- Thread starter
- #21
Palangyo anatosha saaana..kama mnataka kila mtu akagombee alikozaliwa basi Samia naye asigombee huku Tanganyika, arudi kwao Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Palangyo anatosha saaana..kama mnataka kila mtu akagombee alikozaliwa basi Samia naye asigombee huku Tanganyika, arudi kwao Zanzibar.
Binamu analizimisha saana kupendwa na machalii aiseekwahiyo umeamua kuchochea joto la kisiasa kuni mbichi kiainaee🐒
binamu ana hasira anaweza kupiga mtu na kitu kizito, halafu mbaya zaidi anajua na anauhakika kabisa Arusha amechokwa hawezi toboa ng'oo 🐒
Mtafutieni Gambo kazi ya kufanya.Tuende na Palangyo aanatosha saana
alianza kuwazingua maafisa usafirishaji na akaja tena kuharibu zaidi kuleta habari za kidini....Binamu analizimisha saana kupendwa na machalii aisee
Binamu bana anatia aibu aiseealianza kuwazingua maafisa usafirishaji na akaja tena kuharibu zaidi kuleta habari za kidini....
amechefua raia kwamba hana shida na ubunge, halafu ana utamani tena... hawezi enda mahali yoyote atabeti sana tu 🐒

Usihamishe Goli hapa tunaongelea mustakabali wa BinamuMtafutieni Gambo kazi ya kufanya.
Katika vitu vinavyokera sana Arusha ni hizo siasa za ukabila na kuitana wahamiaji. Ungeandika bila kuweka ukabila hoja yako ingekuwa na nguvu. Huo ubaguzi wa kipumbavu huwa unaigharimu hata CCM jimbo la Arusha mjini. Watu wenye sifa wanaachwa na kuwekwa wasio na sifa kisa tu walizaliwa Arusha na ni wamasai (wanajiita waarusha). Kwenye uchaguzi wa UVCCM na Meya kulikuwa na hizo kauli za kishenzi. Ninaishauri CHADEMA na vyama vingine muweke wagombea wanaokubalika majimboni mwao bila kujali kabila au ni mzaliwa wa jimbo hilo. Mrema aligombea Temeke akashinda, Makongoro aligombea Arusha mjini akashinda... hao wawili ni mifano kuwa ukabila hauna nguvu majimboni.Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano.
Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde Pallangyo ndio awe mgombea wa CHADEMA kutokana na yafuatayo;
1. Wazazi wa Pallangyo ni wenyeji wa Arusha sio wahamiaji, hivyo watakuwa na uchungu wa maendeleo ya Mkoa
2. Binamu yake mzee Mbowe alishatamka wazi wazi kuwa ubunge kwake sio dili.
Wewe unafikiri kwa nini Lema kila wakati ni lazima aropoke kuwa yeye ni mchagga?Katika vitu vinavyokera sana Arusha ni hizo siasa za ukabila na kuitana wahamiaji. Ungeandika bila kuweka ukabila hoja yako ingekuwa na nguvu. Huo ubaguzi wa kipumbavu huwa unaigharimu hata CCM jimbo la Arusha mjini. Watu wenye sifa wanaachwa na kuwekwa wasio na sifa kisa tu walizaliwa Arusha na ni wamasai (wanajiita waarusha). Kwenye uchaguzi wa UVCCM na Meya kulikuwa na hizo kauli za kishenzi. Ninaishauri CHADEMA na vyama vingine muweke wagombea wanaokubalika majimboni mwao bila kujali kabila au ni mzaliwa wa jimbo hilo. Mrema aligombea Temeke akashinda, Makongoro aligombea Arusha mjini akashinda... hao wawili ni mifano kuwa ukabila hauna nguvu majimboni.
Safari hii Lema hata akigombea hawezi Kupita,sitarajii wanawake wampe kura.Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano.
Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde Pallangyo ndio awe mgombea wa CHADEMA kutokana na yafuatayo;
1. Wazazi wa Pallangyo ni wenyeji wa Arusha sio wahamiaji, hivyo watakuwa na uchungu wa maendeleo ya Mkoa
2. Binamu yake mzee Mbowe alishatamka wazi wazi kuwa ubunge kwake sio dili.
Hana hata Cha kuonesha Cha maana,ni wajinga.Kwanza naamni Lema.hata akigombea this time hatoshinda.Chadema wanatenda kinyume na wanachohubiri. Kuna haha gani ya kumsimamisha mtu mmoja kugombea ubunge miaka 20 kwa Chama kinachojiita cha demokrasia? Kwanini wasitoe nafasi kwa vijana wanaochipukia na kujitoa kwenye chama?
Pumbavu..........huyo Palanjo ndo atakuwa mbunge wa mkoa? Tangu lini mbunge analeta maendeleo ya Mkoa?! Mbunge ni wa Jimbo. Huyo Gambo ni mwenyeji wa Arusha mjini mbona mlimpaga ubunge?!Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano.
Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde Pallangyo ndio awe mgombea wa CHADEMA kutokana na yafuatayo;
1. Wazazi wa Pallangyo ni wenyeji wa Arusha sio wahamiaji, hivyo watakuwa na uchungu wa maendeleo ya Mkoa
2. Binamu yake mzee Mbowe alishatamka wazi wazi kuwa ubunge kwake sio dili.
Wenye akili watakuelewa MkuuSafari hii Lema hata akigombea hawezi Kupita,sitarajii wanaweza wampe kura.
Mtu huyo Huwa analazimisha ku trend Kwa kuwa na ajenda za fujo.Hayuko hapo Kwa maslahi ya Watu.
Just imagine hata Sasa asiporopoka na kutoa Kauli Zenye ukakasi Huwa haridhiki.
Chagueni muone uchumi wenu utakavyoteteleka maana saizi mna enjoy maisha hakuna Bar wala lodge imekosa wateja.Wekeni Lema muone.
Umesahau kuwa mbunge diwani pia ,mkiambiwa mmekuwa misukule ya mzee Mbowe hamtaki kusikia.AIBUPumbavu..........huyo Palanjo ndo atakuwa mbunge wa mkoa? Tangu lini mbunge analeta maendeleo ya Mkoa?! Mbunge ni wa Jimbo. Huyo Gambo ni mwenyeji wa Arusha mjini mbona mlimpaga ubunge?!
ACHA ubaguzi mchawi weweWananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano.
Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde Pallangyo ndio awe mgombea wa CHADEMA kutokana na yafuatayo;
1. Wazazi wa Pallangyo ni wenyeji wa Arusha sio wahamiaji, hivyo watakuwa na uchungu wa maendeleo ya Mkoa
2. Binamu yake mzee Mbowe alishatamka wazi wazi kuwa ubunge kwake sio dili.
Kwa hiyo mnabariki upuuzi wa Lema kujitangqza kwenye majukwaa ya siasa kuwa yeye ni mchagga?ACHA ubaguzi mchawi wewe
Acha siasa za kitoto, Gwajima ni mwenyeji wa Dar?Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano.
Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde Pallangyo ndio awe mgombea wa CHADEMA kutokana na yafuatayo;
1. Wazazi wa Pallangyo ni wenyeji wa Arusha sio wahamiaji, hivyo watakuwa na uchungu wa maendeleo ya Mkoa
2. Binamu yake mzee Mbowe alishatamka wazi wazi kuwa ubunge kwake sio dili.
Dhalimu magu alikuwa anaongea kabisa kisukuma majukwaani, hizo baraka ww ndio ulimpa?Kwa hiyo mnabariki upuuzi wa Lema kujitangqza kwenye majukwaa ya siasa kuwa yeye ni mchagga?