Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Mzee Mimi sikutishi uliza watu na hii sio Kwa hao tu Hadi kampuni za simu kitendo Cha kukopa halafu ukavunja laini Yako ya simu na umesajili Kwa nida deni lako linabaki milele na riba inapanda siku ukienda kuomba mkopo bank wataangalia record zako kwenye Kila sehemu ndio upewe mkopo na hap jamaa huwa wanapeleka record za watu wasiolipa bank sababa hayo makampuni upande wa mikopo yanadhaminiwa na bank hao sio wajinga mpaka wakopeshe pesa mtandaoni
Bank wanakukopesha tu hata kama unadaiwa na hao wa mitandaoni, hilo nina uhakika nalo
 
Basi kama ni mkopaji wa Benki kalipe huko kwenye app. Inawezekana wakati unakopa NMB basi taarifa hizo zingine hazikuwa zimefika CREDIT REFERENCE BUREAU.

Taarifa hizo zikifika Credit score zako zitashuka na utakuwa rated high risk.Benki kuu imeweka miongozo kwa mabenki nini cha kufanya kama wamepokea mteja wa mkopo ambaye ni high risk.
soma uelewe sijakopa kwenge app.
Nimekopa mitandao ya simu.
Deni la mpawa 2019 hadi leo taarifa zangu hazijawafikia?
 
MKUU Pesa (hadhina) inaongea sauti kubwa sana kuliko chochote kitoacho sauti


MKUU Pesa ambayo Sio Yako na uliyoichukua kwa makubaliano ya kuiludisha hata kama ni 1000 Mkuu hakika Sio nzuri ni hatia Bora hata iwe ya ndugu


Mithali 26:2

"Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu"



Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu 👉 sasa wenzako wanayo sababu umechukua hadhina (Pesa) yao na hutaki kuludisha lolote watakalotamka juu Yako
Litakua b'se una hatia(sababu)



"Hadhina ya MTU ilipo na moyo wake ndipo ulipo" 👉 pay theirs money n gonna be Free
Ila biblia hairuhusu riba,
 
Back
Top Bottom