Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

What r yu waiting for???? Nenda huko tmz na nini sijui!!! Kwa ufupi hakuna utakaye mblack mail Kwa vimikwara mbuzi vyako.. and watch out mwezi may kuna maendorsement mengine ya haja tu yanakuja.. mpaka mfe Kwa kiungulia mwaka huu

I am waiting for VODACOM kama watato tamko au watakaa kimya? Mimi kwenda nitaenda wala sihitaji go ahead ya mtu yoyote humu kama nilivoamka kivyangu vyangu kuja kuweka huu uzi humu kuna alinipa go ahead?

I AM WAITING KWA HAMU HIZO ENDORSEMENT SO I CAN CRUCIFY THOSE COMPANIES ON MEDIA. Tuombe uhai tu kwa Mungu ila vinginevo nikoa hapa hapa.

PS: NINGETAKA KUMBLACK MAILA NINGEMPIGIA SIMU, ILA NIMEANDIKA PUBLICLY! SO HUWEZI KUMBLACK MAIL MTU PUBLICLY. KAMA NILIVOKUJA HAPA NITAENDA KOTE HUKO NA ZAIDI.

PEACE AND LOVE.
 
Roho mbaya inakusumbua wewe unashindwa kuweka presha kwa wakina wema sepetu wanaoharibu maadili mtaan ya wadogo zetu unamkazania diamond....

Unashindwa kuaddress issue za ufisad zimavyopelekea vifo vya wakina mama wajawazito kabla na katika kipindi cha kujifungua unamkazania diamond....

We ni mjinga sana bado akili zako zinadhan tanzania na marekani ni sawa... Boycot za marekan zinafanikiwa kwa sababu challenges nyingi tayar zimeshakuwa addresed ndio maana huwez kusikia vifo vya wakina mama kwa kukosa damu wakat wa kujifungua.... Hitisha harambee kuaddress issue za wanawake wenzako otherwise kuendelea kumfuatilia diamond ni dalili tosha una kitu unatafuta....

HAHAHAAAAAAAA! Mimi lengo langu hapa ni moja tu. TO POINT OUT THAT A GIANT CORPORATION KAMA VODACOM WAS WRONG AND IS STILL RONG KUMUENDORSE DAI. NDO MAANA WANA MBAKAJI MWENYE RB HUKO SWEDEN KWENYE MAMBANGO YAO YENYE SUCH A BIG GLOBAL BRAND WHICH ADVOCATES WOMEN RIGHTS.

Sawa Bongo si kama ulaya wala marekani ila VODA KAMA VODA INA STANDARD ZA ULAYA NA MAREKANI.

Na simfuatili Dai naifatilia VODA WANAVOUA GLOBAL BRAND TUNAWACHEKEA TU.
 
lara 1 vipi kuhusu cocacola maana mondi ni ambasador
hao wote walifanya makosa, lucky for them HAWANA BANGO LENYE MTUHUMIWA MWENYE RB, AND I WAS NOT THERE TO POINT OUT THE FACTS KAMA LEO HIVI.

By the nilikaa kimya thought Dai na management yake wamebadilika, ila juzi jinsi walivo ADDRESS SCANDAL YA UBAKAJI NIMEJUA KABISAA THEY HAVENT CHANGED ONE BIT, NA HAWATOBADILIKA LEO WALA KESHO.

Sio kesi hata Bill Cosby alikuwa amepewa endorsement nyingi tuuu in the END social justice ilimfikia. Tutafika tu. One company at a time.

KAMA VODA HILI LIMEWAKALIA VIBAYAAA MAANA MIBANGO NCHI NZIMA, RB NDO ISHATOKA, REPORT YA HOSPITAL IMETOKAAA. HAHAHAAAAAAA! Inanikumbusha Kali P na wimbo wake LIMEKAA VIBAYA.
 
Daud1990

HAHAHAAAAAAAAA! KAMA KUCHAMBWA HUMU NDANI BASI MIMI NIMEKOGESHWA NA KUSUGULIWA MWILI MZIMA. NISHACHAMBWA NA GUNZI, NIKACHAMBWA NA UPUPU, NIKACHAMBWA NA JIWE, NIKACHAMBWA WIMA WIMA, KWAKWELI HAPO KWAKO SIJAONA JIPYAAAA.

Yale yale tu ya siku zote.
 
HAHAHAAAAAAAA! Mimi lengo langu hapa ni moja tu. TO POINT OUT THAT A GIANT CORPORATION KAMA VODACOM WAS WRONG AND IS STILL RONG KUMUENDORSE DAI. NDO MAANA WANA MBAKAJI MWENYE RB HUKO SWEDEN KWENYE MAMBANGO YAO YENYE SUCH A BIG GLOBAL BRAND WHICH ADVOCATES WOMEN RIGHTS.

Sawa Bongo si kama ulaya wala marekani ila VODA KAMA VODA INA STANDARD ZA ULAYA NA MAREKANI.

Na simfuatili Dai naifatilia VODA WANAVOUA GLOBAL BRAND TUNAWACHEKEA TU.

Wewe una hisa voda??? Kwanini usiamue kuacha kutumia huduma zao..... Na kama unahisa nenda kazitoe....

Nasema tena wewe unatafuta kicks.
 
Mtoa mada kwa hili la leo kubali umekosea kidogo hakuna shida hakuna asiyekosea

Huyo msanii ana mashabiki wengi wanawake kuliko unavyodhani na wapo wanawake ambao wanatamani sana kupigwa hata kibao na msanii huyo ila hawapati hiyo nafasi so wakati wewe unawatetea wenzako wanatafuta hiyo nafasi

Pili voda au kampuni yoyote inayomtumia ni kwa kua walijua yeye anaweza kuitangaza biashara yao yaan sio msanii aliitafuta kampuni ila ni kampuni inamtafuta msanii baada ya kujua msanii huyo ana kundi kubwa la watu nyuma yake kwa ajili ya bidhaa yao

kampuni ikimtosa leo itapata hasara kuliko msanii kwa sababu msanii ataendelea na shughuli zake za matamasha na kampuni itakua imepoteza gharama nyingi za matangazo na malipo kibao kwa ajili ya bidhaa yao
 
Huu Uzi una lengo moja kati ya haya..

1. Lara 1 unajulikana wazi kuwa unakitu personal dhidi ya De eidha mmewahi kukwaruzana au kuna mtu wako wa karibu au shosti wako Fulani hayuko poa na Dee na ndio Maana sijawahi kuona hata siku moja umeongea neno zuri kuhusu Dee..

Kwahiyo hizi ngonjera zako za kujifanya mtetezi wa haki za wanawake ni upuuzi na mazombi pekee ndio watakuamini..

2. Chuki/wivu ulionao juu ya Dee ndio motive iliyoko ndani yako! Hii dili ya Voda monde amelamba zaidi ya mil 600 na kuna haters hapa mjini imewauma hawapati hata usingizi.. naanza kuamini wewe ni mmojawapo

3. Attempt ya kujaribu kunuharibia Dee aipate dili nyingine.. licha ya kuwa umejisifu wewe guru wa PR ila hii strategy yako ni ya kitoto mno.. you might be able to draw attention ya hivyo vigazeti uchwara vya udaku but trust me this issue will get no where!! Strategy yako ya kijinga mno, hebu jievaluate upya kabla ya kujitutumua wewe ni guru..

4. Blackmail, huu mkwara wako kuwa utaenda tmz unaoutoa kwenye kila post unaonesha kabisa kuna angle flani unataka kublackmail coz kama imekuuma sana unasubiria nini

5. Wewe Lara 1 hauna uhalali wa kujifanya mtetezi wa wanawake!! Wewe ndio kila siku ukauki kumdhalilisha zari, mwanamke pekee unayemtetea ni Yule hips kalimati!! So stop this stupidity ya kujifanya activist..

Mwisho kabisa niseme UMEFELI!! kama umetumwa kamwambie aliyekutuma mjipange upya.. kama umeandika Kwa will yako mwenyewe pia UMEFELI vile vile!!!
 
Daud1990

HAHAHAAAAAAAAAAA! Kwa ufahamu huu hata kuchambana na wewe ni kukuonea. SIO KOSA LAKO NI LA SERIKALI YAKO.

Wachaaaaa weeee kwa hio kama sina hisa voda niuchune uongo? Hahahaaaa! Niangalie tu brand ichafuliwe mimi nitulize kitenesi au sio kwani napewa shingi ngapi? Umeonaaaaa!

Sasa nikiacha kutumia huduma zao huoni kama watapata hasra, kampuni itafungwa watu watakosa ajia shoga angu, na wasomi wetu watauza kariakoo, na sisi wauzaji wa kariakoo tumuuzie nani? Ila yote hii kwani inanihusu nini eti ? Najichosha tu bureee uongo . Uchumi umemshinda raisi mie nitauwezea wapi?

Hisa sina ile ni private company hawajatoa IPO (Initial public Offer) wala hisa zao haziuzwi sokoni.

Basi nistiriiii nimekoma kutafuta kiki, nitafatilia mambo yangu kuanzia sasa hivi, unadhaniii! Siwashwi washwi mahindi ya kuchoma tenaaa nitakuwa nawashwa mahindi ya kuchemshaaa.

NIMEKUSOMA USIJALI.
 
Hahahaha

1.kwani diamond kaacha lini na wema mpaka uje useme leo..?

2.Je kuna mahakama iliothibitisha kua roomy kabaka...?unazungumzia cris Brown hujui kua mahakama ilithibitisha ndo makampuni yakavunja mkataba..

3.halafu kati ya wema na diamond nani anadhalilisha wanawake....?

4.acha chuki binafsi wewe
 
Mtoa mada kwa hili la leo kubali umekosea kidogo hakuna shida hakuna asiyekosea

Huyo msanii ana mashabiki wengi wanawake kuliko unavyodhani na wapo wanawake ambao wanatamani sana kupigwa hata kibao na msanii huyo ila hawapati hiyo nafasi so wakati wewe unawatetea wenzako wanatafuta hiyo nafasi

Pili voda au kampuni yoyote inayomtumia ni kwa kua walijua yeye anaweza kuitangaza biashara yao yaan sio msanii aliitafuta kampuni ila ni kampuni inamtafuta msanii baada ya kujua msanii huyo ana kundi kubwa la watu nyuma yake kwa ajili ya bidhaa yao

kampuni ikimtosa leo itapata hasara kuliko msanii kwa sababu msanii ataendelea na shughuli zake za matamasha na kampuni itakua imepoteza gharama nyingi za matangazo na malipo kibao kwa ajili ya bidhaa yao

Hapana sijafanya kosa, LEO NIMEJITOA UFAHAMU NA KUFANYA KITU JASIRI SANAAA. Nimeingia war front kusema yale jamii inaogopa kuyasemaaa. SIJAKOSEA HATA CHEMBE KUKEMEA UNYANYASAJI WA WANAWAKE KWENYE JAMII.

Kuwa na mashabiki wengi wanawake haimaanishi IT IS OKAY TO ABUSE WOMEN CAUSE THEY LIKE IT. LA HASHAAAA SIVO ILIVO.

Na voda kama muti nationals nyingi WANAJALI SANAA SANAA BRAND IMAGE YAO NA NANI WANA DEAL NAE. HAPA NIMESEMA DILI HII ILIFANYIKA KIUJANJA UJANJA WA MJINI. KUNA GUIDELINES ZILIKIUKWA KABLA KUMU ENDORSE MTU. SASA WAMCHAMBIA MOTO UNAWAUNGUZA MCHANA KWEUPEEEE, MIBANGO NCHI NZIMAA, RB NA REPORT ZA HOSPITAL ZIMETOKA, WAMEBAKIA NA FUGITIVE KAMA PART OF THEIR BRAND. MUNGU MWACHENI AITWE MUNGU.

GOODWILL WATAKAYOPOTEZA HASARA YAKE NI KUBWA KULIKO VALUE YA HUO MKATABA HASWA HII ISHU IKIENDA GLOBAL. Waulize wahasibu VALUATION OF GOOD WILL NA IMPACT YA SOCIETY VIEW KWENYE HILO.

Kwa ufahamu wako umejitahidi kujenga hoja ila from CORPORATE POINT OF VIEW HILI LIMEKAA VIBAYA KWA VODACOM.
 
hahahaha sasa si uende unasubiri nini....yani wewe uwape mda voda..!
huu mchezo hautaki kukurupuka. SITAKIWI KWENDA KABLA HAWAJATOA TAMKO. Naweza kwenda WAKACHOMOA MIBANGO YOTE, WAKALETA CAMPAIGN MPYA JUST LIKE THAT NA WAKAOMBA RADHI FOR 5 MINUTES. IT IS OVER. Trust me im in PR business najua hii michezo.

Kama Mange na Muitaliano, wakamuwahi muitaliano, wakampa chake na kumuongezea cha kuwasafisha, Mwacheni Mungu aitwe Mungu barua wakasign June 2016 hahaahaaaa! We unahisi pale Mange ndo kamaliza? No ANAACHA REASONABLE IPITE NDO AENDE MBELE.

VODA KAMA MTEJA WAO WA BUNDLE ZA 1500 NA CHEKA ZA 100 NILIEKERWA NA UKURUPUKWAJI WAO NIMEWAPA MDA OFCOURSE. NIONE KAMA WATAJITUMBUA HILO JIPU AU WANAHITAJI MSAADA WANGU.

NEVER UNDER ESTIMATE THE POWER OF FOOLS COMBINED TOGETHER.
 
eee source yako ya habari ni mange....?akili za wanawake ata shetani anazishangaa
 
Hyo insue ni personal na kama wema angeona ni kitu kikubwa angesema ila kama hajasema sidhani kama ni insue kubwa
Af mbna umemjia juu diamond tu
Maake interviews zake za sikuiz naona ziko kawaida tu
Labda za zaman
Humjui jamaa kwenye interview ni mpole kinyama kaa nae hivi ni mswahili ana matusi kinyama
 
Upuuzi mtupu! Eti kanajifanya kana uwezo wa kuipaka matope voda..
Niipake mara ngapi? Ngugi wa Thiongo au Jmaes Ngugi anakwambia MANENO NI KAMA GRAIN OF WHEAT. Yanapandwa kidogo tu na mtu mmoja lofa lofa kama mimi tu hivi leo, ILA YANACHIPUA MIOYONI MWA WATU NA IDEA INASAMBAAA KAMA MOTO NA KUOTA MIZIZI.

Wewe unaweza usilijue hilo ila watu wa marketing na PR wanalielewa hili vizuri.
 
Back
Top Bottom