Pambalu: Sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike

Kabisa, hakuna la maana zaidi ya kuzungusha kichwa kama yale mandege yanaitwa "balwe" Au "kimilanzoka"
Huyo ndo mbunge wetu wana mwanza 2025 ukiwemo na wewe tukutane nyamagana
 
Paliwahi tokea Jirani mmoja akawa anaacha kichanga ndani Kisha anakwenda kujiuza!!
Ni tofauti kabisa; hakuna mlinganisho wa aina yoyote kati ya hao mama wawili "mama mwenye kichanga" na "mama mwenye msiba"
 
Dogo apunguze mbelele asije akauwawa..

Aache matusi ya nguoni kwa taasisi ya uraisi..

Angeongelea mambo ya msingi hapo mhandu,mahina,butimba,tambuka reli,mkolani E.t.c kifupi aache siasa za rejarejaa
 
Pumbulu kawa mjinga sana. Wanawake huwa hawasimamii misiba. Wao hukaa na kulia tu. Kila kitu hufanywa na wanaume. Huo mfano wake ni irrelevant. Au wanaJF mlishawahi kuona kina mama wanaenda kununua jeneza?
 
Angeeleweka kama huko brazil angetuma mwakilishi badala ya kuamua kwenda na kuacha janga nyumbani .
Yeye ndio CinC
 
Attachments

  • 4900139-0291b2ca9c7d3b297e2c695a9fc8f5a.mp4
    4.5 MB
Acha kufananisha Chama Tawala na vitu vya kijinga
Mkuu vitu vya kijinga vingesajiliwa kisheria???

Vitu vya kijinga vingeleta hofu hadi kutekwa???

Ingekuwa vya kijinga hofu inatoka wapi ya kuengua wagombea wao???

Hapa umeonyesha ni jinsi gani ulivyo mweupe upstairs, wenzako tunakuzoom tu!!

Umetuacha midomo wazi!!!
 
Angeeleweka kama huko brazil angetuma mwakilishi badala ya kuamua kwenda na kuacha janga nyumbani .
Yeye ndio CinC
Usimpangie ratiba, ye ndiye anajuwa nini kilokuwa kizito kati ya kwenda Brazil kwa mualiko Prez Lula au kushinda Kariakoo kwenye nyumba iliyoanguka
 
Usimpangie ratiba, ye ndiye anajuwa nini kilokuwa kizito kati ya kwenda Brazil kwa mualiko Prez Lula au kushinda Kariakoo kwenye nyumba iliyoanguka
 
Attachments

  • 4900139-0291b2ca9c7d3b297e2c695a9fc8f5a.mp4
    4.5 MB
Pumbulu kawa mjinga sana. Wanawake huwa hawasimamii misiba. Wao hukaa na kulia tu. Kila kitu hufanywa na wanaume. Huo mfano wake ni irrelevant. Au wanaJF mlishawahi kuona kina mama wanaenda kununua jeneza?
Mama Abduli asiyekuelewa hapa bhasi Tena😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…