Palestine na mifano ya chuki za kidini

Hebrews au Israelis wana asili moja,wote ni uzao wa Yakobo,msipotoshe watu.The Bible is the only authentic resource ya kupata ukweli huo,any other source ni upotoshaji wa Khazarian Mafia ili kuwafanya nao waonekane ni Israelis.Nirudie Israelis or Hebrews ni uzao wa Yakobo.
Sipendi kutumia the word Jews kwa kuwa nalo limenyumbulishwa kutoka kwenye Neno "Yehudi,"ambalo ni Neno la Kiebrania meaning "of Juda." Ni Neno sahihi linalowa-describe true Israelis or Hebrews,lakini linatumiwa vibaya sana,hasa na Khazarian Mafia au watu wa Sinagogi la Shetani described Revelation 2:9 & 3:9 ambao ndio wanaoitawala Israel.
 
Unayafahamu makabila 12 ya Israel? Unataka kutuambia makabila yote 12 yalikimbilia Ethiopia!? Umetaja kabila moja tu, hebu tuambie mengine 11 yako wapi? Shida yenu wachambuzi uchwara mnaongozwa na mihemko ya kidini!
 
TATIZO LA UISLAMU NI KUJENGWA KATIKA MISINGI YA CHUKI NA [emoji419]
 
[emoji419]
 
Hahahahaha kwamba Ufalme wa Kiungu ukapelekwa kwa Waarabu!!!??? Hebu amka we mtu mweusi, huu utumwa wa kifikra ndo chanzk kikuu cha umaskini na matatizo yako lukuki. Pambania mambo yako.
 
Hakuna mtu mwovu kwa asili yake.

Bali mafundisho ya kupotosha ndio yanayo mpotosha mtu.

Hali kadharika mafundisho mazuri yanamjenga mtu katika Utu wema.

Wako Wayahudi Wema Sana na pia Waarabu wema Sana ukijumlisha na hao Wapalestina.

Siafikiani na wanao shutumu Kabila fulani kiujumla kuwa ni Ovu.

Chanzo cha taarifa kikiwa Kipotofu huzaa Jamii Ovu.

Mathayo (Mat) 7:17
Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18: Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

Kuna haja kubwa ya kuvitathmini vyanzo vyetu vya taarifa bila kujali Jamii yako inavipa kipaumbele cha namna gani.
 
Kwahiyo Mungu anafurahishwa na kinachoendelea?

Hilo sanduku linamsaidia nini Mungu?

Na kama hilo sanduku ni kitu cha maana sana Mungu hawezi kuwapa sanduku lingine?

Hapa ndio kina Kiranga and co, wanakuwa na nguvu za hoja.
Hizi habari za Mungu ni siasa za watu tu, tuache kupigana fix Mungu huyu aliyeandikwa vitabuni hayupo.
 
Ulivyochambua hapa ukiambiwa uchambue family tree yako hujui hata kimoja loh tulishikwa pabaya yaani ya jirani tena wa mbali asiekujua ww unajua mambo yake ila yako ya ndani yanakushinda ni tz pekee ndio utakutana na ujinga na ushabiki wa kipumbavu. Alafu mtu anajiona kichwani yupo vizuri sana
 
Hahaha..
Nilipoona I'd ya mtoa mada ina neno Islamic, nikawa nasoma bandiko kwa tahadhari. The guy sounds knowledgeable ingawa kuna ukakasi maeneo kadhaa
 
Kuna aina tofauti za Jews mfano Ashkenazi, Sephardic, mirzah n.k

Kama hizo ni za uongo, je Jews asili ni kina nani ? au jamii gani ?


zitto junior
 
Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.
Wakristo wanamuamini Yesu, siyo issa.
Issa siyo Yesu. Nakubaliana na wewe, kama kuna wanaoamini issa bila shaka ni washirikina
 
Hahaha..
Nilipoona I'd ya mtoa mada ina neno Islamic, nikawa nasoma bandiko kwa tahadhari. The guy sounds knowledgeable ingawa kuna ukakasi maeneo kadhaa
take care brother hata shetan anaeza kukujia kama malaika mwema wa bwana kumbe ni devil
 
Umeelezea vema kabisa.
Hakuna lolote anajibaraguza tu kwa unafiki wao. Huwezi halalisha uislam na ukristo kiwa kotu kimoja kwa kusema Issa ndio Yesu. Pia anapotosha kwa kusema Muhammad aliwaambia waislam wa kwanza watoke Madina waende Ethiopia watapolelewa na kuishi vizuri kwani kiongozi ji mkristo wakati huo huo huyo Muddy kawaagiza waislam wawachukie na wawe maadui na Ukristo.

Kimsingi, vita ile sio ya kidini wala kulet propaganda. Kinachopiganwa pale ni ugaidi kutokomezwa. Pia anadanganya eti hakukiwa na taifa la Israel na anashindwa kujua kuwa Ardhi ile ilikaliwa na makabila 12 ya Israel na ndio nchi yao halali.

Wacha unafiki ustadhi, tumekushtukia kwa andiko lako lenye maneno laini ya kupotosha.
 
Hiyo hadithi ya huyo unaemuita muddy nimeisoma na naijua.

Leta wewe sasa andiko linalosema wauweni.. Mpinge kwa hoja, mie nimemuelewa kwa hoja zake, nawe njoo na hoja zako nikuelewe mtaalam
 
Hahaha..
Nilipoona I'd ya mtoa mada ina neno Islamic, nikawa nasoma bandiko kwa tahadhari. The guy sounds knowledgeable ingawa kuna ukakasi maeneo kadhaa

Kacheza na akili sana kaingiza ukweli na uongo mwingi kijanja sana,usipo soma kwa umakini huwezi tambua.

Kiufupi usitegemee historia sahihi ya wayahudi kutoka kwa muislam lazima apotoshe tu.
 
Proved hakuna Muisrael anayeitwa Ashkenazi, Sephardic, sijui Mirzah,huo ni utapeli.These people are either Hebrews,Israelis or atmost Jews.

Swala zima la Hebrews limefanywa kuwa complicated na Khazarian Mafia makusudi,ili wajipenyeze humo nao waonekane ni true Israelis,it shouldn't have been so complicated.

Niseme hivi for now however, true Israelis sio white,they are people of colour,you could be an Israeli,who knows.

Watu ambao tunajua for sure ni Israelis ni the Falasha of Ethiopia,kwa kuwa hata imani yao inafanana na Torah,which is a Hebrew belief.

Ni vigumu for now kusema who the true Israelis are ,kwa kuwa Mungu aliwasambaza duniani kote(Yeremia 23:3-4) kwa mkono wake,and the Khazarian Mafia are trying hard to hide their identity.Hata hivyo Mungu
atawarejesha at His own chosen time.

Yeremia 23:3-4
3 Nami nitakusanya mabaki ya kundi langu, katika nchi zile zote nilizowafukuza, nami nitawaleta tena mazizini mwao; nao watazaa na kuongezeka.
4 Nami nitaweka juu yao wachungaji watakaowalisha; wala hawataona hofu tena, wala kufadhaika, wala hatapotea hata mmoja wao, asema Bwana.
 
Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.
Member Mnachihanguu amekuuliza hivi nitamnukuu ”Je umeisahau ile aya inayokataza kuwa na urafiki na mkristo na myahudi?”

Main post pale juu umeeleza vizuri sana kuhusu mtume Muhammad kusaidiwa na black Jews au sijui niseme African Jews pia kushauri baadhi ya wa Islam kwenda kusaidiwa na kiongozi wa Kikristo Ethiopia kukimbia kuuawa sasa nadhani msingi wa swali lake ni hizo Aya zilizo ktk kuran zinazohimiza chuki kubwa dhidi ya hao wayahudi na Wakristo waliowasaidia waislam zilitoka wapi?na kwanza unazijua hizo Aya?

Kwa uelewa wangu mdogo najua kweli na naamini ISSA siyo mwana wa Mungu wala siyo Mungu na ktk Ukristo hicho kiumbe hakijawahi ku-exit,lengo siyo kubishana tukirudi kwenye swali la msingi haiyumkiniki wayahudi alioakimaanisha mtume ni hao waliopo hapo Israel/Palestine ya leo may be kuna kitu walikifanya kwa waislam hata Muhammad kwa niaba ya Mungu wake akaamrisha chuki kali dhidi yao?maana kama wa Ethiopia walitoa msaada kwanini walaaniwe?nahitaji kujua unazungumza vipi swali la mdau hapo juu.
 
Hii kauli ni uongo mtupu.
Hitler aliua takribani 6 Million Jews.
Ukijumlisha polish and soviet casualties hawafiki hata 3 million.
Haupo serious, Hitler killed more non-jewish poles kuliko jewish poles.


Having said that, Urusi walikufa watu zaidi ya Million 20 mind you combatants walikufa zaidi ya 8 Million!! Kwa silaha za Hitler so unawezaje sema Jews died more than other non-Jews?

Source:
Research Starters: Worldwide Deaths in World War II | The National WWII Museum | New Orleans
 
Um Umesahau kuna Mizrahi Jews, Sephardic Jews. Wale wametokea middle east kutoka nchi kama Yemen, morroco, Saudi, misri, syria,Iraq etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…