Palestina inamjibu Donald Trump baada ya hotuba yake

Palestina inamjibu Donald Trump baada ya hotuba yake

Kama ana lengo nao jema awapeleke New york, Washington, California etc.
Mnataka mkarete usumbufu na kuiba I phone .........hebu tulieni kwenu.......kule hakuna kurusha mawe sijui mtaishije maana kira kukicha ugomvi .........
 
Wanaukumbi.

⚡️🇵🇸🇺🇸BREAKING: Palestine responds to Donald Trump:

“For those who want to send the Palestinian people to a ‘nice place’, allow them to go back to their original homes in what is now Israel…the Palestinian people want to rebuild Gaza because this is where we belong.”

Source: @Palestine_UN
===============
⚡️🇵🇸🇺🇸BREAKING: Palestina inamjibu Donald Trump:

"Kwa wale wanaotaka kuwapeleka watu wa Palestina kwenye 'mahali pazuri', waruhusu warudi kwenye makazi yao ya asili katika eneo ambalo sasa ni Israeli ... watu wa Palestina wanataka kujenga upya Gaza kwa sababu hapa ndipo tunapostahili."

Chanzo: @Palestina_UN


View: https://x.com/suppressednws/status/1886912286591516827?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


Mambo ya Congo vipi?Ina maana wapalestina wanakuhusu kuliko wa kongomani?
 
Mimi nilijua tu hili papai hamna kitu kichwani!

Anadhani yeye anatawala Kila sehemu ya Dunia! Na Kila mtu atatii maneno yake!

Tayari ameshakuwa exposed bad how stupid he is!
 
Kwa nini Waisrael wasirudi kwao Ulaya? Huyo Netanyahu baba yake si alihamia hapo Palestine kutokea Poland? Watu wa Gaza hawajawahi kuhama hapo leo hii eti wahamishwe waende wapi? Wahamiaji ndio warudi walikotoka
 
Mnataka mkarete usumbufu na kuiba I phone .........hebu tulieni kwenu.......kule hakuna kurusha mawe sijui mtaishije maana kira kukicha ugomvi .........
🚮🚮🚮
 
Cha ajabu sasa ikitokea vita Wisrael ndio wanoikimbia nchi yao. Kwa mwaka mmoja wa vita wamekimbia Waisrael zaidi ya milioni 2 kurudi Ulaya na US.
Ila Gaza pamoja na kuwa na magofu na kuuliwa hakuna aliyehama nchi yake.

Hii inatosha kuonyesha ni nani hasa mwenye nchi. Yule mhamiaji yeye hayuko tayari kufa kwa ajili ya nchi na anakimbia vita, ila wa Gaza yupo tayari kuuliwa kwa ajili ya nchi yake.
 
Gues what? Wiasrael ndio wataokimbia kwa kuhamia Ulaya wao wenyewe na kuwaachia Wapalestina nchi yao, kamwe Wapalestine hawaondoki hapo. Ingekuwa ni wa kuondoka wangeshaondoka siku nyingi tu.

Huu ni utabiri utakaotimia, iwe leo au miaka 100 ijayo. Ipo siku Israel itafutika kwenye ramani na Palestine itarudi kuwa nchi huru. Hii ni ahadi itakayotimizwa.
 
Kuwahamisha kuwapeleka wapi?😀

Misri, Jordon, Saudia Arabia, Qatar, Syria wote wamemwambia Trump sisi hatuwezi kuhusika kwa namna yeyote ile kiwaondoa Wapelistina kwenye nchi yao.

Trump alivyokuwa punguani anaomba hawagawe kwenye hayo mataifa kisha Gaza wakakee Waisrael
😀😀

Kama ana nia njema alete ndege hawapakie hawapeleke Miami, Washington.
hao wote ni waarabu wa jordan, misri, syria, n.k, wapo hadi weusi kama wasomali, unamkumbuka yule aliyekuwa anamburuza myahudi wa kike october 7 alikuwa mweusi kabisa kama msomali.
 
Wabaki Gaza ila wakianzisha ugaidi tena watasagwa bila huruma
Wawabebe mashoga wao kuwapeleka kwenye miji ya mashoga uko ULAYA na Marekani mashariki ya kati ni kitomvu cha Dini kuuu duniani Wanatuchafulia maeneo matakatifu tukose Mibaraka !
 
Kuwahamisha kuwapeleka wapi?😀

Misri, Jordon, Saudia Arabia, Qatar, Syria wote wamemwambia Trump sisi hatuwezi kuhusika kwa namna yeyote ile kiwaondoa Wapelistina kwenye nchi yao.

Trump alivyokuwa punguani anaomba hawagawe kwenye hayo mataifa kisha Gaza wakakee Waisrael
😀😀

Kama ana nia njema alete ndege hawapakie hawapeleke Miami, Washington.
Imagine 🤣
 
Uyu Tramp mlokole anapenda mtelemko kwanini asianze Iran inamana Ajui kuwa Iran atakwamisha ujinga wake!! Wanawaonea GAZA vile awana Air Defences Systems mlokole mikesi uyu kwa mbunye anamikesi kibao!!! Ichi kizee kichwani kina tatizo !!!
 
Back
Top Bottom