Palestine na mifano ya chuki za kidini

Palestine na mifano ya chuki za kidini

Hebrews au Israelis wana asili moja,wote ni uzao wa Yakobo,msipotoshe watu.The Bible is the only authentic resource ya kupata ukweli huo,any other source ni upotoshaji wa Khazarian Mafia ili kuwafanya nao waonekane ni Israelis.Nirudie Israelis or Hebrews ni uzao wa Yakobo.
Sipendi kutumia the word Jews kwa kuwa nalo limenyumbulishwa kutoka kwenye Neno "Yehudi,"ambalo ni Neno la Kiebrania meaning "of Juda." Ni Neno sahihi linalowa-describe true Israelis or Hebrews,lakini linatumiwa vibaya sana,hasa na Khazarian Mafia au watu wa Sinagogi la Shetani described Revelation 2:9 & 3:9 ambao ndio wanaoitawala Israel.
 
Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza?

Je, anakusikiliza kwa kuwa anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye ana mawazo yake kuhusu hayo unayozungumza.

Mara nyingi ukiwa Muislamu unaona wasio Waislamu ndio maadui, kama vile asiye Muislamu humuona Muislamu ndio adui na husema yale yanayotokea hufanywa na Waislamu, halafu hajui tofauti ya Muislamu yupi na yupi. Kama ambavyo nasisi hatujui hitilafu zilizomo baina ya wasio Waislamu.

Kwa mfano: Tunapotaka kuzungumza kuhusu Palestine, Tunamzungumza Mpalestina namna anavyofanyana na Myahudi. Lakini hoja ya msingi ni nani Myahudi?

Yahudi original yuko Ethiopia anaitwa Falasha ukiingia hata search engine ya google ukitafuta neno Falasha watakueleza kwamba huyo ndio 'The Beta Israel'

Muonekano wa Myahudi original ni hawa hapa, ni weusi.

View attachment 2813402

Hawa ndio Wayahudi wenyewe,

View attachment 2813405

....................
Sasa yule anayepigana na Mpalestina pale hii leo ni Nani?

Wale wanaitwa Khazars au Ashkenazi hata ukiingia search engine ya google ukiandika Khazars au Ashkenazi utawaona.

Ashkenazi ni Convert kutoka kuwa Khazarian kuja kuwa Jews, yaani ni watu walioacha dini yao wakaingia dini ya kiyahudi. Yaani kama vile leo, Mkristo aache ukristo kisha aingie uislamu, au muislamu aache uislamu kisha aingie ukitristo kwa maslahi fulani ya kisiasa na kiuchumi sio kwa ajili ya MUNGU.

Hawa ndio Khazars au Ashkenazi ni Wazungu

View attachment 2813448

Ndio hawa hapa

View attachment 2813451
........................
Kwao ni wapi haswa?

Kwao kabisa ni Georgia kama mile 800 kutoka Palestina ambapo wanapapigania kwasasa. Wapo karibu na Russia ndipo walipotoka

View attachment 2813463
.....................
Sehemu wanayoipagania, awali ilijulikana kwa jina la JUDEA, kisha ikawa PALESTINE, haikua Israel kwasababu neno Israel ni maneno mawili yaliyounganishwa ambayo yanamaana tofauti, ISRA ni Plural ya MJA yaani WAJA, na neno EL ni Mwenyezi MUNGU.

Sasa spirit kwa yanayotokea Ghaza sasa hivi ni nini?

Je ni Wailsamu wanapigana na mayahudi? Laa! hapana.
Je kwa walioko Ghaza kuna wayahudi mule?? Naam, wapo na wanakufa.
Je kwa walioko Ghaza kuna wakristo mule ?? Naam, wapo na wanakufa.
Lakini wote lugha yao ni kiarabu, sasa mtu asiye na ufahamu mzuri atajua wote wanaozungumza kiarabu pale ni Waislamu.

Huo ndio Mchujo nimekupatia wakujua nani ni nani pale Ghaza.

Taifa la Waja wa Mwenyezi MUNGU (Israel) lilibuniwa lini?
Kuna watu wanaamini ni mwaka 1948, lakini taifa liliasisiwa tangu kwa azimio la Balfour ndipo taifa lilipobuniwa Taifa la Israel, mwaka 1917 hadi kufikia mwaka huu 2023 tayari imepita miaka 106 exactly.

Msiangalie hivi vitu kama picha, ili kupata ile roho ya haya mambo, ile spirit Angalieni ile barua watu wanasema nini, halafu angalia tarehe yake utaona 2nd Novermber 1917.

Swali ni kwamba ameandikiwa nani ile barua?
Aliyeandikiwa ile barua ni Lord Rothschild.
Ni nani huyu Lord Rothschild.?
.........

Nchi 10 za kiislamu ziliwekewa mtego katika kubuniwa taifa la Wazayuni, kuna Waafrika ambao wanapata hasira wakitajiwa jina la Wazayuni, anataka uwaite Israel. Ushahidi ni kwamba hata kwenye barua hiyo aliyoandikiwa Lord Rothschild ametajiwa kwamba 'Jews Zionists' barua iko hapo chini.

Muktadha wa haya mambo, sio mambo ya waislamu kupigana na wakristo, kwasababu kule palestina Waislamu hawapigani na Wakristo, wala waislamu hawapigani na Yahudi, kule waislamu wanapigana na Zayuni.

View attachment 2813669

Kwa hivyo Zayuni ni nani?
Zayuni ni political entity ni chombo cha kisiasa ambacho kilikua kimejengeka kwenye fikra ya utaifa, ambapo mwaka 1902 hadi mwaka 1905 ilijadiliwa kwamba watu hawa waletwe Afrika nchi ya Kenya.

Theodor Herzl akiwa kama mkubwa wa Mazayuni yeye ndiye akapinga swala hilo kwenye mkutano wao wa Basel huko Switzerland, akasema hapana, kule kule kwasababu wao walikua wanataka kuudandia uyahudi, wao sio mayahudi, wao ni Khazarian wao ni Ashkenazi kutoka Georgia, lakini walishagundua uyahudi ni njia ya malengo yao ndio unaona sasa wanafanya bidii kutaka kuwachukua Falasha kutoka Ethiopia ili kama wataweza wajiaribu kuiba 'Genes' za wale wa Falasha. Falasha ndio original Jews, na Falasha wako Ethiopia.

Sasa ili kukuonesha kwamba hii sio vita ya waislamu na wakristo, na wala sio vita ya waislamu na mayahudi, kutambua haya ni muhimu kurudi kwenye historia.

Waislamu hawana vita na Mayahudi wala hawana vita na Wakristo, na wala Mtume Muhammad S.A.W hajawahi kupigana vita na Wakristo na Wala hajawahi kupiga vita na mayahudi, bali Mtume amepigana vita na Makuraishi Wapagani wa Makka.

Kwa mfano: Mwaka wa 5 baada ya uislamu kuingia waislamu walikua wanateswa sana NA Makurishi wa mji wa Maka, walikua wanauliwa. Wakenda kwa Mtume (s.a.w) wakamwambia Ewe Mtume wa Mungu, mateso na dhiki tunayopata ni kubwa sana je wewe unaweza kutushauri twende wapi ili tupate amani ya kufanya ibada zetu?

Mtume akawaambia 'Mimi naona, kuna nchi moja ipo Africa inaitwa 'Abyssinia' (Ethiopia Empire) huko kuna mtawala sio Muislamu, lakini nawahakikishia mtapata amani na mtaweza kujiendeleza na imani yenu kwa nama ya hali ya juu sana, atawatendea haki''

Je! Mtume S.A.W alikua alishakuja Ethiopia yeye? alijuaje kule kuna mtawala wakikristo lakini atawapa amani waislamu? Je waislamu wanavita na wakristo kama Mtume S.A.W anawashauri swahaba zake wafuasi wake nendeni kwa mtawala yule mtakua na amani kuliko kukaa hapa mkauwawa.

Mfano wa pili, wale waliokuja kutoka Madina makabila mawili ya Aws na Khazraj walikua ni makabila mawili ya Kiyahudi yaliyokua yakizozana sana na ndio hayo yalimnusuru Mtume S.A.W alipoingia Madina, katika uislamu ukisikia 'Ansar sunna' maana yake ni wale waliomnusuru Mtume S.A.W ambao ni makabila mawili ya kiyahudi ya Aws na Khazraj. Je waislamu wanavita na Mayahudi? jibu hapana.
.............

Kumbe sasa kuna chombo cha kisiasa na kitaifa ndio chombo cha Kizayuni, ambacho kinajua kabisa kwamba Nabii Mussa a.s, Nabii Issa a.s (Yesu Kristo), na Mtume Muhammad s.a.w hawa watatu ni watu waliojisalimisha kwa Mwenyezi MUNGU na wanamuheshimu Mwenyezi MUNGU hawa mitume watatu.

Wazayuni wanajua kwamba hawa mitume watatu ni wachamungu na wanafuata mwenendo wa maisha uliokamilika. Sasa tufanyeje? hawa ni lazima tuwazozanishe wasipatane, hawa wakipatana sisi hatuna mahali tutapita. Mzizi utakao wavuruga ni Uyahudi, Wafuasi wa Nabii Issa na Waislamu. Huu ndio mzizi wa vita vya Palestina. Lazima hawa watu tuwagonganishe vichwa ndio hapo sisi ZAYUNI tutapata kuwatawala. Wazayuni ni kundi la kisiasa linalofanya matendo kwa kuwasingizia wayahudi.

Turudi sasa tuliposihia kwenye Barua. Ni nani huyu Lord Rothschild.?
Neno 'Rothschild' ni neno la kijerumani lenye maana ya Roth = Red, Schild = shield (Red Shield) = Ngao Nyekundu.

Rothschild ni tajiri aliyeweza kudhamini na kufadhili vita vya kwanza vya ulimwengu na vita vya pili vya ulimwengu, kwa kufadhili pande zote zipigane ziuwane. Anampa huyu pesa kisha anamfadhili na mshindani wake kwa kumpa pesa, na kwa kila mmoja anaona yuko peke yake bila kujua kama boss wao ni mmoja.

Vita vya kwanza hawakujua, vita vya pili ilikuaje?
Mayer Amschel Rothschild ana watoto ambao walikua ni Bankers wakubwa, Federal Bureau ya America ni Rothschild, London square Bank kuu ya London ni Rothschild, Naples Italy Central bank ni Rothschild, German Bank ni Rothschild, Sehemu nyingi za dunia walifungua Central Bank ikiwa wao ndio wanaendesha nchi.
..................
Sponsor mkuu wa illuminate ni Rothschild, yeye ndiye aliyemwambia Adam Weishaupt kwamba buni society ya illuminate, mfadhili ni Rothschild, secret society.

Ni muhimu sana watu kujua tunatoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi, (vipi?) ipo kwenye mabano ().
Tumetoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi, tunakwenda vipi, maana sio tunakwenda tu, tunakwenda vipi ndio muhimu, na hii (Vipi) kwasasa inashikiliwa na Rothschild kwa asilimia kubwa.
Kule tunakokwenda lazima twende tukiwa ni watu wenye taarifa, tunajua kunaendelea nini, tunajua sisi tunataka nini, na wale ambao wanakwenda dhidi yetu sisi wao wanataka nini. Ni vitu muhimu kuvifahamu.

Kwa hivyo tunapoizungumzia Palestine, spirit yake inamafunzo kwetu sisi Waislamu, Wakristo na Mayahudi. Hapa Palestine kuna mafunzo makubwa ya sisi kujifunza hususan waislamu.

Kwa mfano: Leo Ghaza hakuna umeme, hakuna maji, hakuna huduma za afya, hakuna chakula, hakuna mawasiliano, hakuna msaada wowote wa maana kwa watu wale. Je wewe hali hiyo ikikukuta umejiandaa vipi? Kwasababu Masihi Dajal (Mpinga Kristo) ndiye atamiliki vitu vyote vya ardhi hii, je! wewe umejiandaa vipi kwa mfano mdogo huu kwa watu wa Palestina? kwasababu kinachoendelea Ghaza ni njia ya kumkaribisha Dajal ulimwenguni, na mapinduzi hayo yataendelea hatua kwa hatua hadi kuikamata ardhi yote ya dunia. Je umejiandaa kwa hilo? utakabiliana nalo vipi?

Angalia nchi zilizo jirani na Ghaza, ni waarabu wenzao, ni wakristo wenzao na ni mayahudi wenzao, wale wote walaio karibu na Ghaza ni watu wa kaliba moja. Lakini hawana msaada wa kuwapa. Sio msaada wa kupigana laa! Msaada tu hata wakupelekea maji na chakula wanashindwa. Wewe unafikiria kuna nini hapo Unajifunza nini kama mwanaadamu wa kawaida? unaweza weza kustahmili mambo kama hayo yakikukuta?
...........
Palestina ilikua inahusisha maeneo hadi ya Jordan, tangu mwaka 1517 hadi mwaka 1915 kipindi cha Ottoman Empire.

Baada ya Ottoman Empire kuanguka katika vita vya kwanza vya ulimwengu, milki ya ottoman aliichukua Mturuki, baada ya kuona hawezi kuendesha milki hizo kwa kushindwa nguvu na Milki kubwa wakazichukua Miliki hizo na kuwakabidhi Waingereza.

Kulikua na Mkataba unaitwa 'Lausanne Agreement' ambao ulikua umefuatana na vita vya kwanza vya ulimwengu. 'Lausanne Agreement' ni makubaliano ya Uturuki kwamba wawape uingereza mamlaka ya kusimamia Palestina.

Mwaka 1917 Uingereza ikatoa Azimio la Balfour Declaration, ili kubuniwe taifa la Kizayuni ndani ya Palestine kwa kusema kwamba itakua ni nchi inayowahudumia Mayahudi, lakini kiuhalisia sio Yahudi bali ni Zayuni.

Mwaka 1922 asilimia 80% ya Palestine ikageuzwa ikawa inajulikana kama 'Transjordan' na hii inafanya Jordan iwe imechukua kipande kikubwa cha Palestine ambacho kinaishi waarabu.

Watu wengi wanaamani taifa la Wazayuni limebuniwa 1948 ni kwasababu ya taifa la Wazayuni na majirani wake waarabu, kutokana na hukumu ya umoja wa mataifa kugawanya palestine kuwa mataifa mawili, Moja ni taifa la kiyahudi wakaliita (Israel) na moja taifa la Waarabu (Palestine).
Unayafahamu makabila 12 ya Israel? Unataka kutuambia makabila yote 12 yalikimbilia Ethiopia!? Umetaja kabila moja tu, hebu tuambie mengine 11 yako wapi? Shida yenu wachambuzi uchwara mnaongozwa na mihemko ya kidini!
 
ACHA KUWAZUNGUMZIA WAYAHUDI KWA KUPITIA MAFUNDISHO YA KIARABU NA DINI YAO YA KIISLAMU.
AKILI ZA WAARABU NA WAISLAMU NA CHUKI ZAO NA FITINA NA UNAFIKI DHIDI YA WAYAHUDI NA HISTORIA YAO INATOKANA NA MAPOKEO YA IMANI YAO
QUR'AN 8:12
QUR'AN 9:5
QUR'AN 22:19
QURAN 9:30
NB: WAACHE WAYAHUDI WAZUNGUMZIE IMANI YAO NA ASILI YAO.
TATIZO LA UISLAMU NI KUJENGWA KATIKA MISINGI YA CHUKI NA UBAGUZI
TATIZO LA UISLAMU NI KUJENGWA KATIKA MISINGI YA CHUKI NA [emoji419]
 
Alietuloga waafrika aliloga pabaya stori zaidi ya 80 ni vita ya israeli ila hapo kongo au somali sijawahi sikia mtu kafungua uzi mixer kuweka na vielelezo acheni shobo iwe muislamu iwe mkristo wote kwa wazungu na waarabu mnaonekana wangese tu ndio maana papa kamtimua fala mwenye kiherehere na ndio maana kwa waarabu mnateswa japo muda wa sala wanajua mpo pamoja ila nyie mtasalia huko jikoni wenzenu watasalia sehemu ilioandaliwa. Acheni shobo ishini kwenye misingi yenu hizi dini za kuja na majahazi hazina jipya ni kunyonya watu tu. Ogopa unaletewa kitu ili utoe kitu bila kujua na unakaza fuvu kushobokea wasiokujua wewe wala thamani yako
[emoji419]
 
Nabii Issa alipokuja (mazazi yake yalikua ni ya maajabu sana), pia yeye mwenyewe alikua ni mwenye maajabu na miujiza ya hali ya juu. Alipoondoka watu waligawika makundi matano.

1-Kundi la kwanza kabisa walidai kwamba Issa a.s ndiye MUNGU
2-Kundi la pili walidai Issa a.s ni Mtoto wa MUNGU
3-Kundi la tatu walidai kwamba Issa a.s ni Nabii na mtume wa MUNGU (Hili kundi la tatu walikua ni wachache sana) na hawa kwetu sisi ndio tunawaita 'Ahlul-kitaab' kwasababu waliendeleza kuishikilia Injili.
4-Kundi la nne ni mahayudi walioendeleza mila za Nabii Mussa a.s lakini wakamkataa Issa a.s hawa pia tunawaita ni 'Ahlul-kitaab' kwasababu waliendelea kuishikilia Taurati.
5-Kundi la 6 ni Mayahudi yaliyokufuru kabisa ambayo yalipiga vita makundi hayo manne ya juu, walichinja na kuuwa Manabii na kuwakataa hadharani na ndio hawa waliolaaniwa kwa Kauli ya Dawd na Kauli ya Nabii Issa, na hapo ndipo ufalme wa kiungu ukaondolewa kwao na kupelekwa arabuni.
Hahahahaha kwamba Ufalme wa Kiungu ukapelekwa kwa Waarabu!!!??? Hebu amka we mtu mweusi, huu utumwa wa kifikra ndo chanzk kikuu cha umaskini na matatizo yako lukuki. Pambania mambo yako.
 
Hakuna mtu mwovu kwa asili yake.

Bali mafundisho ya kupotosha ndio yanayo mpotosha mtu.

Hali kadharika mafundisho mazuri yanamjenga mtu katika Utu wema.

Wako Wayahudi Wema Sana na pia Waarabu wema Sana ukijumlisha na hao Wapalestina.

Siafikiani na wanao shutumu Kabila fulani kiujumla kuwa ni Ovu.

Chanzo cha taarifa kikiwa Kipotofu huzaa Jamii Ovu.

Mathayo (Mat) 7:17
Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18: Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

Kuna haja kubwa ya kuvitathmini vyanzo vyetu vya taarifa bila kujali Jamii yako inavipa kipaumbele cha namna gani.
 
Kwahiyo Mungu anafurahishwa na kinachoendelea?

Hilo sanduku linamsaidia nini Mungu?

Na kama hilo sanduku ni kitu cha maana sana Mungu hawezi kuwapa sanduku lingine?

Hapa ndio kina Kiranga and co, wanakuwa na nguvu za hoja.
Hizi habari za Mungu ni siasa za watu tu, tuache kupigana fix Mungu huyu aliyeandikwa vitabuni hayupo.
 
Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza?

Je, anakusikiliza kwa kuwa anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye ana mawazo yake kuhusu hayo unayozungumza.

Mara nyingi ukiwa Muislamu unaona wasio Waislamu ndio maadui, kama vile asiye Muislamu humuona Muislamu ndio adui na husema yale yanayotokea hufanywa na Waislamu, halafu hajui tofauti ya Muislamu yupi na yupi. Kama ambavyo nasisi hatujui hitilafu zilizomo baina ya wasio Waislamu.

Kwa mfano: Tunapotaka kuzungumza kuhusu Palestine, Tunamzungumza Mpalestina namna anavyofanyana na Myahudi. Lakini hoja ya msingi ni nani Myahudi?

Yahudi original yuko Ethiopia anaitwa Falasha ukiingia hata search engine ya google ukitafuta neno Falasha watakueleza kwamba huyo ndio 'The Beta Israel'

Muonekano wa Myahudi original ni hawa hapa, ni weusi.

View attachment 2813402

Hawa ndio Wayahudi wenyewe,

View attachment 2813405

....................
Sasa yule anayepigana na Mpalestina pale hii leo ni Nani?

Wale wanaitwa Khazars au Ashkenazi hata ukiingia search engine ya google ukiandika Khazars au Ashkenazi utawaona.

Ashkenazi ni Convert kutoka kuwa Khazarian kuja kuwa Jews, yaani ni watu walioacha dini yao wakaingia dini ya kiyahudi. Yaani kama vile leo, Mkristo aache ukristo kisha aingie uislamu, au muislamu aache uislamu kisha aingie ukitristo kwa maslahi fulani ya kisiasa na kiuchumi sio kwa ajili ya MUNGU.

Hawa ndio Khazars au Ashkenazi ni Wazungu

View attachment 2813448

Ndio hawa hapa

View attachment 2813451
........................
Kwao ni wapi haswa?

Kwao kabisa ni Georgia kama mile 800 kutoka Palestina ambapo wanapapigania kwasasa. Wapo karibu na Russia ndipo walipotoka

View attachment 2813463
.....................
Sehemu wanayoipagania, awali ilijulikana kwa jina la JUDEA, kisha ikawa PALESTINE, haikua Israel kwasababu neno Israel ni maneno mawili yaliyounganishwa ambayo yanamaana tofauti, ISRA ni Plural ya MJA yaani WAJA, na neno EL ni Mwenyezi MUNGU.

Sasa spirit kwa yanayotokea Ghaza sasa hivi ni nini?

Je ni Wailsamu wanapigana na mayahudi? Laa! hapana.
Je kwa walioko Ghaza kuna wayahudi mule?? Naam, wapo na wanakufa.
Je kwa walioko Ghaza kuna wakristo mule ?? Naam, wapo na wanakufa.
Lakini wote lugha yao ni kiarabu, sasa mtu asiye na ufahamu mzuri atajua wote wanaozungumza kiarabu pale ni Waislamu.

Huo ndio Mchujo nimekupatia wakujua nani ni nani pale Ghaza.

Taifa la Waja wa Mwenyezi MUNGU (Israel) lilibuniwa lini?
Kuna watu wanaamini ni mwaka 1948, lakini taifa liliasisiwa tangu kwa azimio la Balfour ndipo taifa lilipobuniwa Taifa la Israel, mwaka 1917 hadi kufikia mwaka huu 2023 tayari imepita miaka 106 exactly.

Msiangalie hivi vitu kama picha, ili kupata ile roho ya haya mambo, ile spirit Angalieni ile barua watu wanasema nini, halafu angalia tarehe yake utaona 2nd Novermber 1917.

Swali ni kwamba ameandikiwa nani ile barua?
Aliyeandikiwa ile barua ni Lord Rothschild.
Ni nani huyu Lord Rothschild.?
.........

Nchi 10 za kiislamu ziliwekewa mtego katika kubuniwa taifa la Wazayuni, kuna Waafrika ambao wanapata hasira wakitajiwa jina la Wazayuni, anataka uwaite Israel. Ushahidi ni kwamba hata kwenye barua hiyo aliyoandikiwa Lord Rothschild ametajiwa kwamba 'Jews Zionists' barua iko hapo chini.

Muktadha wa haya mambo, sio mambo ya waislamu kupigana na wakristo, kwasababu kule palestina Waislamu hawapigani na Wakristo, wala waislamu hawapigani na Yahudi, kule waislamu wanapigana na Zayuni.

View attachment 2813669

Kwa hivyo Zayuni ni nani?
Zayuni ni political entity ni chombo cha kisiasa ambacho kilikua kimejengeka kwenye fikra ya utaifa, ambapo mwaka 1902 hadi mwaka 1905 ilijadiliwa kwamba watu hawa waletwe Afrika nchi ya Kenya.

Theodor Herzl akiwa kama mkubwa wa Mazayuni yeye ndiye akapinga swala hilo kwenye mkutano wao wa Basel huko Switzerland, akasema hapana, kule kule kwasababu wao walikua wanataka kuudandia uyahudi, wao sio mayahudi, wao ni Khazarian wao ni Ashkenazi kutoka Georgia, lakini walishagundua uyahudi ni njia ya malengo yao ndio unaona sasa wanafanya bidii kutaka kuwachukua Falasha kutoka Ethiopia ili kama wataweza wajiaribu kuiba 'Genes' za wale wa Falasha. Falasha ndio original Jews, na Falasha wako Ethiopia.

Sasa ili kukuonesha kwamba hii sio vita ya waislamu na wakristo, na wala sio vita ya waislamu na mayahudi, kutambua haya ni muhimu kurudi kwenye historia.

Waislamu hawana vita na Mayahudi wala hawana vita na Wakristo, na wala Mtume Muhammad S.A.W hajawahi kupigana vita na Wakristo na Wala hajawahi kupiga vita na mayahudi, bali Mtume amepigana vita na Makuraishi Wapagani wa Makka.

Kwa mfano: Mwaka wa 5 baada ya uislamu kuingia waislamu walikua wanateswa sana NA Makurishi wa mji wa Maka, walikua wanauliwa. Wakenda kwa Mtume (s.a.w) wakamwambia Ewe Mtume wa Mungu, mateso na dhiki tunayopata ni kubwa sana je wewe unaweza kutushauri twende wapi ili tupate amani ya kufanya ibada zetu?

Mtume akawaambia 'Mimi naona, kuna nchi moja ipo Africa inaitwa 'Abyssinia' (Ethiopia Empire) huko kuna mtawala sio Muislamu, lakini nawahakikishia mtapata amani na mtaweza kujiendeleza na imani yenu kwa nama ya hali ya juu sana, atawatendea haki''

Je! Mtume S.A.W alikua alishakuja Ethiopia yeye? alijuaje kule kuna mtawala wakikristo lakini atawapa amani waislamu? Je waislamu wanavita na wakristo kama Mtume S.A.W anawashauri swahaba zake wafuasi wake nendeni kwa mtawala yule mtakua na amani kuliko kukaa hapa mkauwawa.

Mfano wa pili, wale waliokuja kutoka Madina makabila mawili ya Aws na Khazraj walikua ni makabila mawili ya Kiyahudi yaliyokua yakizozana sana na ndio hayo yalimnusuru Mtume S.A.W alipoingia Madina, katika uislamu ukisikia 'Ansar sunna' maana yake ni wale waliomnusuru Mtume S.A.W ambao ni makabila mawili ya kiyahudi ya Aws na Khazraj. Je waislamu wanavita na Mayahudi? jibu hapana.
.............

Kumbe sasa kuna chombo cha kisiasa na kitaifa ndio chombo cha Kizayuni, ambacho kinajua kabisa kwamba Nabii Mussa a.s, Nabii Issa a.s (Yesu Kristo), na Mtume Muhammad s.a.w hawa watatu ni watu waliojisalimisha kwa Mwenyezi MUNGU na wanamuheshimu Mwenyezi MUNGU hawa mitume watatu.

Wazayuni wanajua kwamba hawa mitume watatu ni wachamungu na wanafuata mwenendo wa maisha uliokamilika. Sasa tufanyeje? hawa ni lazima tuwazozanishe wasipatane, hawa wakipatana sisi hatuna mahali tutapita. Mzizi utakao wavuruga ni Uyahudi, Wafuasi wa Nabii Issa na Waislamu. Huu ndio mzizi wa vita vya Palestina. Lazima hawa watu tuwagonganishe vichwa ndio hapo sisi ZAYUNI tutapata kuwatawala. Wazayuni ni kundi la kisiasa linalofanya matendo kwa kuwasingizia wayahudi.

Turudi sasa tuliposihia kwenye Barua. Ni nani huyu Lord Rothschild.?
Neno 'Rothschild' ni neno la kijerumani lenye maana ya Roth = Red, Schild = shield (Red Shield) = Ngao Nyekundu.

Rothschild ni tajiri aliyeweza kudhamini na kufadhili vita vya kwanza vya ulimwengu na vita vya pili vya ulimwengu, kwa kufadhili pande zote zipigane ziuwane. Anampa huyu pesa kisha anamfadhili na mshindani wake kwa kumpa pesa, na kwa kila mmoja anaona yuko peke yake bila kujua kama boss wao ni mmoja.

Vita vya kwanza hawakujua, vita vya pili ilikuaje?
Mayer Amschel Rothschild ana watoto ambao walikua ni Bankers wakubwa, Federal Bureau ya America ni Rothschild, London square Bank kuu ya London ni Rothschild, Naples Italy Central bank ni Rothschild, German Bank ni Rothschild, Sehemu nyingi za dunia walifungua Central Bank ikiwa wao ndio wanaendesha nchi.
..................
Sponsor mkuu wa illuminate ni Rothschild, yeye ndiye aliyemwambia Adam Weishaupt kwamba buni society ya illuminate, mfadhili ni Rothschild, secret society.

Ni muhimu sana watu kujua tunatoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi, (vipi?) ipo kwenye mabano ().
Tumetoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi, tunakwenda vipi, maana sio tunakwenda tu, tunakwenda vipi ndio muhimu, na hii (Vipi) kwasasa inashikiliwa na Rothschild kwa asilimia kubwa.
Kule tunakokwenda lazima twende tukiwa ni watu wenye taarifa, tunajua kunaendelea nini, tunajua sisi tunataka nini, na wale ambao wanakwenda dhidi yetu sisi wao wanataka nini. Ni vitu muhimu kuvifahamu.

Kwa hivyo tunapoizungumzia Palestine, spirit yake inamafunzo kwetu sisi Waislamu, Wakristo na Mayahudi. Hapa Palestine kuna mafunzo makubwa ya sisi kujifunza hususan waislamu.

Kwa mfano: Leo Ghaza hakuna umeme, hakuna maji, hakuna huduma za afya, hakuna chakula, hakuna mawasiliano, hakuna msaada wowote wa maana kwa watu wale. Je wewe hali hiyo ikikukuta umejiandaa vipi? Kwasababu Masihi Dajal (Mpinga Kristo) ndiye atamiliki vitu vyote vya ardhi hii, je! wewe umejiandaa vipi kwa mfano mdogo huu kwa watu wa Palestina? kwasababu kinachoendelea Ghaza ni njia ya kumkaribisha Dajal ulimwenguni, na mapinduzi hayo yataendelea hatua kwa hatua hadi kuikamata ardhi yote ya dunia. Je umejiandaa kwa hilo? utakabiliana nalo vipi?

Angalia nchi zilizo jirani na Ghaza, ni waarabu wenzao, ni wakristo wenzao na ni mayahudi wenzao, wale wote walaio karibu na Ghaza ni watu wa kaliba moja. Lakini hawana msaada wa kuwapa. Sio msaada wa kupigana laa! Msaada tu hata wakupelekea maji na chakula wanashindwa. Wewe unafikiria kuna nini hapo Unajifunza nini kama mwanaadamu wa kawaida? unaweza weza kustahmili mambo kama hayo yakikukuta?
...........
Palestina ilikua inahusisha maeneo hadi ya Jordan, tangu mwaka 1517 hadi mwaka 1915 kipindi cha Ottoman Empire.

Baada ya Ottoman Empire kuanguka katika vita vya kwanza vya ulimwengu, milki ya ottoman aliichukua Mturuki, baada ya kuona hawezi kuendesha milki hizo kwa kushindwa nguvu na Milki kubwa wakazichukua Miliki hizo na kuwakabidhi Waingereza.

Kulikua na Mkataba unaitwa 'Lausanne Agreement' ambao ulikua umefuatana na vita vya kwanza vya ulimwengu. 'Lausanne Agreement' ni makubaliano ya Uturuki kwamba wawape uingereza mamlaka ya kusimamia Palestina.

Mwaka 1917 Uingereza ikatoa Azimio la Balfour Declaration, ili kubuniwe taifa la Kizayuni ndani ya Palestine kwa kusema kwamba itakua ni nchi inayowahudumia Mayahudi, lakini kiuhalisia sio Yahudi bali ni Zayuni.

Mwaka 1922 asilimia 80% ya Palestine ikageuzwa ikawa inajulikana kama 'Transjordan' na hii inafanya Jordan iwe imechukua kipande kikubwa cha Palestine ambacho kinaishi waarabu.

Watu wengi wanaamani taifa la Wazayuni limebuniwa 1948 ni kwasababu ya taifa la Wazayuni na majirani wake waarabu, kutokana na hukumu ya umoja wa mataifa kugawanya palestine kuwa mataifa mawili, Moja ni taifa la kiyahudi wakaliita (Israel) na moja taifa la Waarabu (Palestine).
Ulivyochambua hapa ukiambiwa uchambue family tree yako hujui hata kimoja loh tulishikwa pabaya yaani ya jirani tena wa mbali asiekujua ww unajua mambo yake ila yako ya ndani yanakushinda ni tz pekee ndio utakutana na ujinga na ushabiki wa kipumbavu. Alafu mtu anajiona kichwani yupo vizuri sana
 
Huyu jamaa nahc anataka kuwavuta wakristo ili wajichanganye afu baadae wawachinje kwa lile jina la mungu wao. Aiseh ni bora hayo maneno ya kwenye huo uzi angeandika mkrsto mana wakristo wameagzwa upendo kwa kila binadamu ila sio hao jamaa sasa, wakristo mjichanganye mtaipenda dadeq
Hahaha..
Nilipoona I'd ya mtoa mada ina neno Islamic, nikawa nasoma bandiko kwa tahadhari. The guy sounds knowledgeable ingawa kuna ukakasi maeneo kadhaa
 
Hebrews au Israelis wana asili moja,wote ni uzao wa Yakobo,msipotoshe watu.The Bible is the only authentic resource ya kupata ukweli huo,any other source ni upotoshaji wa Khazarian Mafia ili kuwafanya nao waonekane ni Israelis.Nirudie Israelis or Hebrews ni uzao wa Yakobo.
Sipendi kutumia the word Jews kwa kuwa nalo limenyumbulishwa kutoka kwenye Neno "Yehudi,"ambalo ni Neno la Kiebrania meaning "of Juda." Ni Neno sahihi linalowa-describe true Israelis or Hebrews,lakini linatumiwa vibaya sana,hasa na Khazarian Mafia au watu wa Sinagogi la Shetani described Revelation 2:9 & 3:9 ambao ndio wanaoitawala Israel.
Kuna aina tofauti za Jews mfano Ashkenazi, Sephardic, mirzah n.k

Kama hizo ni za uongo, je Jews asili ni kina nani ? au jamii gani ?

zitto junior
 
Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.
Wakristo wanamuamini Yesu, siyo issa.
Issa siyo Yesu. Nakubaliana na wewe, kama kuna wanaoamini issa bila shaka ni washirikina
 
Hahaha..
Nilipoona I'd ya mtoa mada ina neno Islamic, nikawa nasoma bandiko kwa tahadhari. The guy sounds knowledgeable ingawa kuna ukakasi maeneo kadhaa
take care brother hata shetan anaeza kukujia kama malaika mwema wa bwana kumbe ni devil
 
Umeelezea vema kabisa.
Hakuna lolote anajibaraguza tu kwa unafiki wao. Huwezi halalisha uislam na ukristo kiwa kotu kimoja kwa kusema Issa ndio Yesu. Pia anapotosha kwa kusema Muhammad aliwaambia waislam wa kwanza watoke Madina waende Ethiopia watapolelewa na kuishi vizuri kwani kiongozi ji mkristo wakati huo huo huyo Muddy kawaagiza waislam wawachukie na wawe maadui na Ukristo.

Kimsingi, vita ile sio ya kidini wala kulet propaganda. Kinachopiganwa pale ni ugaidi kutokomezwa. Pia anadanganya eti hakukiwa na taifa la Israel na anashindwa kujua kuwa Ardhi ile ilikaliwa na makabila 12 ya Israel na ndio nchi yao halali.

Wacha unafiki ustadhi, tumekushtukia kwa andiko lako lenye maneno laini ya kupotosha.
 
Hiyo hadithi ya huyo unaemuita muddy nimeisoma na naijua.

Leta wewe sasa andiko linalosema wauweni.. Mpinge kwa hoja, mie nimemuelewa kwa hoja zake, nawe njoo na hoja zako nikuelewe mtaalam
 
Hahaha..
Nilipoona I'd ya mtoa mada ina neno Islamic, nikawa nasoma bandiko kwa tahadhari. The guy sounds knowledgeable ingawa kuna ukakasi maeneo kadhaa

Kacheza na akili sana kaingiza ukweli na uongo mwingi kijanja sana,usipo soma kwa umakini huwezi tambua.

Kiufupi usitegemee historia sahihi ya wayahudi kutoka kwa muislam lazima apotoshe tu.
 
Kuna aina tofauti za Jews mfano Ashkenazi, Sephardic, mirzah n.k

Kama hizo ni za uongo, je Jews asili ni kina nani ? au jamii gani ?

zitto junior
Proved hakuna Muisrael anayeitwa Ashkenazi, Sephardic, sijui Mirzah,huo ni utapeli.These people are either Hebrews,Israelis or atmost Jews.

Swala zima la Hebrews limefanywa kuwa complicated na Khazarian Mafia makusudi,ili wajipenyeze humo nao waonekane ni true Israelis,it shouldn't have been so complicated.

Niseme hivi for now however, true Israelis sio white,they are people of colour,you could be an Israeli,who knows.

Watu ambao tunajua for sure ni Israelis ni the Falasha of Ethiopia,kwa kuwa hata imani yao inafanana na Torah,which is a Hebrew belief.

Ni vigumu for now kusema who the true Israelis are ,kwa kuwa Mungu aliwasambaza duniani kote(Yeremia 23:3-4) kwa mkono wake,and the Khazarian Mafia are trying hard to hide their identity.Hata hivyo Mungu
atawarejesha at His own chosen time.

Yeremia 23:3-4
3 Nami nitakusanya mabaki ya kundi langu, katika nchi zile zote nilizowafukuza, nami nitawaleta tena mazizini mwao; nao watazaa na kuongezeka.
4 Nami nitaweka juu yao wachungaji watakaowalisha; wala hawataona hofu tena, wala kufadhaika, wala hatapotea hata mmoja wao, asema Bwana.
 
Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.
Member Mnachihanguu amekuuliza hivi nitamnukuu ”Je umeisahau ile aya inayokataza kuwa na urafiki na mkristo na myahudi?”

Main post pale juu umeeleza vizuri sana kuhusu mtume Muhammad kusaidiwa na black Jews au sijui niseme African Jews pia kushauri baadhi ya wa Islam kwenda kusaidiwa na kiongozi wa Kikristo Ethiopia kukimbia kuuawa sasa nadhani msingi wa swali lake ni hizo Aya zilizo ktk kuran zinazohimiza chuki kubwa dhidi ya hao wayahudi na Wakristo waliowasaidia waislam zilitoka wapi?na kwanza unazijua hizo Aya?

Kwa uelewa wangu mdogo najua kweli na naamini ISSA siyo mwana wa Mungu wala siyo Mungu na ktk Ukristo hicho kiumbe hakijawahi ku-exit,lengo siyo kubishana tukirudi kwenye swali la msingi haiyumkiniki wayahudi alioakimaanisha mtume ni hao waliopo hapo Israel/Palestine ya leo may be kuna kitu walikifanya kwa waislam hata Muhammad kwa niaba ya Mungu wake akaamrisha chuki kali dhidi yao?maana kama wa Ethiopia walitoa msaada kwanini walaaniwe?nahitaji kujua unazungumza vipi swali la mdau hapo juu.
 
Hii kauli ni uongo mtupu.
Hitler aliua takribani 6 Million Jews.
Ukijumlisha polish and soviet casualties hawafiki hata 3 million.
Haupo serious, Hitler killed more non-jewish poles kuliko jewish poles.

Having said that, Urusi walikufa watu zaidi ya Million 20 mind you combatants walikufa zaidi ya 8 Million!! Kwa silaha za Hitler so unawezaje sema Jews died more than other non-Jews?

Source:
Research Starters: Worldwide Deaths in World War II | The National WWII Museum | New Orleans
 
Um
Ahsante sana

Nilipoanza mwanzoni kabisa kuandika haya niliweka huu mstari ''Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza? Je! anakusikiliza kwakua anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho? au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye anamawazo yake kuhusu hayo unayozungumza.!!?

Kumbukumbu za Bwana Hempher: Ushahidi wa jasusi wa Uingereza ambaye alibadili dini na kua muislamu kwa lengo hilo ambalo nimelieleza hapo, na yeye mwenyewe alikuja akaweka wazi maswala hayo. Vipi wewe uje useme ni propaganda ilihali nimekuwekea ushahidi wa kutosha hapo. Jitahidi upitie nyaraka za ''Mr. Humphrey's memoirs''

Je hao unaowasema ni uzao fulani na uzao fulani, mbona hawahangaiki kuwashirikisha Jews wenzao walio Afrika? Kwanini wanaua Jews wenzao walio Palestine? Kwanini wanauwa Wakristo walio Palestine?

Nakushauri kupata maarifa sahihi, kuyachunguza na kutafakari
Umesahau kuna Mizrahi Jews, Sephardic Jews. Wale wametokea middle east kutoka nchi kama Yemen, morroco, Saudi, misri, syria,Iraq etc
 
Back
Top Bottom