Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

nimekuwa nawalipa sana tu ila baada ya kunidhalilisha nikaamua tuonyeshane sasa.
Mimi walinikopesha laki 245000 wakaninipa laki 218000 nikajua liba ni 26000 dah kuja kupiga hesabu naludisha 299000 nikaona wamenifanyia uhuni nikaamua kuwaburuza kama kilo 5
 
Timiza ya Airtel naapa siwezi wadhurumu ni dhambi unapewa 30000 unarudisha lipa ya 5000 kwa mwezi ukiwadhulumu we ni tapeli
Mambo huwa yanakuwa magumu wakati wa mwisho wwa kurudisha umefika na hapa ndio unajiona kabisa unakuwa tapeli
 
Back
Top Bottom