Amisuu yupo hai, and kama kesha samehe au hasamehe hio juu yake. Kumpata Amisuu ni rahis mnoo like wanajamii wengine kujitetea unyanyasaji uliofanyiwa na mtu powerful kama Dai sio rahisi iwavyo na iwe itaonekana kama Lara 1 unatafuta kiki.
Miaka mi 3 mbona juziii tenaa tena Voda walitakiwa waingatie hilo. Bill Cosby ameshtakiwa kwa vitu alivofanya 1970s mikabata kanyanganywa jana 2015. Chriss Brown, mpaka kesho ananyimwa endorsement kwa vitu alivofanya back in 7 years apart ya kujisafisha kooote na kuwa activist kwa mda wote huu. Wote aliowa victmise then wana wazazi na familia kabisaa.
Yani mimi Wema na Jokate wala siwategemei kwa lolote uzuri MATUKIO HAY YALIKUWA DOCUMENTED IN INTERVIEWS ZA ONAIR NA MAGAZETI. So kama Lawyer wala hana tabu anamuuliza tu tarehe flani gazeti flani ulikiri kupiga wanawake? Chochote atachojibu hakitosaidia cause gazeti lipo na alikuwa na enough time ya kukanusha ila hakukanushaa. Hahahaaaaaa.
Yanini nikachimbe unyanyasaji ambao pengine haupo au umefichwa wakati KUNA UNYANYASAJI WA KUTOSHA UPO NA HAUKUFANYIWA KAZI, WALA MUHUSIKA KUWAJIBISHWA?
Lat umenihuzunisha sanaa, mwenyewe roho inaniumaaa kichizi cause i am fan wa Dimond as a mucisian, i am a fun of Dimond as a HUSTLER, i respect his HUSTLES ndo maana nilinyamza all these years hoping he will change.
Ila juzi baada ya management yake na yeye kumsafisha Rommy na kumsingizia Debby kawadai helaaa yaani mtu abakwe na kusingiziwa juu IT WAS TIME SOMEBODY SAID SOMETHING, AND I DID.
Debby hajasema vote we mtu mzima jitafakari Debby anaugulia nini moyoni. What if she is telling the truth and the Dj is really a rapist. How many events ana DJ? How many shows? Whata bout vibinti hivi vinavomshobokea kwenye shoo nini hatma yao? Nini kitawakuta? Wengi tu maisha yamevishinda vinakukuruka mjini. Atleast Debby anajielewa. SIO SWALA LA KUPUUZA JUU JUU. Na Vodacom as a BRAND pale wamelamba maviii tena dume la mavi hahaaaaaaa.
Na Dai mara ngapi anawakashifu wanawake redioni? Magazetini. Mnakumbuka ile Lulu nishamlaa. Hahahaaaa! Anaonesha nini kwa vijana wadogo kuwa it is okay kuwafanya mabinti ngazi, kuwadhalilisha redioni kuincrease ratings za vipindi na popularity ya redio. NO IT IS NOT OKAY AND WE CAN NOT BUILD SOCIETY KWENYE HIZI BASIS.
Naona team Dai mmekazanaa insta kuwapost VODA, malizieni cha mwisho mwisho hili limekaa vibaya.