Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo utakuta na kura zimezidi kuonyesha anapendwa snUnakumbuka Bunge la katiba? Mama yake Zitto aliorodheshwa kapiga kura wakati tayari keshafariki!
Hiyo ndio TZ bana! Kila siku nasema kwamba bila CCM kufa haya maajabu ya unafiki hayataisha kamwe
wao siyo wapiga kura sababu siyo wabunge lakini humo humo kuna watu hawakupiga kura au ziliharibika lakini zote kapewakwa hiyo hata wale wagombea wengini hawakujipigia kura
Ni kweli mkuu, JF ya sasa great thinkers wanapungua. Akina Beatrice Kamugisha wameipunguza sana hadhi yake..Wameigeuza kuwa forum ya udaku.Hiyo ndio JF mpya mkuu🤣🤣🤣