Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #21
KabisaNi hivi: hawa ''wachungaji'' wa kileo, wajasiriamali, wanajua woga, tamaa na matamanio ya watu ni nini! Hivyo wanachofanya ni kutumia zile tamaa, woga na matarajio ya waumini wao kupiga fedha. Ndiyo maana husikii watu akihubiri kuacha dhambi kwani wanajua hili halina maslahi kwao.