Pale unampigia kura ya hapana Spika ukashangaa matakoe yanasoma 100%

Huko ni kupenda hesabu ila namba ni tatizo
 
Hili taifa litaendelea kuwa maskini mpaka mwisho wa dunia kwa aina ya wananchi wake hawa
 
Unakumbuka Bunge la katiba? Mama yake Zitto aliorodheshwa kapiga kura wakati tayari keshafariki!
Hiyo ndio TZ bana! Kila siku nasema kwamba bila CCM kufa haya maajabu ya unafiki hayataisha kamwe
Hapo utakuta na kura zimezidi kuonyesha anapendwa sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…