desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Mimi walinikopesha laki 245000 wakaninipa laki 218000 nikajua liba ni 26000 dah kuja kupiga hesabu naludisha 299000 nikaona wamenifanyia uhuni nikaamua kuwaburuza kama kilo 5nimekuwa nawalipa sana tu ila baada ya kunidhalilisha nikaamua tuonyeshane sasa.