Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

Huu ndio Ubwege bwege tunaousema kila siku humu. Wanaume tunaenda tunapoteza hali yetu ya uanaume. Mzee Wanaume wenzio hatupo hivyo. Wanaume wa siku hizi tunekuwa lege lege sana
 
Huu ndio Ubwege bwege tunaousema kila siku humu. Wanaume tunaenda tunapoteza hali yetu ya uanaume. Mzee Wanaume wenzio hatupo hivyo. Wanaume wa siku hizi tunekuwa lege lege sana
siku zingine huwa nakaza ni kwa huyo tu
 
Yani umelala na mwanamke yupo uchi na hujamgonga? Blaza ulipata vipi usingizi? Halafu wakiwadharau mnasema kataa ndoa. Sugua mpaka maji aite m'ma.
 
Me sijui mnapata wapi nguvu za ku share matatizo/ Mapito yenu kwa strangers mitandaoni maana Yes, we do enjoy reading them ila deep down tunajiuliza what's your motive and what do you gain kwa kushare mapito yenu kwenye mitandao..?
 
What if I say I am here just to draw peoples attention?
 
Mtoa mada afungwe jiwe zito kifuani kisha atupwe katikati ya bahari[emoji35],maana ni mpuuzi haiwezekan demu analala na wewe uchi unashindwa kumbato[emoji35]
 
Nimesikitishwa sana...hovyo sana. Mara mbili hujakula mbususu tena umetengewa!

Zamani kwenye foleni ya kuchota maji au sukari ya ugawaji (NMC) walikuwa wanaweza jiwe Ili kulinda nafasi. Unafanana na hilo jiwe
😂😂
 
Back
Top Bottom