Furry anashindwa kumaliza pambano sjui kwa nn Wlider kashatepeta huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Humjui Furry wewe , huwa hakatiki pumzi ... Hata Pambano lilipita Licha ya kulambishwa sakafu ila alimaliza pambanoWilder atashinda, anategea furry ajisahau amtandike ngumi moja kwisha kazi
Endelea kuota ukiamka Pambano limeishabronze bomber wilder lazima ashinde