Pale Uchovu unapofanya alamu iwe kero, wakati nimeweka mwenyewe hasa weekend😄

Pale Uchovu unapofanya alamu iwe kero, wakati nimeweka mwenyewe hasa weekend😄

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Basi bhana Mimi ndo mweka alamu lakini na snooze sana, mpaka maana ya alamu inapotea 😁😁😁

Mwendo wa kusnooze hii weekend ni 🔥🔥, Mvua, baridi Kali alamu inasumbua, saa 11 kamili naenda wapi sasa alamu bhana.


😁😁
 
Sasa kwa nini uweke alamu wakati unajua hutaamka kwa wakati huo?
 
Back
Top Bottom