Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #61
Sijawahi ona mwanaume akilalamika kuwa kakosa wa kuoa 😂😂Sio kweli. Halimlengi kila mtu.
Sio wote wanataka kutoka miss kuwa Mrs, wengine ni wanaume, wengine ni watoto, na hata hao wanawake wameshaolewa.
Sio kila mtu anataka kutoka kwenye usafiri wa umma. Wengine tayari wana magari yao
Kwa kawaida lalamiko la kukosa bwana lipo kwa wanawake pekee.