lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #321
Mara ya kwanza nilikuuliza ni nini kimekufanya udhani sijaona hiyo interview hujajibu but the very same irrelevant information!
Alichoongea Sallam ni kwamba Rommy amekuwa na mawasiliano na yule demu for almost 2 years na walipofika Sweden yule demu akamfuata Rommy akiwa amemletea zawadi ya simu!!
Putting other cra'ps aside, baada ya hizo allegations Sallam akakaa na huyo demu ambae alitaka kuwa compensated $12K! Sina haja ya kueleza yote ila tu nakushangaa unavyong'aninia kwamba hizo habari nazikuta hapa wakati nazifahamu from the very first day!
Labda nikujuze jambo moja; mimi jukwaa langu kuu JF hii ni entertainment and celebrity and it didn't happen by chance coz' even what I do in real world relates to forums of my interest hapa JF kwahiyo acha kung'ang'ania vitu usivyovijua!
Haya tu assume umeiona sahivi WHAT DO YOU HAVE TO SAY FROM DEBBY ANGLE KUWA CAUSE SHE HAS NOTHING TO HID KAENDA HOSPITAL, KAPIMAAA, KAENDA NA POLISI KUSHTAKI NA KAWEKA PUBLIC. KWANINI KAMA ROMMY MSAFI ASIENDE SWEEDEN KUFACE CHARGES ZAKE AKA CLEAR JINA LAKE? KWANINI AME OPT KUWA FUGITIVE KNOWING VERY WELL ATAWACOST VODA MAANA MIBANGO YAO TAYARI YUMO. Kwake kwenda Sweeden kujisfisha would have been a win win kwa wote Rommy na Voda.
Kuwa na mtu mnachat MIAKA 2 sio realationship na sio ridhaa yake. Ndo nikasema kuna mtu alishasemaga alikutana na huyo bwana club akajistukia tu keshaliwa mpaka visivoliwa ila sababu hakuwa brave hatukumuamini. Kumkaribisha mtu kwako sio kumpa K. Ridhaa ile bwana tufanye haikuwepo ALI MDRUG according to the victim of which ni very DANGEROUS kwa mabinti zetu wanao enda shows za hawa watu. Wanaweza kuwa draged na kufanyiwa chochote.
Salam alisema demu kataka 12k KWA KITHIBITISHO GANI? EMAIL, CHATS? DM? MANENO TUPU TUUUUU. Hahahahaaa.
Kaka meneja kama moto ndo aliutia petrol. Hahahaa! Bora hata asingemtolea tamko huyo mtuhumiwa fugitive.