Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa endorsed
na airtel backthen,fuatilia madame
What r yu waiting for???? Nenda huko tmz na nini sijui!!! Kwa ufupi hakuna utakaye mblack mail Kwa vimikwara mbuzi vyako.. and watch out mwezi may kuna maendorsement mengine ya haja tu yanakuja.. mpaka mfe Kwa kiungulia mwaka huu
Roho mbaya inakusumbua wewe unashindwa kuweka presha kwa wakina wema sepetu wanaoharibu maadili mtaan ya wadogo zetu unamkazania diamond....
Unashindwa kuaddress issue za ufisad zimavyopelekea vifo vya wakina mama wajawazito kabla na katika kipindi cha kujifungua unamkazania diamond....
We ni mjinga sana bado akili zako zinadhan tanzania na marekani ni sawa... Boycot za marekan zinafanikiwa kwa sababu challenges nyingi tayar zimeshakuwa addresed ndio maana huwez kusikia vifo vya wakina mama kwa kukosa damu wakat wa kujifungua.... Hitisha harambee kuaddress issue za wanawake wenzako otherwise kuendelea kumfuatilia diamond ni dalili tosha una kitu unatafuta....
hao wote walifanya makosa, lucky for them HAWANA BANGO LENYE MTUHUMIWA MWENYE RB, AND I WAS NOT THERE TO POINT OUT THE FACTS KAMA LEO HIVI.lara 1 vipi kuhusu cocacola maana mondi ni ambasador
HAHAHAAAAAAAA! Mimi lengo langu hapa ni moja tu. TO POINT OUT THAT A GIANT CORPORATION KAMA VODACOM WAS WRONG AND IS STILL RONG KUMUENDORSE DAI. NDO MAANA WANA MBAKAJI MWENYE RB HUKO SWEDEN KWENYE MAMBANGO YAO YENYE SUCH A BIG GLOBAL BRAND WHICH ADVOCATES WOMEN RIGHTS.
Sawa Bongo si kama ulaya wala marekani ila VODA KAMA VODA INA STANDARD ZA ULAYA NA MAREKANI.
Na simfuatili Dai naifatilia VODA WANAVOUA GLOBAL BRAND TUNAWACHEKEA TU.
Mtoa mada kwa hili la leo kubali umekosea kidogo hakuna shida hakuna asiyekosea
Huyo msanii ana mashabiki wengi wanawake kuliko unavyodhani na wapo wanawake ambao wanatamani sana kupigwa hata kibao na msanii huyo ila hawapati hiyo nafasi so wakati wewe unawatetea wenzako wanatafuta hiyo nafasi
Pili voda au kampuni yoyote inayomtumia ni kwa kua walijua yeye anaweza kuitangaza biashara yao yaan sio msanii aliitafuta kampuni ila ni kampuni inamtafuta msanii baada ya kujua msanii huyo ana kundi kubwa la watu nyuma yake kwa ajili ya bidhaa yao
kampuni ikimtosa leo itapata hasara kuliko msanii kwa sababu msanii ataendelea na shughuli zake za matamasha na kampuni itakua imepoteza gharama nyingi za matangazo na malipo kibao kwa ajili ya bidhaa yao
Upuuzi mtupu! Eti kanajifanya kana uwezo wa kuipaka matope voda..hahahaha sasa si uende unasubiri nini....yani wewe uwape mda voda..!
huu mchezo hautaki kukurupuka. SITAKIWI KWENDA KABLA HAWAJATOA TAMKO. Naweza kwenda WAKACHOMOA MIBANGO YOTE, WAKALETA CAMPAIGN MPYA JUST LIKE THAT NA WAKAOMBA RADHI FOR 5 MINUTES. IT IS OVER. Trust me im in PR business najua hii michezo.hahahaha sasa si uende unasubiri nini....yani wewe uwape mda voda..!
eee source yako ya habari ni mange....?akili za wanawake ata shetani anazishangaahuu mchezo hautaki kukurupuka. SITAKIWI KWENDA KABLA HAWAJATOA TAMKO. Naweza kwenda WAKACHOMOA MIBANGO YOTE, WAKALETA CAMPAIGN MPYA JUST LIKE THAT NA WAKAOMBA RADHI FOR 5 MINUTES. IT IS OVER. Trust me im in PR business najua hii michezo.
Kama Mange na Muitaliano, wakamuwahi muitaliano, wakampa chake na kumuongezea cha kuwasafisha, Mwacheni Mungu aitwe Mungu barua wakasign June 2016 hahaahaaaa! We unahisi pale Mange ndo kamaliza? No ANAACHA REASONABLE IPITE NDO AENDE MBELE.
VODA KAMA MTEJA WAO WA BUNDLE ZA 1500 NA CHEKA ZA 100 NILIEKERWA NA UKURUPUKWAJI WAO NIMEWAPA MDA OFCOURSE. NIONE KAMA WATAJITUMBUA HILO JIPU AU WANAHITAJI MSAADA WANGU.
NEVER UNDER ESTIMATE THE POWER OF FOOLS COMBINED TOGETHER.
Humjui jamaa kwenye interview ni mpole kinyama kaa nae hivi ni mswahili ana matusi kinyamaHyo insue ni personal na kama wema angeona ni kitu kikubwa angesema ila kama hajasema sidhani kama ni insue kubwa
Af mbna umemjia juu diamond tu
Maake interviews zake za sikuiz naona ziko kawaida tu
Labda za zaman
Niipake mara ngapi? Ngugi wa Thiongo au Jmaes Ngugi anakwambia MANENO NI KAMA GRAIN OF WHEAT. Yanapandwa kidogo tu na mtu mmoja lofa lofa kama mimi tu hivi leo, ILA YANACHIPUA MIOYONI MWA WATU NA IDEA INASAMBAAA KAMA MOTO NA KUOTA MIZIZI.Upuuzi mtupu! Eti kanajifanya kana uwezo wa kuipaka matope voda..