Pallangyo wa CHADEMA ndio awe Mgombea jijini Arusha 2025

Kumbe Mmesha gundua Lema aki chukua fomu hahitaji hata kampeni!!
Anzeni kutafutia Gambo kazi ya kufanya
Na anavyo penda umbea kazi ita kayo mfaa ni kuuza vigodoro..
Lema hana ubavu wa kumshinda Mrisho Mashaka Gambo kivyovyote vile. Tuache kiongozi wa maendeleo tutafute kipngozi wa maandamano, haiwezekani!

Sent from my Infinix X678B using JamiiForums mobile app
 
Chadema wanatenda kinyume na wanachohubiri. Kuna haja gani ya kumsimamisha mtu mmoja kugombea ubunge miaka 20 kwa Chama kinachojiita cha demokrasia? Kwanini wasitoe nafasi kwa vijana wanaochipukia na kujitoa kwenye chama?
Kwani kuna mtu amekatazwa kutangaza nia?

Amandla...
 
Yaani weee kada wa ccm ndo wa kuipangia chadema mgombea???? Mpuuzi mmoja ww
 
Hapa Dar ni New York Nini? Yaani ni kipi Cha ajabu zaidi ya hizi chemba za choo zinazotoririsha vinyesi?
Umeona cdm wamegoma kwenda dodoma ,unafikiri ni kwa ajili gani?
 
Tunataka wewe uwe mbunge
 
Arusha hqitakaa irudi kwa nyumbu. Ni bora Samia akose urais kuliko hilo litokee maana itakuwa uzembe wa Samia. Ule ushamba na ushetani wa Lema hatuutaki tena. Lile jitu haliwezi staarabika km binadamu halafu lina pepo
 
Acha nichekee [emoji23][emoji1787][emoji1787] Toka lini mmeru akawa mbunge wa Arusha mjini

Ninyi Ni meru hukomgagom
 
Arusha hqitakaa irudi kwa nyumbu. Ni bora Samia akose urais kuliko hilo litokee maana itakuwa uzembe wa Samia. Ule ushamba na ushetani wa Lema hatuutaki tena. Lile jitu haliwezi staarabika km binadamu halafu lina pepo
Na pepo lake ni hatari saana linaombea watu mabaya hadi kifo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…