jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ahsante sana
Nilipoanza mwanzoni kabisa kuandika haya niliweka huu mstari ''Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza? Je! anakusikiliza kwakua anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho? au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye anamawazo yake kuhusu hayo unayozungumza.!!?
Kumbukumbu za Bwana Hempher: Ushahidi wa jasusi wa Uingereza ambaye alibadili dini na kua muislamu kwa lengo hilo ambalo nimelieleza hapo, na yeye mwenyewe alikuja akaweka wazi maswala hayo. Vipi wewe uje useme ni propaganda ilihali nimekuwekea ushahidi wa kutosha hapo. Jitahidi upitie nyaraka za ''Mr. Humphrey's memoirs''
Je hao unaowasema ni uzao fulani na uzao fulani, mbona hawahangaiki kuwashirikisha Jews wenzao walio Afrika? Kwanini wanaua Jews wenzao walio Palestine? Kwanini wanauwa Wakristo walio Palestine?
Nakushauri kupata maarifa sahihi, kuyachunguza na kutafakari
Unaonyesha jinsi gani uislam ni dini dhaifi na iliyo na desperate ya converters,poleni sana historia nayo huweza kugeuzwa kwa mlengo fulani na maslahi fulani kama ulivyoandika katika andiko lako,umechanganya uongo na ukweli ili kupotosha.
Hii vita mpalestina ameshindwa kaeni chini muone njia bora ya hao wapalestina kuishi na waisrael laa waondoke hapo mana kila siku mtabaki kulialia tu na hakuna kitu mtafanya.