Pale Uchovu unapofanya alamu iwe kero, wakati nimeweka mwenyewe hasa weekendπŸ˜„

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Basi bhana Mimi ndo mweka alamu lakini na snooze sana, mpaka maana ya alamu inapotea 😁😁😁

Mwendo wa kusnooze hii weekend ni πŸ”₯πŸ”₯, Mvua, baridi Kali alamu inasumbua, saa 11 kamili naenda wapi sasa alamu bhana.


😁😁
 
Sasa kwa nini uweke alamu wakati unajua hutaamka kwa wakati huo?
 
Ukitaka usi-snooze iweke simu mbaliπŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…