Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
-
- #21
KabisaNi hivi: hawa ''wachungaji'' wa kileo, wajasiriamali, wanajua woga, tamaa na matamanio ya watu ni nini! Hivyo wanachofanya ni kutumia zile tamaa, woga na matarajio ya waumini wao kupiga fedha. Ndiyo maana husikii watu akihubiri kuacha dhambi kwani wanajua hili halina maslahi kwao.
Mungu amekupa akili na mwili vitumike kuvipata hivyo vitu. Huwezi kuvipata bila wewe mwenyewe kuvitumia, tena kwa njia iliyo halali. Jiulize, watu wanaofankiwa kwa kutumia ufisadi wamewezeshwa na Mungu?Amen from Miss to Mrs thanks Lord for a kind ness words and to from public car to own a car and from tenant to landlord .
I wish God will be with me to archive it in the Name of Jesus.
Unajua idadi ya wahitaji?Watu wote au wahitaji?
We mzee si mwelevu kabisa
Unique Flower upo sawa?Amen from Miss to Mrs thanks Lord for a kind ness words and to from public car to own a car and from tenant to landlord .
I wish God will be with me to archive it in the Name of Jesus.
Injili sio kukemea dhambi tu bali na changamoto zingine ndo maana hata yesu alitatua baadhi ya changamoto za watuNi hivi: hawa ''wachungaji'' wa kileo, wajasiriamali, wanajua woga, tamaa na matamanio ya watu ni nini! Hivyo wanachofanya ni kutumia zile tamaa, woga na matarajio ya waumini wao kupiga fedha. Ndiyo maana husikii watu akihubiri kuacha dhambi kwani wanajua hili halina maslahi kwao.
Firstly you have to break ur curseAmen from Miss to Mrs thanks Lord for a kind ness words and to from public car to own a car and from tenant to landlord .
I wish God will be with me to archive it in the Name of Jesus.
Najua ni kubwa ila sio 100%Unajua idadi ya wahitaji?
Achieve not archive.Amen from Miss to Mrs thanks Lord for a kind ness words and to from public car to own a car and from tenant to landlord .
I wish God will be with me to archive it in the Name of Jesus.
Kuwaombea watu wafanikiwe katatua changamoto zao sio ujinga au kukosa hekima wala hakuta pelekea tatizo lolote kwani mungu hupitia maombi hayo na kujibu kwa namna impendezayo na wakati mwingine hata kutojibiwa kabisaUnajua idadi ya wahitaji?
Kwani nimesema injili ni kukemea dhambi tu? Nimesema hawa wachungaji, wajasiriamali, siku hizi wanatumia matatizo ya watu kupiga fedha huku wakiacha misingi ya injili ambayo ni kumjua na kumtumikia Mungu.Injili sio kukemea dhambi tu bali na changamoto zingine ndo maana hata yesu alitatua baadhi ya changamoto za watu
Katika maombi kuna mahitaji binafsi ya kuombea, Ila pastor kajumuisha yasiyo ya binafsi kama ya kutoka kwenye public transport hadi kumiliki ndinga (car owner) hii ombezi ni la kimihemko nduguNajua ni kubwa ila sio 100%
Hakuna binadamu anayeweza kumuombea binadamu mwenzake apate mafanikio. Mafanikio huletwa na vitendo anavyofanya binadamu mwenyewe. Ukikaa bila kufanya kazi kwa bidii hata uombewe namna gani huwezi kupata mafanikio. Na hata usipoombewa, kama lakini ukiamua kutumia njia za rafu unaweza kupata mafanikio.Kuwaombea watu wafanikiwe katatua changamoto zao sio ujinga au kukosa hekima wala hakuta pelekea tatizo lolote kwani mungu hupitia maombi hayo na kujibu kwa namna impendezayo na wakati mwingine hata kutojibiwa kabisa
Jaribu kuwa mwenye kutafakari.
Mafanikio hayaletwi na juhudi pekee kma umekomaa kiakili utaungana na mimi.Hakuna binadamu anayeweza kumuombea binadamu mwenzake apate mafanikio. Mafanikio huletwa na vitendo anavyofanya binadamu mwenyewe. Ukikaa bila kufanya kazi kwa bidii hata uombewe namna gani huwezi kupata mafanikio. Na hata usipoombewa, kama lakini ukiamua kutumia njia za rafu unaweza kupata mafanikio.
Wewe ni atheistHakuna binadamu anayeweza kumuombea binadamu mwenzake apate mafanikio. Mafanikio huletwa na vitendo anavyofanya binadamu mwenyewe. Ukikaa bila kufanya kazi kwa bidii hata uombewe namna gani huwezi kupata mafanikio. Na hata usipoombewa, kama lakini ukiamua kutumia njia za rafu unaweza kupata mafanikio.
Achieve not archive.
Pastor Lucy Natasha huwa analindwa na walinzi aliowakodisha na huwalipa cash, unaonaje na yeye tukimuingiza katika hii jamii ya atheists?Wewe ni atheist
Wewe ni msukule wa hawa wachungaji fake.Wewe ni atheist
Hawa wachungaji na manabii feki wa deal na hii misukule yao lakini wenye akili wanajua. Wanajifanya kuwa uwezo wa kuombea waumini ulinzi kwenye maisha yao lakini wao wanatembea na walinzi wengi kama marais. Wapiga deal wote hawa.Pastor Lucy Natasha huwa analindwa na walinzi aliowakodisha na huwalipa cash, unaonaje na yeye tukimuingiza katika hii jamii ya atheists?
Na ni wapiga deal wa viwango vya juu kuliko hata Wasafi bet πHawa wachungaji na manabii feki wa deal na hii misukule yao lakini wenye akili wanajua. Wanajifanya kuwa uwezo wa kuombea waumini ulinzi kwenye maisha yao lakini wao wanatembea na walinzi wengi kama marais. Wapiga deal wote hawa.
Kuna maombezi mengine huwa ya kimihemko tu [emoji3]View attachment 2465169