Mwenye macho na aone, Mwenye masikio na asikie.Tunamwachia mungu
Huyo ndio Mwenyezi Mungu hachelewi wala hawahi. Bado hapo Tel Aviv. Ipo siku yao inakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye macho na aone, Mwenye masikio na asikie.Tunamwachia mungu
Kwa akili yako tu,unadhani USA ni wakuchezea hovyo dunia ya sasa.Tatizo mlisema ukiibariki Israeli basi nawe utabarikiwa sasa tuna shangaa kinacho ikuta marekani leo
Mungu wako unaemuomba ww atakuwa zwazwa kama ww ulivo zwazwa ivi unazani kizazi chasasa bado kipo kuamini kulikuwa na vita ya siku 6 kati ya Israel na WAARABU watabaki kuamini nizwazwa kama nyie vita ya Israel jina tu Israel kwasasa watu waneshajua wanaopigana ni marekani na washilika wake silaha zote zinatoka marekani zikiwemo ndege air defence kutoka marekani waongoza vita ni magenerali kutoka marekani pesa kutoka marekani sasa apo anaepigana ni Israel!!!! Mungu Fundi mungu akosei waisrael wanalala kwenye mashimo kama panya na bado wamekufa wangi lkn wanaficha na iyo vita awatoshinda Palestina itapepea flag yake ktk ardhi yote. We endelea kununua udongo.Kama ni hivyo basi mungu wenu ni mjinga yaani aache kumpla adhabu mtendaji arukie kwa mwingine!! Kama kichapo alistahili kupewa Israel. Naamini mnaunganisha dots ili tu kujipa maneno ya faraja baada ya Hamas kupata kipigo cha kufa mtu hivyo mnatafuta Sympathy kwa nguvu zote hata hivyo haisaidii chochote Hamas na magaidi wengine wanaendelea mpaka sasa hivi kupata kipigo cha mbwa koko tu
Kwa wenye akili wala hawana wasiwasi na hao mazayuni waliolaaniwa siku yao ni moja na inakuja hakilutakuwa na paka yoyote wa kusumbua pale, tatizo siku hizi waislamu hakuna sio wachamungu (waliopo wachache na hawapo frontline wanajificha) thats why tunatawal8wa kila kona.Mwenye macho na aone, Mwenye masikio na asikie.
Huyo ndio Mwenyezi Mungu hachelewi wala hawahi. Bado hapo Tel Aviv. Ipo siku yao inakuja
Anhaa labda kweli ni mungu wenu ila Mungu wangu hana pigo za kiwaki namna hiyo.Shida humjui huyo Mungu tunaye muongelea. Ameshasema mwenyewe kwamba hizi adhabu ni kuwaonjesha tu.
Kingine, Mungu hapangiwi Cha kufanya japokuwa uwezo wa kuiteketeza hiyo miji ni chini ya sekunde.
Wewe huna akiliNioneshe janga la moto kubwa kuliko hili hapo
Uislamu ni dini ya mchongoKwa wenye akili wala hawana wasiwasi na hao mazayuni waliolaaniwa siku yao ni moja na inakuja hakilutakuwa na paka yoyote wa kusumbua pale, tatizo siku hizi waislamu hakuna sio wachamungu (waliopo wachache na hawapo frontline wanajificha) thats why tunatawal8wa kila kona.
Manabii wote wa MUNGU wametoka Israel,Israel ni taifa la shetani tuu na huyu america ndo shetani mwenyewe hakuna jema wanalofanya likampendeza mungu halipoo
Umeandika upimbi wewe kwani hujui asilimia 10% ya wapalestina ni wakristu kwani nao wametengwa na wenzao?Raia wamerekani wako na solidarity na raia wa gaza nyie wenyewe mliona ila hata wafanye nini dini yenu imesema msiwe na urafiki nao , no wonder Mwalimu Nyerere alikua miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuitambua mamlaka ya palestine ubalozi wao ulikuwepo hapa na aliwakaa kabisa Israel aliwagomea hata kuleta baloz hapa wala yeye kupeleka balozi kwao alisimama na watu wa palestina lakin kwa vita ya gera PLO chin ya Arafat wakapigana upande wa Nduli Amin maana ni ndugu yao na kocha nyerere ni kafri na hafai kua rafiki,
Kuna nchi nyingi mno za ulaya zimewakataa israel na matendo yao kuliko nchi za kiarabu , lakin hao watasha wakipata majanga mapimbi yanafurahia kwakua sio ndugu katika imani , huu ni u bomboclot of worst kind
Wanachezewa kila siku na vijana wa YemenKwa akili yako tu,unadhani USA ni wakuchezea hovyo dunia ya sasa.
Nilikuwa huko najuaAkili yako ndo inavyokuambia hivo?
Ujinga wako hauwezi kubadirisha Historia na Historia ikiandikwa imeandikwa wajinga tu kama wewe ndiyo mtashupaza shingo lakini ukweli utabaki palepale. Magaidi wenzako wa Hamas wanatoa wapi silaha? Mafunzo wanapata wapi? Hata hao Magaidi wa Hezbollah Bwana wao anajulikana ni Iran ndiye mfadhili wa ugaidi wa Hamas,Hezbollah na Houthi. Israel imeweza kwa nguvu zote kuwahenyesha Hamas,Hezbollah na Houthi pamoja na Bwana wao Iran. Ni ujinga na Upumbavu mkishindwa vita mnasingizia Marekani huo ni U-Mama. Narudia tena kusema huo ni U-Mama!!Mungu wako unaemuomba ww atakuwa zwazwa kama ww ulivo zwazwa ivi unazani kizazi chasasa bado kipo kuamini kulikuwa na vita ya siku 6 kati ya Israel na WAARABU watabaki kuamini nizwazwa kama nyie vita ya Israel jina tu Israel kwasasa watu waneshajua wanaopigana ni marekani na washilika wake silaha zote zinatoka marekani zikiwemo ndege air defence kutoka marekani waongoza vita ni magenerali kutoka marekani pesa kutoka marekani sasa apo anaepigana ni Israel!!!! Mungu Fundi mungu akosei waisrael wanalala kwenye mashimo kama panya na bado wamekufa wangi lkn wanaficha na iyo vita awatoshinda Palestina itapepea flag yake ktk ardhi yote. We endelea kununua udongo.
Wajinga na wapumbavu wanajifariji baada ya kokosa pa kushika basi wakaona watumie hilo janga ili kuonyesha chuki zao juu ya Marekani lakini hasa hasa chuki zao zinasukumwa na mihemko ya kidini. Israel inapowapiga waarabu kutokana na ugaidi walioufanya Oct 07,2023 huko Israel ambao kwa akili zao ndogo wanajua ni waislamu wenzao na Marekani inapowasaidia Hawa sasa Waarabu-Koko wanachukia waislamu wenzao kupigwa ndipo sasa wanajitoa ufahamu na kuanza kuunganisha majanga na adhabu ya mungu wao Allah.Mimi kuna kitu sijakielewa au labda nina uelewa mdogo!9
Moto uwake California sijui USA anayetembeza kichapo Mzayuni na yupo Mashariki ya Kati huko sasa unatoa wapi guts za kuamini moto huu umetokana na adhabu ya yanayoendelea huko Gaza?
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu!!Mwenye macho na aone, Mwenye masikio na asikie.
Huyo ndio Mwenyezi Mungu hachelewi wala hawahi. Bado hapo Tel Aviv. Ipo siku yao inakuja
Israel kabarikiwa sawa ila aliyewabariki israel na mungu wao ni mmarekani,Wewe na ukoo wako ndiyo mmelaaniwa!! Israel Wame Ari kiwa sana na Mungu wewe hapo ulipo unatumia ubunifu wao,Simu,Internet,Computer yako,YouTube,Facebook na mitandao mingine yote kuna mkono wa Muyahudi. Ni wewe tu na familia yako ndiyo mliolaaniwa kutwa kuchwa unalalamika tu!!!