Palestine vs California

Palestine vs California

I don't buy it...
Mnajifariji kijinga tu, USA wako mbele mzee we fatilia tu jinsi wanadeal na hiyo ishu yao.

Wala hawasaidiwi ni wao na serikali yao, na hapohapo huku ndichi bado misaada itaendelea kuja tu pamoja na hilo janga lao.
Aloo wale watu wamejidhatiti
No money in emergency department_ Donald trump
 
Huyo jamaa anatoa machozi ya chura tu Hana wasiwasi unafikiri anaishi kimakengeza kutegemea kudra za Mola. Ameweka BIMA kila kitu kitalipwa na maisha with no time yanarudi.

Tatizo bima haikulipi mara moja inaweza kuchukua miaka ndio uje ulipwe , niliona nchi moja nilienda kusoma ulaya, kuna duka liliunguwa , hiyo bima ilichukuwa karibu miaka 8 ndio wakaanza kumjengea Ujenzi wenyewe umechukuwa karibu miaka 2 kwani hiyo kampuni waliyochukuwa ni ya rahisi ya kuunga unga tu
 
Karma is real mzee hata kama hautarelate na ghaza but me naamini kinachowakuta ni karma ya kile walichokifanya, loss watakayoipata itaexceed zaidi ya mara tano ya ile hasara ya ghaza.
Tafuteni njia muwaumize na ninyi sio kutegemea majanga, hapo likiisha hili janga mnaanza tena kuomba mungu aingilie kati vita ya Gaza
 
Karma is real mzee hata kama hautarelate na ghaza but me naamini kinachowakuta ni karma ya kile walichokifanya, loss watakayoipata itaexceed zaidi ya mara tano ya ile hasara ya ghaza.
Sasa mzee hiyo karma inawapata hata wasiohusika, maana hilo janga linawatandika raia wasio na maamuzi yoyote, pia kuna wageni wasio wamarekani.

Hii imani yenu haijakaa sawa kabisa, kufurahia majanga sio kitu kizuri, ni ukatili na roho mbaya. Mungu wenu ndio anawaruhusu mfurahie shida za wengine??
 
Waislamu akili zenu ni kama mende mbona lilitokea tetemeko pale uturuki likaua watu zaidi ya 2000 na maelfu ya mali ziliharibika hamkusema wanapewa adhabu na mungu pale Saudia watu walikanyagana pale kwenye kile kijumba wakafa watu maelfu nako walipewa adhabu na Nani?
Screenshot_20250112-003051_Chrome.jpg
 
Waislamu akili zenu ni kama mende mbona lilitokea tetemeko pale uturuki likaua watu zaidi ya 2000 na maelfu ya mali ziliharibika hamkusema wanapewa adhabu na mungu pale Saudia watu walikanyagana pale kwenye kile kijumba wakafa watu maelfu nako walipewa adhabu na Nani?
Hao jamaa ni kuwaonea huruma tu.
 
Tatizo mlisema ukiibariki Israeli basi nawe utabarikiwa sasa tuna shangaa kinacho ikuta marekani leo
Raia wamerekani wako na solidarity na raia wa gaza nyie wenyewe mliona ila hata wafanye nini dini yenu imesema msiwe na urafiki nao , no wonder Mwalimu Nyerere alikua miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuitambua mamlaka ya palestine ubalozi wao ulikuwepo hapa na aliwakaa kabisa Israel aliwagomea hata kuleta baloz hapa wala yeye kupeleka balozi kwao alisimama na watu wa palestina lakin kwa vita ya gera PLO chin ya Arafat wakapigana upande wa Nduli Amin maana ni ndugu yao na kocha nyerere ni kafri na hafai kua rafiki,
Kuna nchi nyingi mno za ulaya zimewakataa israel na matendo yao kuliko nchi za kiarabu , lakin hao watasha wakipata majanga mapimbi yanafurahia kwakua sio ndugu katika imani , huu ni u bomboclot of worst kind
 
Back
Top Bottom