Aaah wapi ..joshua hapambani kwa mihemko kama huyo wielderJoshua!Joshua!Joshua!! Nimekuita mara tatu nakuonya usiombe pambano na huyu mzungu atakuua
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuomba Mshana aniambie mtu akikulamba damu yako inamanisha nini kiimani #MshanaJr
Sent using Jamii Forums mobile app
Utabiri wa Mastaa/Wadau mbalimbali wa Combart Sports juu ya hili pambano;
1. Bob Arum (Boxing Promoter)--- Fury
2. Dana White (UFC director)--- Fury
3. Floyd Mayweather (Boxer)---Fury
4. David Haye (Retired Boxer)---Wilder
5. Paul Maligagi (Boxer)---Fury
6. Triple H (Wrestler)---Fury
7. Mike Tyson (Retired Boxer)---Fury
8. Mc Gregor (UFC Fighter)---Fury
9. Anthony Joshua (Boxer)---Fury
10. Ben Davison (Boxing Coach)---Fury
11. Man Pacquiao (Boxer)---Wilder
12. Roman Reigns (Wrestler)---Fury
13. Lennox Lewis (Retired Boxer)---Wilder
14. Sugarray Leonard (Retired Boxer)---Wilder
15. Evander Holyfield (Retired Boxer)---Wilder
16. Larry Holmes (Retired Boxer)---Wilder
17. Mickey Garcia (Boxer)---Wilder
..........list itaendelea
NB: Naona wadau wengi hawaamini kama Wilder anaweza kummaliza Fury kwavile alishindwa kufanya hivyo kwenye pambano la kwanza wakati Fury akiwa kwenye worst shape, hivyo wanaamini kwavile Fury ni better boxer atamshinda kwa kumuoutbox Wilder kama alivyofanya kwenye pambano la kwanza na ukizingatia kwa sasa yupo kwenye his best shape, only way Wilder anaweza kushinda ni endapo atafanikiwa kumpiga KO, kitu ambapo sio kirahisi kwakuwa Wilder hana accuracy nzuri kwenye punch zake na pia Fury is the master of defence.
... Anyway huo ni mtazamo wao, kwangu mimi still naamini Wilder atashinda kwa KO, sio rahisi kutofanya makosa ya defence kwa round zote 12, kosa moja tu dhidi ya Wilder linaweza kufanya upoteze pambano, no matter how u outboxed him
Sent using Jamii Forums mobile app
I want to taste his blood.Tyson Fury alishaahidi kunywa damu ya Wilder kabla ya pambano, akimaanisha lazima amharibu na ailambe damu ya jamaa.
Msikilize mtangazaji muda ule tukio linatokea alitangaza hii kitu.
Daah aisee..hii lazima itakua ni devilish au maagano ameyatimizaTyson Fury alishaahidi kunywa damu ya Wilder kabla ya pambano, akimaanisha lazima amharibu na ailambe damu ya jamaa.
Msikilize mtangazaji muda ule tukio linatokea alitangaza hii kitu.
Cooper alipigwa na Muhammad Ali tena kwenye ardhi ya Uk.Lini Mmarekani akampiga Muingereza..
Hao ni mashabiki wa boxing kwa misimu... Hutokea Floyd akipigana au AJ akipiganaCooper alipigwa na Muhammad Ali tena kwenye ardhi ya Uk.
Hapo ilikuwa ni Wimbley.
Rahman akaja kumtandika Lewis. Kichapo chake kilishtua ulimwengu wa masumbwi
Kwenye boxing ni skills tuu.
Hakuna cha muingereza wala mmarekani
Utakuwa hujui mchezo wa boxing wewe.Kama wakirudiana Wilder atafia Uwanjani.
Wilder sio Bondia mzuri hata kidogo .... Na tumekuwa tukisema humu akikutana na Ring Dancer mzuri lazima akae. Naona Leo umeona kilichomkuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara tano kachezea sakafu bishoo yule mwenye mdomo kama muhaya wa kanyigoWilder kadondoshwa mara 2.
Ana bahati sana team yake imetupa taulo ulingoni.
Ur next AJ
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Cooper alipigwa na Muhammad Ali tena kwenye ardhi ya Uk.
Hapo ilikuwa ni Wimbley.
Rahman akaja kumtandika Lewis. Kichapo chake kilishtua ulimwengu wa masumbwi
Kwenye boxing ni skills tuu.
Hakuna cha muingereza wala mmarekani