Kwahiyo ni kipi bora, hao madalali au vyama vya ushirika vinavyowadhulumu?
Kwenye mada kama hii, ndipo umma wa JF unapokosa fursa nzuri kabisa, ya kuwa chanzo cha elimu kwa wengi wetu.
Kwa mfano: mimi ningependa kujua muundo wa hivi vyama vya ushirika ukoje na sababu zinazofanya visiwe na ufanisi katika utendaji wake.
Hivi vyama vinaundwa na serikali, au wananchi wenyewe?
Wananchi wanayo mamlaka yoyote juu ya vyama hivi?
Ni nini wajibu wa serikali katika usimamizi wa hivi vyama.
Hizi taarifa za kuvuruga juhudi za wananchi ndizo zitakazoendelea kutufanya taifa zima kubaki maskini
Kwa nini hatuwezi kukopi tu walichofanya nchi zingine na kurekebisha kidogo kulingana na mazingira yetu, ili na sisi tupate mafanikio?
Ununuzi wa mazao ya mkulima, mbona linakuwa tatizo sugu kiasi hiki?
Miaka yote hii, tokea tupate uhuru wetu, tunashindwa nini kulishughulikia tatizo na kuliondoa kabisa?
Ndio maana nikaomba kuelimishwa mkuu wangu 'nyembela' juu ya uhusiano wa wakulima na hivi vyama vya ushirika, kwa sababu siujui.Kama wakulima wanalima wenyewe kwanini walazimishwe pakuuza? Mbona hatusikii Bei elekezi kwenye mabati,saruji,nabidhaa nyingi zaviwandani?
Ahsante mkuu 'PTER', nitaipitia hiyo taarifa baadae, nijifunze yaliyomo humo. Huenda macho yakafumbuka kidogo juu ya hali hii inayowakabiri wakulima wetu kila sehemu.
Kama hatuelewi somo rahisi kama hili, sisi tunavyo vichwa vya aina gani!Ripoti ya Bank of Tanzania ya October 2019 imeonesha kwamba, mapato ya agricultural export ya mwaka ulioishia Agosti 2019 yaliporomika kwa asilimia 60.
Kwa kiasi kikubwa hili lilitokana na serikali kuingilia bei ya korosho.
Naona hatujaelewa somo bado.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Tofauti iko wapi sasaSerikali inahofia madalali kutumia huo mwanya kuwakandamiza wakulima.
Hili haikubaliki nadhani kuna makosa sehemu fulani.Huyo jamaa aliyenyaganywa nakaa naye nyumba ya tatu kutoka kwangu ....na aliweka bond mkopo nyumba yake wife kaanguka na preasure yupo hospital na alikuwa kapata soko la kupeleka indian
........hiii ni biahsara huria na ninasikia mwaka huu wanampango hata mpunga vyama vya ushirika vinunue kwa kanda ya ziwa ...kwa mkopo huku si kurudishana nyuma
sent from HUAWEI