Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Lara 1 nafahamu kinachowanyima usingizi waliokutuma..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutolee ualikiba wako hapa watanzania mna wivu kwa waliopambana na maisha na kufanikiwa.
Naomba unisamehe ndugu yangu, ni hasira tu kutokana na majibu yako ya mwanzo.
VIOLENCE AGAINST WOMEN IS NOT A JOKE. Zinaundwa na huo uso ulivilia damu uliundwa nao au? Kwanini Dai hakujitokeza kusema jamani hio makeup tu natafuta kiki kijana wenu. Hahahaaaa! How many years have passed? Simply bacause NO ONE SAID IT WAS NOT RIGHT IT DOESNT MEAN IT WAS OKAY. IT WAS NOT.
Wafu wa haki za wanawake tutakufa na wafu wenzetu. HILI LINK NA PICHA VIPI LIKUJUMUISHWA KWENYE EMAIL KWA MABOSS HUKO VODA? HAHAHAHAAAAAAAAAAA!
Kazi na dawa namleta kali P na wimbo wake limkeaa vibaya
Eti tu - assume nimeiona sasa hivi... pole sana tatizo huelewi. Nimekuambia hayo nimeyafahamu hata kabla ya hiyo interview bado ndo maana nilikuwa nakushangaa ulivyokuwa unang'ang'ania kwamba habari yenyewe ndo naiona leo!!Haya tu assume umeiona sahivi WHAT DO YOU HAVE TO SAY FROM DEBBY ANGLE KUWA CAUSE SHE HAS NOTHING TO HID KAENDA HOSPITAL, KAPIMAAA, KAENDA NA POLISI KUSHTAKI NA KAWEKA PUBLIC. KWANINI KAMA ROMMY MSAFI ASIENDE SWEEDEN KUFACE CHARGES ZAKE AKA CLEAR JINA LAKE? KWANINI AME OPT KUWA FUGITIVE KNOWING VERY WELL ATAWACOST VODA MAANA MIBANGO YAO TAYARI YUMO. Kwake kwenda Sweeden kujisfisha would have been a win win kwa wote Rommy na Voda.
Kuwa na mtu mnachat MIAKA 2 sio realationship na sio ridhaa yake. Ndo nikasema kuna mtu alishasemaga alikutana na huyo bwana club akajistukia tu keshaliwa mpaka visivoliwa ila sababu hakuwa brave hatukumuamini. Kumkaribisha mtu kwako sio kumpa K. Ridhaa ile bwana tufanye haikuwepo ALI MDRUG according to the victim of which ni very DANGEROUS kwa mabinti zetu wanao enda shows za hawa watu. Wanaweza kuwa draged na kufanyiwa chochote.
Salam alisema demu kataka 12k KWA KITHIBITISHO GANI? EMAIL, CHATS? DM? MANENO TUPU TUUUUU. Hahahahaaa.
Kaka meneja kama moto ndo aliutia petrol. Hahahaa! Bora hata asingemtolea tamko huyo mtuhumiwa fugitive.
Lara 1 nafahamu kinachowanyima usingizi waliokutuma..
![]()
![]()
![]()
![]()
Unaposahau ni kuwa ata mahakamani huwezi kwenda kufungua kesi mimi nimepigwa ngumi afu wewe ndiyo uwe mlalamikaji, anachofanya diamond na hao wake zake ni haki zake za msingi maana wanastahili uhuru wa kuendesha mapenzi yao.
Ata kwetu MARA mamarooby na mamaghaati bila makofi wanaona nawanyanyasa maana siwapendi..
Huu ni utmaduni ambao wao wanajua jinsi ya kupiga mwanamke mfano kwa mkurya mwanamke anapigwa kwa makofi siyo ngumi wala mateke kuepuka kumuumiza.
Hawa wakina wema, diva, sijui deborah hufanyi hivi kutafuta kiki tuu..
Ali kib nae anashutuma zake zinavuguma insta kamal denti under 18. Salama yake asitoe tamk maana denti kaja juu kama moto wa kifuuu. Sasa kiba ajikijichanganya kutoa tamko tu NAE NINAEEEE nae dili litakaa vibaya maana yule under 18 navomuona mapepe kweli kweli atayabwaga yooote. Anyway hata Kiba akifanya mabubu WALE TEMBO ATAWAONA MBUGANI TU. HAHAHAAAAAAAAAAAA!
Ngoja nifanye kazi yangu ya dukani mieeeee. Duka lausiku huu duka gani hilooo! Hahahaaaaa.
Msaghaane lara1, wacha mapenzi ya watu ni upofu, mpaka mama chacha araramike najua hawezi fanya jambo km maana mkofi ni upendo wake.Hapa hamna mahakama wala judge kuna PUBLIC IMAGE NA PUBLIC OPINION.
Anachofanya DAI NA WAKE ZAKE NI HAKI YAKE KABISAAAA! WACHAAAAAAA! SEMA HAKI YA MUNGU! Etiiiiiiii! Nilikuwa sijuiiiii. Katiba ya wapi hiooo? Au ndo katiba mpya ya wanainchi ishatoka sina habari ndo inasema haya.
Muraaa mbona leo umepinipa rahaaa, kwa hio mwendo CHARAZAAAA BAKORAAAAAA HIO MWANAMKE ITULIE. Wachaaaaa! Haya bwanaa.
Haya nisaidie wewe sasa... source ya hiyo habari ni hiyo blog; au? Kama ni hiyo blog; adress ya hiyo blog ni ipi na mwandishi wa habari ni nani?KESHO NI TBT NGOJA NIWAHI KIDOGO TUJIKUMBUSHEE NA HILI
Unique Entertainment Blog: WEMA SEPETU ADUNDWA KAMA MWIZI NA DIAMOND
![]()
LIMEKAA VIBAYAAAA, DILI HALIJATULIA LIMEKAA VIBAYAAAA. HAYA MABO YOTE YAMO GOOGLE MBONA.
Anyway about Friday namtakia kijana Dai kila lakheri kwenye muziki wake, nitasikiliza hilo songi na kucheza juuu. Mimi tenaaaa. Na Voda mna mimi tutakumbushana kama hivi kidogo kidogo kesho nataka nikapige picha lile bango maana humu nime search juu halimo ndo nataka kuliingiza sasa. Hahahaaa.
Hahahaaaaa
Hahahaaaa1 Mi mbona nawafollow wote Insta kuanzia Dai, madancer wake, I AM A FAN kama nilivokwambia so mipicha hii naiona daily tu. Mpaka Kifesi namfollow mdogo wangu nampa like za kutoshaa, harmonise, yule demu msomi mkata viunoo wooote. LIKE I SAID I RESPECT THE HUSTLE
ILA KESI HII YA UBAKAJI, UNYANYASAJI WA KIJINSIA NOT RIGHT FOR VODACOM BRAND KWA KWELI. NOT RIGHT KABISAAAAAA. VODA MMLIWALAMBISHA MAVI.
NYIE KAMA MIMI TU WE ALL BELONG TO THE HOOD. CORPORATE TUWAACHIE KINA JOTI. Ama sivo ndo hayo uko kwenye bango la watu unaenda kubaka. Halifichiki pembe la ngombe.
Sasa kama ulijua mimi sio Vodacom kwanini basi ulikuwa ung'ang'ania kwamba hiyo issue mie siifahamu?!Sasa wewe ukifahamu WE VODA AU? Hahahaaaaa! Au ndo Ian una pass judgement. It doesnt matter. THE GOOD THING THIS MATTER IS NOW PUBLIC, NA VODA NIMEWA ADRESS PUBLIC, NA NITAENDELEA KUWA ADRESS PUBLIC HATA UKIFA LEO USIKU NOTHING CHANGES IN THIS MATTER.
Bifu lake yeye ni Voda kv walimtosa Mange halafu hapa anadanganya eti Mange alitaka pesa ndefu!Sio tu Voda kapewa endorsement dstv,totmato sijui nn,coca cola we endelea kupiga domo mwenzako anakula shavu na hao waliokua abused hawana hata habari ww povu linakutoka tu
Eti tu - assume nimeiona sasa hivi... pole sana tatizo huelewi. Nimekuambia hayo nimeyafahamu hata kabla ya hiyo interview bado ndo maana nilikuwa nakushangaa ulivyokuwa unang'ang'ania kwamba habari yenyewe ndo naiona leo!!
Kuhusu what I have to say; kama ingekuwa unanisoma between lines ungegundua sijapinga hiyo issue na ndio maana tangu awali nilikuambia let's brand him kama "mtuhumiwa wa ubakaji" na sio mbakaji kama unavyolazimisha wewe iwe!!
Tatizo langu kwako ni vile unavyolazimisha issue ya Rommy itumike kumwadhibu Diamond na ndio maana nilikuuliza tatizo lako wewe ni billboards or endorsement!! Lakini ingawaje unafahamu kwamba endorsement ni ya Diamond na sio Rommy lakini ungefurahi kuona mkataba wake unavunjwa.... aaaaaaargh!!!
But all in all inachekesha kuona unahoji kauli ya Sallam na 12K ina uthibitisho gani wakati kitambo sana nimekuuliza nini kinakufanya uone maelezo ya Sallam ni uongo na nini kinakufanya uone maelezo ya Debby ndiyo sahihi kwa 100% na yanapaswa kuaminiwa beyond reasonable doubt!!! Hata hivyo hadi sasa hujanipa hilo jibu!
Kwa hili Kiba tutamuonea hapa tatizo ni Diamond mwenyewe kumwaga Wema kipenzi cha Mange na Mange kumwagwa na Vodacom!Tutolee ualikiba wako hapa watanzania mna wivu kwa waliopambana na maisha na kufanikiwa.
Bifu lake yeye ni Voda kv walimtosa Mange halafu hapa anadanganya eti Mange alitaka pesa ndefu!
Na Mange ndo alimuuzia drugs Rommy na kumshikia miguu abake mpaka ridhike, kisha akamtorosha Sweeden na kumhifadhi LA baada ya Debby kuja juu.Kwa hili Kiba tutamuonea hapa tatizo ni Diamond mwenyewe kumwaga Wema kipenzi cha Mange na Mange kumwagwa na Vodacom!
Hivi yule demu msomi mkata viuono wa mondy anatumia jina gan insta c ndo anasoma c.b.e auBifu lake yeye ni Voda kv walimtosa Mange halafu hapa anadanganya eti Mange alitaka pesa ndefu!