Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann muda huu ndio mnajua alikosewa na si kipindi kile kitendo kinafanyika?Sijatumia reference ya Wema nimetumia reference ya gazeti. Wema alivohojiwa na gazeti angewaza lile gazeti linadumu milele na watu hawasahau kilichoandikwa mule.
Huu Uzi una lengo moja kati ya haya..
1. Lara 1 unajulikana wazi kuwa unakitu personal dhidi ya De eidha mmewahi kukwaruzana au kuna mtu wako wa karibu au shosti wako Fulani hayuko poa na Dee na ndio Maana sijawahi kuona hata siku moja umeongea neno zuri kuhusu Dee..
Kwahiyo hizi ngonjera zako za kujifanya mtetezi wa haki za wanawake ni upuuzi na mazombi pekee ndio watakuamini..
2. Chuki/wivu ulionao juu ya Dee ndio motive iliyoko ndani yako! Hii dili ya Voda monde amelamba zaidi ya mil 600 na kuna haters hapa mjini imewauma hawapati hata usingizi.. naanza kuamini wewe ni mmojawapo
3. Attempt ya kujaribu kunuharibia Dee aipate dili nyingine.. licha ya kuwa umejisifu wewe guru wa PR ila hii strategy yako ni ya kitoto mno.. you might be able to draw attention ya hivyo vigazeti uchwara vya udaku but trust me this issue will get no where!! Strategy yako ya kijinga mno, hebu jievaluate upya kabla ya kujitutumua wewe ni guru..
4. Blackmail, huu mkwara wako kuwa utaenda tmz unaoutoa kwenye kila post unaonesha kabisa kuna angle flani unataka kublackmail coz kama imekuuma sana unasubiria nini
5. Wewe Lara 1 hauna uhalali wa kujifanya mtetezi wa wanawake!! Wewe ndio kila siku ukauki kumdhalilisha zari, mwanamke pekee unayemtetea ni Yule hips kalimati!! So stop this stupidity ya kujifanya activist..
Mwisho kabisa niseme UMEFELI!! kama umetumwa kamwambie aliyekutuma mjipange upya.. kama umeandika Kwa will yako mwenyewe pia UMEFELI vile vile!!!
Kitendo kinaweza kuwa si kizuri lakini wewe mfikisha ujumbe ndio unauleta ujumbe kishabiki kishabiki. Maana naona umekomalia sana au kuna ujira Umepata? Kwa hili leo sikuungi mkono maana limekaa kimajungu tu.
Huna tofauti na jamaa aliyeambiwa na Mungu aombe chochote atapewa ila jiran yake atapewa Mara mbili ya hicho kitu;yeye akachagua kutolewa jicho moja ili jiran akose yote mawili.Acha roho mbaya kwa kijana wa kimaskin anapotusua
Kutoa maoni si tatizo,ila tuna angalia pia hayo maoni yako yana uelekeo gani.Kuwa na amani tu dear, NCHI HURU HII hata usiponiunga mkono poa tu. toa maoni yako kwa uhuru na amani tele utumwa wa nchi nyerere ameukomboa.
Nakwambia hivi akili za wanawake ata shetani anazishangaa wamezitoa wapi..?![]()
Alafu unajifanya mtetezi wa wanawake!!
Huo wivu utakusababishia kiungilia ufe..
Kumbe huu ujinga anaandika mtu anayejidai ni mtetezi wa wanawake,kweli aliyewaroga wanawake kasahau miti aliyotumia.![]()
Alafu unajifanya mtetezi wa wanawake!!
Huo wivu utakusababishia kiungulia ufe..
Unajua mi napenda haki itendeke ila ma dear it seems wewe ndio unamatatizo.. Kuburuza na kuwasuta wanawake wenzako kwenye Mitandao ya kijamii kwa kigezo eti your seeking gender equality. Wewe kama mwanamke you should be ashamed of yourself.
Wewe ndio mtu wa kwanza kuwadhalilisha hao wanawake wenzako. I personally don't believe Jokate and Wema and others hawajui HAKI ZAO. Some way ya kuieleza jamii unachuki binafsi.
Lastly, I don't encourage anyone juu ya kumpiga mwenzie.. Lakin references zako kwa magazeti ya udaku? Seriously?? If he's a woman abuser mbona hajatokea hata mmoja especially huyó Zari.
Kama kuna mtu kabakwa peleka mashtaka mahakamani, sheria ifate mkondo wake.. Naamini haki itatendeka.
C'mon, stop exaggerating!! Yaani WCB watumie arguments zako kujisafisha kwa ambacho kiliandikwa kwenye gazeti la Amani?! By the way, naona umeleta tena habari za Debby hata kama ulikataa kutumia issue ya Rommy against Diamond!!!I started shouting AFTER SIDE B YA HIO ISHU YA DEBBY MANAGEMENT YA WCB KUTOA TAMKO LAO. Sikutaka kupost then coz wangetumia some of my arguments katika kujisafisha. Nikaacha kwanza wajipakae mavi vizuri ndo nije na hoja zangu. TOFAUTI YENU NA NYIE HII ISSUE MNAIJUA JUU JUU MKO BIASED, HAJAMSOMA DEBBY ALLEGATIONS ZAKE, HAMJASIKILIZA EXPLANATION YA WCB MANAGEMENT, BADO VODACOM HAWAJATOA TAKMO JUU YA ILE MIBANGO YAO OF WHICH KWA JAMBA JAMBA YA LEO KWA HABARI ZA KINA KABISAAA LINAANDALIWA HILO TAMKO.
Fact kwamba Dai alikalia hio ishu kimya inaonesha HE HAS THINGS TO HIDE,kama mtz mwenye haki kwenye utwala huu wa Magufuli asingekaa kimya basi tuuu sababu MAHAKAMA ZIPO, SHERIA ZIPO, SHIGO SIO MUNGU. sheria zipo kumlinda mwananchi na utaratibu wa kupata haki yako upo. Ukiamua kutoutumia sababu kuna mambo yako unafichaficha huo ni uamuzi. Serikali haiwezi kukufosi uchukue haki yako kama huitaki na umeamua kuiwave willingly.
Billboards are part of the endorsement deal na ziko directly related na VODA BRAND. JE NI SAWA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA MBAKAJI KWENYE BILLBOARD YAO? TENA MWENYE RB, NA RB YENYEWE SIO YA BONGO USEME MAGUMASHI YA ULAYA ALIKOKIMBIA, KAMA HANA HATIA KWANINI ASIENDE KUJISAFISHAAA?
BILL COSBY KAMA UMEFATILIA HUJADANDIA SIO KESI MOJA NI SEVERAL LAW SUIT ZIMEKUWA FILED NAE, NA MPAKA KESHO ANASEMA ANASINGIZIWA. NA HAKUNA CASE HATA MOJA ALIOTIWA HATIANI MOJA KWA MOJA KWAMBA SASA COSBY ULIBAKA NENDA RUMANDE. Walaaaaaaaaa! Ila tuhuma tuhuma tu hizi show zake, zimestopishwa, honorary degrees na titles zimekuwa revoked na endorsement deals nyingi wamevunja mkataba. Kwanini sababu tu ANASHUKIWA.
Tuje kwa Dai historia yake kama nilivoieleza huko sina haja ya kurudia. KUBWA LA VODA KUJITAFAKARI JE NI SAHIHI KUWA NA BANGO LENYE MBAKAJI MWENYE RB AKI ADVOCATE BRAND YAO??? KWELI IS THIS WHAT VODA GLOBAL PREACH? THE TWO CASES ARE SIMILAR ATLEAST BILL COSBY HAKUWAHI KUCHUKULIWA VALID RB, NA STATUTES LIMITATION ZA ALLEGATIONS ZAKE NYINGI ZILI EXPIRE 2008 LAKINI DJ WETU EVERYTHING IS PUBLIC AND VALID. HAHAHAAAA.
Na wanawake kujitokeza si Debby kajitokeza au mwanaume yule?
Kwani wewe ni bata?Kunya unye kuku nikinya bata nimeharisha si eti?
Hahahaaa kwa hili nishaomba radhi jamani mbona hivooo. subirini niwe endorsed ndo mtoe haya mambo maana sahivi hata kujiendorse mwenyewe sio rahisi. Mkitumia silaha zote mwanzo wa vita shauri yenu.Nakwambia hivi akili za wanawake ata shetani anazishangaa wamezitoa wapi..?
Hana lolote huyu @lara1! Mange Kimambi anaongoza kwa kukashifu watu kwenye mitandao lakini huyu huyu alishawahi kuleta thread hapa kuwakoga watu jinsi hao hao Vodacom wanavyondhamini Mange... !! Leo hii Vodacom kufanya kazi na Diamond kwake imekuwa nongwa na anapiga kampeni eti mtu anyang'anywe deal!!![]()
Alafu unajifanya mtetezi wa wanawake!!
Huo wivu utakusababishia kiungulia ufe..