Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Walinikera nilikopa 60,000

Nikalipa nusu then nikawaambia msinisumbue kwasasa pesa nyingine nitalipa siku fulani. Na uzuri kabla ya kuwalipa niliwambia kabisa naomba msinisumbua hela nitawalipa ila now hadi baada ya siku mbili mambo yatakuwa fresh nitawalipa msijali.

Heeh... Nashangaa baada ya masaa mawili tangu nilipe masimu na mameseji kibao yanaendelea nikasema shenzi zenu sasa iliyobaki silipi.
 
Nielekeze hiyo mkuu unafanyaje !?
21*0712# baada ya *21 hizo namba nne zinazofuata inategemea unatumia mtandao gani,unaweka namba nne za mwanzo za mtandao unaotumia,hewani hupagikani ila msg unazisoma, ukitaka uitoe unapiga #21#
 
usisahau kuna kitu inaitwa credit bureau, ukichukua mkopo wowote ule ambao upo regurated na BOT basi jua taarifa za huo mkopo zinapelekwa huko kila mwezi, yani hata ukichelewa kulipa siku moja hizo data zipo captured. Kuna jamaa yangu alipitishiwa mkopo 100mil na loan officer bank, ila report ya credit bureau ilivyofika tu mezani kwake akabadilishia gear angani.

Usione sifa haya kuyafanya leo, ipo siku utakuja kuwatafuta uwaombe kulipa fedha zao kisha uwaombe wakuandikie barua/email kwamba umemalizana nao, maana huko mbele muda utafika tu utakwama. na ombea bado wawe operational.

Nadhani pia Mwigulu angefanya kama alivyofanya Ruto alivyoingia madarakani, alifuta credit reports zote na watu wakaanza na upya, maana kwa hali ilivyo sasa watu wengi hawakopesheki, biashara za kitambo zilizosimama nyingi zinapumilia mashine na hazikopesheki, sababu kubwa zamani watu walikuwa wana abuse mikopo, biashara moja mikopo ipo kila bank, ila siku hizi bank ikitaka kupa mikopo inaangalia kwanza nani na nani wanakudai.
 
Huu uzi nimecheka sana, sema nini maisha ya MIKOPO NIYAKIFALA SANA japo kuwa na mm nina deni la watu.
 
"Wakati una matatizo umekuja kwetu uso umefubaa ,unanyenyekea ukiwa umeweka mikono nyuma,tukikuambia jipige picha,tingisha kichwa,tabasamu kidogo...ulituona wajinga,leo umetatua matatizo yako unatuletea ujuaji, picha ulizopiga na kitambulisho chako tunawakabidhi polisi leo saa sita mchana"

Hawa majamaa huu mfumo wao wa ukopeshaji utafeli bongo, wabongo wengi hawaogopi kudhalilishwa hawana la kupoteza
 
Mzee Mimi sikutishi uliza watu na hii sio Kwa hao tu Hadi kampuni za simu kitendo Cha kukopa halafu ukavunja laini Yako ya simu na umesajili Kwa nida deni lako linabaki milele na riba inapanda siku ukienda kuomba mkopo bank wataangalia record zako kwenye Kila sehemu ndio upewe mkopo na hap jamaa huwa wanapeleka record za watu wasiolipa bank sababa hayo makampuni upande wa mikopo yanadhaminiwa na bank hao sio wajinga mpaka wakopeshe pesa mtandaoni
Sio kweli hao ni wahuni tu, wanakopesha bila kufuata taratibu stahiki.
 
usisahau kuna kitu inaitwa credit bureau, ukichukua mkopo wowote ule ambao upo regurated na BOT basi jua taarifa za huo mkopo zinapelekwa huko kila mwezi, yani hata ukichelewa kulipa siku moja hizo data zipo captured. Kuna jamaa yangu alipitishiwa mkopo 100mil na loan officer bank, ila report ya credit bureau ilivyofika tu mezani kwake akabadilishia gear angani.

Usione sifa haya kuyafanya leo, ipo siku utakuja kuwatafuta uwaombe kulipa fedha zao kisha uwaombe wakuandikie barua/email kwamba umemalizana nao, maana huko mbele muda utafika tu utakwama. na ombea bado wawe operational.

Nadhani pia Mwigulu angefanya kama alivyofanya Ruto alivyoingia madarakani, alifuta credit reports zote na watu wakaanza na upya, maana kwa hali ilivyo sasa watu wengi hawakopesheki, biashara za kitambo zilizosimama nyingi zinapumilia mashine na hazikopesheki, sababu kubwa zamani watu walikuwa wana abuse mikopo, biashara moja mikopo ipo kila bank, ila siku hizi bank ikitaka kupa mikopo inaangalia kwanza nani na nani wanakudai.
Hawa hawajaidhinishwa na bot.

Maana wakusema wafaye taratibu hawatoboi. Riba zao ziko juu mno.
 
Hio ni whatsapp mock, ya ku edit chats za whatsapp, ila uzi mzuri
Screenshot_20240703-023153.jpg

ungejaribu kupiga hata izo namba basi huoni sms za kawaida? alafu nioneshe iyo mock yako fake whatsapp unayoweza kutumia sticker? hii zi ni stika zangu sasa na screenshot ni ya sasaivi
 
Back
Top Bottom