Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kichwa yako ngumu kuelewa.mi nahusika vp na simu yako si ununue yenye uwezo yani unataka kunipangia hata namna ya kutumia hii kitu,,,,, we veeepeeee
Lara1, watu hawajui haki zao. Hao aliow-abuse wakienda mahakamani anafilisika huyo! Waamshe wajue haki zao! Watafutie kesi mbali mbali za commonwealth waone watu walivyolipwa billions on such issues!
Naona kichwa yako ngumu kuelewa.
Naona kichwa yako ngumu kuelewa.
We sio bure una lakoMimi mteja wa hio vodacon nimeona na LINE NISHA FLUSH CHOONI kitambo sasa wateja hatuoni vipi sasa? Kama mteja nimeongea hapa.
Next time uache utotomi najua utani kumbe uko bize kabisa unakomaa na mm aloo sipendi hivi ktk hii thread umeniona mm tu narudia fanya yako.
I didn't miss any of your point if available but umeshindwa kujenga hoja labda kv uliona ushahidi ulionao ni magazeti ya Amani(ambayo sio credible source) ndipo ukaamua kuchomekea a known Rommy issue wakati target yako ni Diamond!
That's but second, Chris Brown alipoteza some of the endorsements kwahiyo it's after something lakini unachotaka wewe Diamond asipate endorsement simply because BACK THEN, according to Gazeti la AMANI the guy abused so and so huku ukisahau hata huyo Chris Brown mwenyewe hadi kesho anaendelea kupata endorsement!
Next time uache utoto
Anatafta kiki tu huyu
Hili ni moja ya dili lake la kila siku
Ko anataka support ili apige dili kubwa
Na cha ajabu watu wameshituka
MediaFakeOut and seriousness are oxymorons.
And taking a supposedly serious issue to a bottom of the rung black celebrity gossip website is the zenith of ignorance!
Fred Mwangaguhunga is a genius for finding a niche in folks ignorance.
Upo sahihi sana best, ila una kazi ngumu kuwashawishi watu katika hili hasa ukichukulia watu wengi humu wamelelewa katika mazingira ya mfumo dume, kikubwa wee waandakie decision makers wa Voda humu utakatishwa sana tamaaHAKI ZA WANAWAKE NI VERY SENSITIVE GLOBALLY NA VODACOM NI ADVOCATE MKUBWA SANAAA KAMA VODACOM GLOBAL KWENYE MAMBO YA WOMEN EMPOWERMENT. Ndo maana hili jipu la Tanzania tutawasaidia kulitumbua
Upo sahihi sana best, ila una kazi ngumu kuwashawishi watu katika hili hasa ukichukulia watu wengi humu wamelelewa katika mazingira ya mfumo dume, kikubwa wee waandakie decision makers wa Voda humu utakatishwa sana tamaa
Kabla cjaingia kwenye hoja; why did you decide to shout?! Just curious but you may ignore to answer!Magaezeti ya AMANI ARE VERY CREDIBLE NDO MAANA SHIGONGO MPAKA KESHO KUTWA HAJAWAHI SHINDWA LWA SUIT NA KUMLIPA MTU HATA 10. CAUSE ANATUMIA FACTS NA ANAJIAMINI ANCHOANDIKA. WEWE KUTOKUAMINI ANACHOANDIKA IS YOUR CHOICE. ANAWAHOJIGI KWENYE TAPE RECORDER WANABWABWAJA ZIKIHITAJIKA ANAZO KABATINI KWAKE. NDO MAANA MTANZANIA SIJUI MAJIRA WANAFUNGIWA NA KULIPA FINE MABILLION, ACHA KUKANUSHA NA KUOMBA RADHI KUMSAFISHA MUANDIKWA ILASHIGONGO ANAPETA TU. HAYUKO JUU YA SHERIA HATA KIDOGO.
Target yangu si Dimond ni ENDORSEMENT YA VODACOM KAMA NILIVOKWAMBIA AWALI. Wote Dai na Rommy wapo kwenye mabango wakati WANA LONG HISTORY DOCUMENTED OF WOMEN ABUSE.
BILL COSBY KAPOTEZEA ENDORSEMENT AFTER BECAUSE OF BACK THEM AND HE WAS FURTHER STRIPPED ALL HIS HONORARY DEGREES AND NOBLE TITLES. AFTER YENYEWE NOT 5 YEARS KAMA DIMOND NI 40 YEARS AND ABOVE SOME INCIDENTS ARE WAY BACK THE 1970S. SEE THE IRONY?