Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ahaaaa endelea mkuu nicheke mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
washakoma hata kunidaiKwahio bloo sahivi yanalia mbwaaataa
Na kamchumba ukapata ...! 🤣
binafsi nimepata hela na hakuna walichofanya nikipiga hesabu nna zaidi ya laki nne nilizokopa hawa fini ndio walikuwa wa mwisho niliwaosha kweli kweli na nilichogundua kampuni moja ina app zaidi ya 3 kudai kukopa ila kudai madeni wanatumia jina kampuni mfano pesa x na cash x ni wale wale tu.Sidhani kama unawakomoa, kikawaida huyo anakua na wateja zaidi ya 200 wakuawafanyia kazi mpaka wengine ngumj kawafikia wewe hata ufanye lolote kwake haina shida.
Kuna dada alikuwa anafanya namsadia kutuma sms kwenye PC yangu wateja 800 anawatumia sms ukijibizananae baada ya dakika hata akukumbuki.
si wanadai madeniNa kamchumba ukapata ...! 🤣
Huo unaofanya ni utoto mzee hiyo ni dhuluma wewe unadhani ni sifa
usinitishe ww bana au na ww ndo hao hao wanaosambaza taarifa za wateja wao bila ruhusa zao?? binafsi sitarajii kukopa kwaiyo bado nimewapiga tuu..😁Sawa kama hutarajii kukopa bank za tanzania maisha Yako yote sawa ila kama utahitaji kukopa Kaa ukijua hao jamaa washapeleka record zako na hayo madeni yanapanda Kwa riba Kila mda mliokubaliana
Afisa mikopoKudhulumu pesa ya mtu sio ujanja
Wala kupost screenshots za wadai wako ambazo zinaonesha majibu ya kejeli ukiwavimbia wanapokuhimiza ulipe deni lao.
Guys hiyo sio right move kwa mtu ambaye ni smart.
Labda itakuwa ni ishu ya makuzi tu, ila mimi binafsi yangu siwezi kuwa na amani kabisa kudhulumu pesa ya mtu mwingine ambaye alikuwa na intention njema ya kunisaidia kwa kuniazima pesa ili niweze kutatua changamoto zangu.
nimekuwa nawalipa sana tu ila baada ya kunidhalilisha nikaamua tuonyeshane sasa.Kudhulumu pesa ya mtu sio ujanja
Wala kupost screenshots za wadai wako ambazo zinaonesha majibu ya kejeli ukiwavimbia wanapokuhimiza ulipe deni lao.
Guys hiyo sio right move kwa mtu ambaye ni smart.
Labda itakuwa ni ishu ya makuzi tu, ila mimi binafsi yangu siwezi kuwa na amani kabisa kudhulumu pesa ya mtu mwingine ambaye alikuwa na intention njema ya kunisaidia kwa kuniazima pesa ili niweze kutatua changamoto zangu.
Simu janjaHuu uzi wako utafutwa.
And then, nijuze hivi ukikopa unatakiwakuwa na nini na nini?