Palestine na mifano ya chuki za kidini

Kuna Wayahudi wa asili tofauti tofauti ikiwemo hao wa huko Ethiopia.

Wasome zaidi hapa...


FRANC THE GREAT Maghayo
 
Wayahudi orginal ni hao waliopo hapo israel,miaka na miaka hata kurwani inalitambua hilo vitabu vyote vya historia hapo mashariki ya kati vinalitambua hilo.
Sio ukweli mkuu, kasome kitabu kinaitwa the 13th tribe tena kaandika myahudi kweli. In fact hao serphadic au Falasha Jews ni "more jewish" kuliko hao Ashkenazi ambao ni literally wazungu. Hivi middle east kuna wazungu? Original Jews ni Semites or Hamites not Caucasians. Kasome Bible Ashkenazi wametokana na Japhet while Abraham na Yakobo wametokana na Shem!!

So both religious and historically hao Ashkenazi Jews ni FEKI.
 
ACHA KUWAZUNGUMZIA WAYAHUDI KWA KUPITIA MAFUNDISHO YA KIARABU NA DINI YAO YA KIISLAMU.
AKILI ZA WAARABU NA WAISLAMU NA CHUKI ZAO NA FITINA NA UNAFIKI DHIDI YA WAYAHUDI NA HISTORIA YAO INATOKANA NA MAPOKEO YA IMANI YAO
QUR'AN 8:12
QUR'AN 9:5
QUR'AN 22:19
QURAN 9:30
NB: WAACHE WAYAHUDI WAZUNGUMZIE IMANI YAO NA ASILI YAO.
TATIZO LA UISLAMU NI KUJENGWA KATIKA MISINGI YA CHUKI NA UBAGUZI
 
Hii makala imeelezea kuhusu Wayahudi wa kale kiasili.

 
CHUKI YA WAISLAMU NA WAARABU NA MUNGU WAO WA KIARABU ALLAH.
DHIDI YA WAYAHUDI NA WAKRSTO NA MUNGU WAO WA KIYAHUDI YEHOVA.
HAIWEZI KUBADILI HISTORIA YA WAYAHUDI.
SOMA QUR'AN 9:30
SOMA QUR'AN 8:12

NB: MWARABU NA MUISLAMU HAWEZI KUMSEMEA MYAHUDI HISTORIA YAKE LAZIMA ATAWEKA CHUMVI NA UONGO SABABU MUNGU WA WAISLAMU NA WAARABU ANA UGOMVI NA MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO YEHOVA.
 
Huyu jamaa nahc anataka kuwavuta wakristo ili wajichanganye afu baadae wawachinje kwa lile jina la mungu wao. Aiseh ni bora hayo maneno ya kwenye huo uzi angeandika mkrsto mana wakristo wameagzwa upendo kwa kila binadamu ila sio hao jamaa sasa, wakristo mjichanganye mtaipenda dadeq
 
Acha uongo na upotoshaji,wayahudi wa ethiopia ni uzao wa malkia sheba,
We naye zero tu, hivi unajua Yakobo alikua na wake 4? Na wawili walikua ni watumwa kutoka huko Syria yaani waarab hivi..... na hata wake zake walitokea Mesopotamia ambayo ni almost Iraq ya leo!! So hakuna myahudi mwenye mama "pure" myahudi!! In fact hilo kabila la Dani walikua pure black based on the Bible.
 
Hahahah we mwenyewe unajiita "Almagedon"!!
 
Alietuloga waafrika aliloga pabaya stori zaidi ya 80 ni vita ya israeli ila hapo kongo au somali sijawahi sikia mtu kafungua uzi mixer kuweka na vielelezo acheni shobo iwe muislamu iwe mkristo wote kwa wazungu na waarabu mnaonekana wangese tu ndio maana papa kamtimua fala mwenye kiherehere na ndio maana kwa waarabu mnateswa japo muda wa sala wanajua mpo pamoja ila nyie mtasalia huko jikoni wenzenu watasalia sehemu ilioandaliwa. Acheni shobo ishini kwenye misingi yenu hizi dini za kuja na majahazi hazina jipya ni kunyonya watu tu. Ogopa unaletewa kitu ili utoe kitu bila kujua na unakaza fuvu kushobokea wasiokujua wewe wala thamani yako
 
Kwahiyo ile anti-Semitism iliyokuwa inafanyika Ulaya ilikuwa inawalenga akina nani? Wayahudi walioko Ethiopia au Wayahudi wapi?

Tuseme wewe na Adolf Hitler au Benito Mussolini nani alikuwa anawajua Wayahudi halisi?
 
Kwahiyo ile anti-Semitism iliyokuwa inafanyika Ulaya ilikuwa inawalenga akina nani? Wayahudi walioko Ethiopia au Wayahudi wapi?

Tuseme wewe na Adolf Hitler au Benito Mussolini nani alikuwa anawajua Wayahudi halisi?
Jewish ni culture na dini pia not necessarily "race" fulani. Na Hitler aliua sio Jews tu aliua watu wa Poland na Russia kuliko hata alivyoua wayahudi. So it was not about their "race" bali hyo identification yao kama Jews na kutawala mifumo ya fedha pamoja na kuhujumu nchi kwenye WW1.

So whether wewe ni original or not, it didn't matter.
 
Kwamba Hitler aliua Black Jews hiki ni kichekesho cha karne.

Tukiachana na hilo. Wekeni pia na ukweli wa nani ni Mmisri halisi na historia ya wenyeji halisi wa hizi nchi za Afrika ya Kaskazini;Algeria,Morocco,n.k. Siyo kukaa kila wakati mnapiga kelele 'wale walipo Israel ya leo siyo Wayahudi wale'.
 
Mulio na pamoja kuamini ni wakristo gani
Nabii Issa alipokuja (mazazi yake yalikua ni ya maajabu sana), pia yeye mwenyewe alikua ni mwenye maajabu na miujiza ya hali ya juu. Alipoondoka watu waligawika makundi matano.

1-Kundi la kwanza kabisa walidai kwamba Issa a.s ndiye MUNGU
2-Kundi la pili walidai Issa a.s ni Mtoto wa MUNGU
3-Kundi la tatu walidai kwamba Issa a.s ni Nabii na mtume wa MUNGU (Hili kundi la tatu walikua ni wachache sana) na hawa kwetu sisi ndio tunawaita 'Ahlul-kitaab' kwasababu waliendeleza kuishikilia Injili.
4-Kundi la nne ni mahayudi walioendeleza mila za Nabii Mussa a.s lakini wakamkataa Issa a.s hawa pia tunawaita ni 'Ahlul-kitaab' kwasababu waliendelea kuishikilia Taurati.
5-Kundi la 6 ni Mayahudi yaliyokufuru kabisa ambayo yalipiga vita makundi hayo manne ya juu, walichinja na kuuwa Manabii na kuwakataa hadharani na ndio hawa waliolaaniwa kwa Kauli ya Dawd na Kauli ya Nabii Issa, na hapo ndipo ufalme wa kiungu ukaondolewa kwao na kupelekwa arabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…