Pale Rais Samia anapoazima mbinu za Sabaya ili kufanikisha mambo yake

ambassador.jpg
 
Unfortunately dhana ya mahakama huru bongo ondoa. Rais anaweza kuingilia mahakama vyovyote vile apendavyo, tumeshaona hilo. mara nyingi tu
Katengeneze ya kwako ni kawaida ya binadam kuona anaonewa, hat USA kuna wanaona mahakama haziko huru hali kadhaili South African
 
Uovu wa Sabaya uko wazi mno!... Analaumiwa na watu wa vyama vyote ikiwemo CCM. Analaumiwa na wafanya biashara na viongozi wa serikali waliotendewa ubaya.
Upo myopic sana sasa wew unaamini sabaya alibaka wanawake 40 aliomba rushwa ya 35000 na wee unakubali
 
Sabaya analaumiwa na wananchi namna alivyokuwa akitumia mbinu za kubambikizia watu makosa ya uongo ili apate anachokitaka.
Wakati mwingine alikuwa tayari hata kublackmail watu kwa kuwapandikizia madawa ya kulevya ili awatoze pesa.

Samia alivyoingia madarakani, tulimuona kama Mtenda haki aliyeamua kumnyoosha yule kijana kutokana na udhalimu wake

Lakini tunasikitika, haijapita hata miezi mitatu tangu Sabaya akamatwe, Samia anatumia mbinu hizohizo za Sabaya ili kunyamazisha mpinzani wake Mkuu.

Leo Mbowe anakwenda kuunganishwa katika kesi ya walinzi waliokuwa wanamlinda mwaka jana, walinzi ambao kukamatwa kwao kunatokana na Mipango ovu ya Sabaya ya kuhakikisha Mbowe hana walinzi anaowaamini wa kumlinda.

Yaani Samia anakwenda kumuunganisha Mbowe katika kesi iliyotengenezwa na Sabaya, halafu wakati huo kamuweka ndani Sabaya!

Kwa kweli sikutegemea hata kidogo kama ni Mkubwa anaweza akageuka namna hii, kutoka kwenye kuhubiri kutobambikizia watu kesi na yeye maenyewe kwrnda kufanya hayohayo.

Mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya uongo, hayana mashiko na ni uonevu mtupu!

Haifai kwa mtu mwenye cheo cha Ukuu wa nchi, aliyekula kiapo cha kutenda haki kuanza Kuonea watu na kutenda Dhulma.
Sabaya ataachiwa kwa sababu walikuwa wananmtuma
Yule aliyekuwa mkuu wa wilaya ya arusha katajwa huko kwenye uporaji na genge la Sabaya

Na Yule sasa hivi ni mkubwa huko ccm
 
Sabaya analaumiwa na wananchi namna alivyokuwa akitumia mbinu za kubambikizia watu makosa ya uongo ili apate anachokitaka.
Wakati mwingine alikuwa tayari hata kublackmail watu kwa kuwapandikizia madawa ya kulevya ili awatoze pesa.

Samia alivyoingia madarakani, tulimuona kama Mtenda haki aliyeamua kumnyoosha yule kijana kutokana na udhalimu wake

Lakini tunasikitika, haijapita hata miezi mitatu tangu Sabaya akamatwe, Samia anatumia mbinu hizohizo za Sabaya ili kunyamazisha mpinzani wake Mkuu.

Leo Mbowe anakwenda kuunganishwa katika kesi ya walinzi waliokuwa wanamlinda mwaka jana, walinzi ambao kukamatwa kwao kunatokana na Mipango ovu ya Sabaya ya kuhakikisha Mbowe hana walinzi anaowaamini wa kumlinda.

Yaani Samia anakwenda kumuunganisha Mbowe katika kesi iliyotengenezwa na Sabaya, halafu wakati huo kamuweka ndani Sabaya!

Kwa kweli sikutegemea hata kidogo kama ni Mkubwa anaweza akageuka namna hii, kutoka kwenye kuhubiri kutobambikizia watu kesi na yeye maenyewe kwrnda kufanya hayohayo.

Mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya uongo, hayana mashiko na ni uonevu mtupu!

Haifai kwa mtu mwenye cheo cha Ukuu wa nchi, aliyekula kiapo cha kutenda haki kuanza Kuonea watu na kutenda Dhulma.
Mbowe is now past tense...kuazima maneno ya Diallo
 
Back
Top Bottom