... …... Najua utakuja na vireferences vyako kutoka instagram na magazeti ya amani na ijumaa, na ukute na degree ya chuo kikuu hapo
 
Hivi kwa nini Diamond amekuwa maarufu kiasi hiki?

Si Voda tu (maana naamini wao wanamtumia kibiashara kwa sababu ya umaarufu wake), je mashabiki na wateja wake hawaoni huu "ubakaji" na "unyanyasaji" wake? Au wote hawa wameamua kutojali "mabaya" yote haya?

Tunaambiwa ana bifu na Ali Kiba. Je ni bifu juu ya nini? Je hii thread si mojawapo ya "ngumi" za huyo Kiba?

Tuelimisheni.

Mimi mteja wa hio vodacon nimeona na LINE NISHA FLUSH CHOONI kitambo sasa wateja hatuoni vipi sasa? Kama mteja nimeongea hapa.
 
Back
Top Bottom