Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Matapeli wa mo foundation nao hawataki kunipa mkopo au ndio pesa x wameenda nichafua huku 🤔🤔😂
IMG-20240701-WA0035.jpg
 
Habari mpendwa, Tafadhali naomba umsihi mpendwa wako ------ afanye malipo yake ya 107,090 TSH ya FLEXI CASH/SASA CASH , amekopeshwa ila sasa haoneshi ushirikiano kutokana na mkataba wake unaruhusu tukate hela zako Kwenye simu yako kulipia deni lake. Tunakupatia muda adi saa6:30 jioni ya leo awe ameshaa fanya Malipo ya deni lake
MUHIMU
HUDUMA ZAKO ZA KIBENKI NA SIMU ZILIZOTUMIA NAMBA INAYOSHUTUMIWA, ZITAFUNGWA KWA MUDA ILI KUPISHA UCHUNGUZI. ASANTE





Hawa jamaa wana elimu gani
 
Kudhulumu pesa ya mtu sio ujanja

Wala kupost screenshots za wadai wako ambazo zinaonesha majibu ya kejeli ukiwavimbia wanapokuhimiza ulipe deni lao.

Guys hiyo sio right move kwa mtu ambaye ni smart.

Labda itakuwa ni ishu ya makuzi tu, ila mimi binafsi yangu siwezi kuwa na amani kabisa kudhulumu pesa ya mtu mwingine ambaye alikuwa na intention njema ya kunisaidia kwa kuniazima pesa ili niweze kutatua changamoto zangu.
Upo sahihi sana, inashangaza sana mtu anakopa ili asilipe.
 
Back
Top Bottom