Pale Pastor anapoteleza ulimi wenye hekima humsahihisha

Pale Pastor anapoteleza ulimi wenye hekima humsahihisha

Injili sio kukemea dhambi tu bali na changamoto zingine ndo maana hata yesu alitatua baadhi ya changamoto za watu

Dhambi ndio kikwazo kikubwa. Mungu hawezi kuwa karibu nawe Kama upo dhambini. Na hapa ndipo manabii wa uongo hunitokeza.
 
Katika maombi kuna mahitaji binafsi ya kuombea, Ila pastor kajumuisha yasiyo ya binafsi kama ya kutoka kwenye public transport hadi kumiliki ndinga (car owner) hii ombezi ni la kimihemko ndugu

Huyo dada nimemfuatilia Sana. Yeye yupo kwaajili ya kuenjoy watu na hizo posts zake. Utakuta kaandika today you will get a phone call for money au you will be the first person in your family to own a car. Halafu Cha kushangaza wafuasi wake wote wanajibu I receive.
 
Ni hivi: hawa ''wachungaji'' wa kileo, wajasiriamali, wanajua woga, tamaa na matamanio ya watu ni nini! Hivyo wanachofanya ni kutumia zile tamaa, woga na matarajio ya waumini wao kupiga fedha. Ndiyo maana husikii watu akihubiri kuacha dhambi kwani wanajua hili halina maslahi kwao.
watakaoteswa na hawa wachungaji wa kisasa ni kizazi cha kisasa kisichojua kujisomea maandiko matakatifu. Hichi kizazi kinateseka sana kwa kutaka ishara na mijuza katika matamanio yao. Hawa wachungaji wa kisasa hawahubiri uchaji wa Mungu na kuishi maisha matakatifu wanatumi matamanio ya watu kuwalisha matango pori
 
Hakuna binadamu anayeweza kumuombea binadamu mwenzake apate mafanikio. Mafanikio huletwa na vitendo anavyofanya binadamu mwenyewe. Ukikaa bila kufanya kazi kwa bidii hata uombewe namna gani huwezi kupata mafanikio. Na hata usipoombewa, kama lakini ukiamua kutumia njia za rafu unaweza kupata mafanikio.

Kweli kabisa. Mungu alishatoa kanuni, amesema asiyefanya kazi na asile. So mafanikio yapo kwenye kufanya kazi. Ndio maana Adamu alipowekwa kwenye bustani ya edeni alipewa agizo la kuilima na kuitunza.
 
Pastor Lucy Natasha huwa analindwa na walinzi aliowakodisha na huwalipa cash, unaonaje na yeye tukimuingiza katika hii jamii ya atheists?

Yule Pastor na mume wake walianza kupigana busu kabla hawajaoana. Wanafanya ujinga kisa Kuna wafuasi wao wanawatetea . Lakini Hana sifa hata za kuwa shemasi wa kanisa.
 
Huyo dada nimemfuatilia Sana. Yeye yupo kwaajili ya kuenjoy watu na hizo posts zake. Utakuta kaandika today you will get a phone call for money au you will be the first person in your family to own a car. Halafu Cha kushangaza wafuasi wake wote wanajibu I receive.
Na huwa wana receive papo kwa papo au huwa wanasubiri miaka kadhaa mbele?
 
Yule Pastor na mume wake walianza kupigana busu kabla hawajaoana. Wanafanya ujinga kisa Kuna wafuasi wao wanawatetea . Lakini Hana sifa hata za kuwa shemasi wa kanisa.
Niliona wanakulana denda kando ya swimming pool nikajiuliza Huyo mpiga picha alilipwa nini hadi akubali kupiga picha za mahaba ya mchungaji na mchumba ake wakiwa faragha.
 
watakaoteswa na hawa wachungaji wa kisasa ni kizazi cha kisasa kisichojua kujisomea maandiko matakatifu. Hichi kizazi kinateseka sana kwa kutaka ishara na mijuza katika matamanio yao. Hawa wachungaji wa kisasa hawahubiri uchaji wa Mungu na kuishi maisha matakatifu wanatumi matamanio ya watu kuwalisha matango pori

Ubarikiwe Sana.
 
Kizazi kisicho mwamini Yesu Ila kinaamini miujiza ya mwombaji, lazima kitaathirika sana hiki kizazi
 
Niliona wanakulana denda kando ya swimming pool nikajiuliza Huyo mpiga picha alilipwa nini hadi akubali kupiga picha za mahaba ya mchungaji na mchumba ake wakiwa faragha.

Yani ni shida. Halafu anatoka kupigwa love kiss anakuja kutabiria watu kuwa watazaa mapacha au kupandishwa vyeo.
 
Ombezi la pastor linamrenga kila mtu na sio watu flani tu, so kuhoji kwamba wapi kasema watu wote ni ufinyu wa kuelewa
Sio kweli. Halimlengi kila mtu.
Sio wote wanataka kutoka miss kuwa Mrs, wengine ni wanaume, wengine ni watoto, na hata hao wanawake wameshaolewa.

Sio kila mtu anataka kutoka kwenye usafiri wa umma. Wengine tayari wana magari yao
 
Back
Top Bottom