Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Amisuu yupo hai, and kama kesha samehe au hasamehe hio juu yake. Kumpata Amisuu ni rahis mnoo like wanajamii wengine kujitetea unyanyasaji uliofanyiwa na mtu powerful kama Dai sio rahisi iwavyo na iwe itaonekana kama Lara 1 unatafuta kiki.

Miaka mi 3 mbona juziii tenaa tena Voda walitakiwa waingatie hilo. Bill Cosby ameshtakiwa kwa vitu alivofanya 1970s mikabata kanyanganywa jana 2015. Chriss Brown, mpaka kesho ananyimwa endorsement kwa vitu alivofanya back in 7 years apart ya kujisafisha kooote na kuwa activist kwa mda wote huu. Wote aliowa victmise then wana wazazi na familia kabisaa.

Yani mimi Wema na Jokate wala siwategemei kwa lolote uzuri MATUKIO HAY YALIKUWA DOCUMENTED IN INTERVIEWS ZA ONAIR NA MAGAZETI. So kama Lawyer wala hana tabu anamuuliza tu tarehe flani gazeti flani ulikiri kupiga wanawake? Chochote atachojibu hakitosaidia cause gazeti lipo na alikuwa na enough time ya kukanusha ila hakukanushaa. Hahahaaaaaa.

Yanini nikachimbe unyanyasaji ambao pengine haupo au umefichwa wakati KUNA UNYANYASAJI WA KUTOSHA UPO NA HAUKUFANYIWA KAZI, WALA MUHUSIKA KUWAJIBISHWA?

Lat umenihuzunisha sanaa, mwenyewe roho inaniumaaa kichizi cause i am fan wa Dimond as a mucisian, i am a fun of Dimond as a HUSTLER, i respect his HUSTLES ndo maana nilinyamza all these years hoping he will change.

Ila juzi baada ya management yake na yeye kumsafisha Rommy na kumsingizia Debby kawadai helaaa yaani mtu abakwe na kusingiziwa juu IT WAS TIME SOMEBODY SAID SOMETHING, AND I DID.

Debby hajasema vote we mtu mzima jitafakari Debby anaugulia nini moyoni. What if she is telling the truth and the Dj is really a rapist. How many events ana DJ? How many shows? Whata bout vibinti hivi vinavomshobokea kwenye shoo nini hatma yao? Nini kitawakuta? Wengi tu maisha yamevishinda vinakukuruka mjini. Atleast Debby anajielewa. SIO SWALA LA KUPUUZA JUU JUU. Na Vodacom as a BRAND pale wamelamba maviii tena dume la mavi hahaaaaaaa.

Na Dai mara ngapi anawakashifu wanawake redioni? Magazetini. Mnakumbuka ile Lulu nishamlaa. Hahahaaaa! Anaonesha nini kwa vijana wadogo kuwa it is okay kuwafanya mabinti ngazi, kuwadhalilisha redioni kuincrease ratings za vipindi na popularity ya redio. NO IT IS NOT OKAY AND WE CAN NOT BUILD SOCIETY KWENYE HIZI BASIS.

Naona team Dai mmekazanaa insta kuwapost VODA, malizieni cha mwisho mwisho hili limekaa vibaya.
Kwahiyo evidence yako ni magazeti ya udaku... hapa ndo nimegundua hauna akili
 
Narudia, mifano yako ya Bill Cosby na Chris Brown ni irrelevant!! Hao wote kuna watu walitoka out na kutoa tuhuma ndo maana deals zao zilikuwa nullified!! Kinyume chake unataka Vodacom wafanye hivyo eti kisa Gazeti la Amani waliandika!!! Nimekupa changamoto hapa utoe links za huo ushahidi wako lakini hadi sasa hujafanya hivyo!!

Tuje kwa huyo Jokate; yeye alidhalilishwa nini? Weka source ya madai yako vinginevyo hautakuwa na tofauti na known haters ambao kwao mwenzao akipata wanajisikia kuugua!!
 
Ni hater tuu... mijitu kama hii ikiona mwenzao anafanikiwa roho inawauma...
 
Unaona unavyodhirisha lengo lako bila kujijua!

Nini kinakufanya uamini Management ya Diamond inasema uongo na kipi kinakufanya uamini anachosema huyo msichana ndio kweli usioweza kutiliwa shaka?! Wewe ulikuwapo eneo la tukio kiasi cha kuwa na uhakika beyond reasonable doubt kwamba huyu anasema kweli na yule anaongopa?!
 
HAHAHAHAAAAAAAA! IRRELAVANT KWAKO BUT VERY VERY RELEVANT KWA VODA WAJIREFECT HIZO KAMPUNI ZINGINE KWANINI ZILIFANYA HAYOOOO. Na Debby SIO MU ALIEJITOKEZA KUTUHUMU AU MZIMU ULE NA MPAKA MANAGEMENT IKATOA TAMKO KAMA MANAGEMENT SIO MTU YEYOTE WA WCB AMBAE SIO MSEMAJI WAO ALIKURUPUKA KUJIBU TUHUMA ZA DEBBY? NAOMBA UITAFUTE HIO INTERVIEW.

Amani hawakuamka asubuhi kutoa hio story ya UBAKAJI, ALIANZA VICTIM KUSHARE KWENYE INSTAGRAM YAKE OF WHICH ILIKUWA OPEN LAST TIME I CHECKED NA SCREEN SHOT ZIKO NYINGI SANAA. AKATOA MEDICAL REPORT NA RB HUMO HUMO KWENYE INSTA. OF WHICH VODA WAKIHITAJI KUJIRIDHISHA JUU YA LILE BANGO LAO WAMESHAJIRIDHISHA BY NOW. Ndo maana nakwambia wewe hii ishu umeidandia tuuu hujui, hata interview hujasikiliza yule meneja alijibu nini yaani umeiona hapa leo ukaivagaa mzima mzima.

Hapa sio mahakamani wala silazimiki kutoa ushuhuda wowote wa kumtia hatiani yoyote mimi nimewakumbusha kama mteja hawa VODA kuwa kuna mbakaji mwenye rb valid ambae ni fugitive kwenye bango lao moja. Kama mteja tu mwenye nia njema kwa kampuni. Sasa kama wanajali brand yao it enough wao kutumia RESOURCES zao kujiridhisha au wangoje aje kudakwa na interpol AIBU IZIDI KUWA KUBWA. Hahahaaa. Na tena itaonesha tarehe flani mteja Lara 1 wa vocha za buku directly na publicly alituambia kabisaaa tukachuna au whatever.

Ndo maana nikakwambia hii ishu huijui na hio interview ya Dai alivowavua nguo mademu zake wote hukuisikilizaa, ilikuwa na backlash balaaa, you simply have no clue. Iko wewe i google itakuja. Times have changed all you have to do is type key words and enter.

Mimi nimekwambia madai yangu yoote yapo google, kwa leo tunaanza hvio, Voda wakichuna TUTAANZA KUKUMBUSHANA TU KWA NJIA NJEMA NA KIMOJA KIMOJAAAAA. HARAKA YA NINI? RELAXXXXXXX! HII SIO KESI YA JINAI WALA MADAI HII NI KESI YA KIMAADILI.
 
Ni hater tuu... mijitu kama hii ikiona mwenzao anafanikiwa roho inawauma...
Sio siri, mi ndo kwanza leo nafahamu kwamba kumbe nae ni wale wale ambao wakiona mtu anafanikiwa basi anaomba aanguke!! Anadhani watu tulisahau JF hii hii alivyokuwa anawapiga watu vijembe jinsi Mange Kimambi anavyopeta na matangazo ya Vodacom hii hii wakati Mange anaongoza kwa kukashifu watu tena majority ni wanawake anajifanya hapa eti anawatetea!
 
Unaona unavyodhirisha lengo lako bila kujijua!

Nini kinakufanya uamini Management ya Diamond inasema uongo na kipi kinakufanya uamini anachosema huyo msichana ndio kweli usioweza kutiliwa shaka?! Wewe ulikuwapo eneo la tukio kiasi cha kuwa na uhakika beyond reasonable doubt kwamba huyu anasema kweli na yule anaongopa?!

sikiliza kwamnza interview mama mbona unapaparika. Ukitaka kuoga shurti uvue nguo. kama unategemea nikusimulie hio interview unachezaa.
FYI management ya Dai imekubali mambo mengi of which ni vyema sanaa, ila ikaongeza kuwa kadai hela. BILA KUWEKA UTHIBITISHO WOWOTE, MANENO TUPU TU. Mwenzao katoa kila kitu publicly KIMAANDISHI NA PICHA.
 
Sio siri, mi ndo kwanza leo nafahamu kwamba kumbe nae ni wale wale ambao wakiona mtu anafanikiwa basi anaomba aanguke!! Anadhani watu tulisahau JF hii hii alivyokuwa anawapiga watu vijembe jinsi Mange Kimambi anavyopeta na matangazo ya Vodacom hii hii wakati Mange anaongoza kwa kukashifu watu tena majority ni wanawake anajifanya hapa eti anawatetea!

Mange tangazo walishashindwana THANKS TO YOU FOR NOTHING VODA WALIGOMA KUONGEZA HELA, MPARE JEURI KAGOMA KUPOKEA KIDOGO. Fanyeni party basi.

NA MIMI MTANISHUKUR ILE MIBANGO IKISHUKA FOR NOTHING OFCOURSE. HAHAHAAAAA!

Sasa kukashifu wanawake Mange ndo kulimfanya Romy abake au? hahahaaaaa!
 
Ukimsoma vizuri utagundua kuwa lalamiko lake ni kwamba eti kwann dimond anapewa mikataba mikubwa peke yake na makampuni makubwa... die hater die
Yaani hapa ndo penye tatizo... tatizo mkataba wa Vodacom! Very interesting hausemi wa Coca-Cola!! Sasa hapa na - connect dots na hatua ya Vodacom kumtosa Mange!!
 
Narudia, mifano yako ya Bill Cosby na Chris Brown ni irrelevant!! Hao wote kuna watu walitoka out na kutoa tuhuma ndo maana deals zao zilikuwa nullified!! Kinyume chake unataka Vodacom wafanye hivyo eti kisa Gazeti la Amani waliandika!!! Nimekupa changamoto hapa utoe links za huo ushahidi wako lakini hadi sasa hujafanya hivyo!!

Tuje kwa huyo Jokate; yeye alidhalilishwa nini? Weka source ya madai yako vinginevyo hautakuwa na tofauti na known haters ambao kwao mwenzao akipata wanajisikia kuugua!!

I've already said, there's no there there!

I guarantee you that you will never see any compelling evidence that back up the claims.

The most you will get is innuendo, sensationalism, and downright drivel.

But as for compelling, corroborating evidence, you shall wait with bated breath to infinity and beyond!
 
Wick kitu kibaya sana. Unadhani utampunguzia kipato?
Apate sanaa tu, ILA AWAJIBIKE KWA MATENDO YAKE DHIBI YA JAMIII. Basi Insta mmekazanaa kweli kweli kuwapost voda. Hahahahaaaa! Huu ndo mwanzo tu.
 
Back
Top Bottom